ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Sasa tuhamasike, kuwa na akaunti za Benki ni rahisi. Miamala ya simu gharama hazivumiliki

    Sasa ni wakati wa benki kujitanua zaidi na kila mmoja ajitahidi kuwa na akaunti ya benki, japo na wao wana makato Ila haya ya simu ni makubwa mno, yaani kusafirisha milioni wanakata 31,000 kutuma na kutoa. Sasa nitahamia Benki, au nitasafirisha pesa kwa Gari yaani basi, pia tujitahidi kujiunga...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM, kwanini tunashindwa na wenzetu wanaweza? Mtupishe!

    CCM kila siku inajisifu "sisi ni chama Tawala" bila kuwaonyesha chini ya utawala wao kipi cha kujivunia hasa katika dunia ya leo tuwezacho kuionyesha dunia? Ona hii, leo 2021 Waziri wa Viwanda anasimama kwa mbwembwe kuzindua Trela la kwanza kuundwa nchini na kujisifu kwa uvumbuzi huo wakati...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mikutano iliyotangazwa kufanyika nchi nzima na Katibu Mkuu CCM siyo mikutano ya hadhara iliyozuiwa na Rais?

    Najiuliza Kama katibu mkuu CCM ametangaza kufanyika mikutano ya hadhara nchi nzima itakayo fanywa na wabunge, madiwani, wenyeviti wa CCM wilaya,kata,vijiji na mitaa,zuio la Rais lilikuwa linawahusu watu gani? Pia Rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM naye anazunguka kiaina kukutana na wananchi na...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM awataka Wabunge wote kuanza ziara majimboni

    Na Mwandishi wetu, Rukwa. KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Daniel Godfrey Chongolo amewaagiza wabunge wote wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wanaotokana na CCM kufanya ziara katika majimbo yao yote kueleza yaliyopitishwa na Bunge la bajeti na kupokea changamoto zingine...
  5. JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya CCM mnafanya mikutano ya hadhara kama wabunge wa wapi?

    “Kwa sasa tunaruhusu mikutano ya ndani, isipokuwa kwa wabunge wenye majimbo” Samia Suluhu Hassan, Madam President. Sasa nyie Secretariat ya CCM mmeenda Zanzibar mkafanya mkutano huko mpaka watoto wadogo wakaanza vijembe kwa kina Mbowe. Sasa mko Mikoa ya Songwe na Rukwa, huyu katibu mwenezi...
  6. JamiiForums Tanzania ATCL ni vema mkatuonesha risiti za malipo ya kukodi ndege za umma zinazotumiwa na Katibu Mkuu wa CCM

    Katibu Mkuu wa CCM ameonekana Zanzibar na kwingineko katika ziara za chama chake, ameonekana akitumia usafiri wa ndege za ATCL ambalo ni shirika la umma. Sasa ili kuondoa minong'ono ya chini chini iliyoanza kusikika kwamba ANATUMIA NDEGE HIZO BILA KULIPA CHOCHOTE , Ni vema basi shirika hilo...
  7. JamiiForums Tanzania Huu wimbo wa "katiba mpya" ni manufaa ya Wanasiasa na Wanaharakati zaidi kuliko Wananchi

    Siku za hivi karibuni kumezuka Wanasiasa na Wanaharakati wanaohanikiza kupatikana kwa katiba mpya, huku wakijaribu kuiaminisha jamii ya Watanzania kwamba kupatikana kwake ndio itakuwa mwisho wa Matatizo ya nchi hii. Kwa muda wote ninajaribu kuwasikiliza mmoja baada ya Mwingine na bado sioni ni...
  8. JamiiForums Tanzania CCM is an outdated political party

    As to reach our national goals we have to Increase more efforts on alleviating CCM as national virus, our country has been suffered in extreme poverty and other other essentially sectors while the leaders are enjoying national cake which accompained with Well salary. CCM out CCM out
  9. JamiiForums Tanzania Wana CCM, Katiba Mpya iliyorekebishwa ni kwa mustakabali wetu sote

    Mimi ni mwana CCM, kwanza nakubaliana na mama Samia kuwa tuwe na subra juu ya Katiba Mpya. Lakini mbadiliko ya Katiba ni lazima yatokee kuziba mapungufu makubwa tuliyoyaona Awamu ya Tano. Mifano ya mambo tuliyaona yakikiukwa wazi wazi Awamu ya Tano: 1. Rais Lazima awajibike kwa Wananchi kupitia...
  10. JamiiForums Tanzania CCM msipumbazike na kula, kunywa na kushiba hata mkalewa msioone hatari iliyoko mbele yenu

    Nimetoa mada "Rais Samia Suluhu Hassan, alama ya mwisho ya anguko la utawala wa siasa za CCM Tanzania...." Wengi hawajanielewa na kusema it's a delusional.... Dunia hii ina historia pevu sana inayoweza kutufundisha na kutujuza tulikotoka. Tunaweza kutumia matukio yaliyopita (historia) ili...
  11. JamiiForums Tanzania Siku tukipata Katiba Mpya CCM itatawala kwa tabu na huenda ikang'olewa kabisa

    Kamanda Asiyechoka huwa naona mbali sana. CCM wanajua fika taifa letu tukipata katiba mpya basi huo ndio mwisho wao Tume huru itakuwepo na hapo tutawakaba. Mgombea binafsi atakuwepo na hapo ndio watakoma. Mafisadi wa CCM tutawadhibiti mithiri ya panya kwenye mtego wa kubana.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ziara kisiwandui: Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, Daniel Chongolo azungumza na Wazee

    Kisiwandui Zanzibar Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Daniel Chongolo Leo Julai 5, 2021 amekutana na Kufanya Mazungumzo na Wazee pamoja na Waasisi wa Chama Cha Mapinduzi katika Afisi Kuu ya CCM Zanzibar, Kisiwandui. Akizungumza na Wazee hao Ndg Daniel Chongolo ametoa Salamu za Shukrani...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia na CCM kwa busara, sikiliza na ikiwapendeza mfuate ushauri huu juu ya katiba mpya

    Mhe, Rais, Mhe. Palagamamba M.A. Kabudi waziri mwandamizi katika serikali yako mwaka 2012/13 katika viunga vya Nkurumah Hall chuo kikuu cha Dar Es Salaam, alitoa ushauri huu juu ya katiba Mpya, Mhe. Rais, Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, na kiongozi mwandamizi katika serikali yako na sasa ni...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Kama CCM waliiba uchaguzi wa 2020, kwanini mnajipendekeza kwake?

    Sijui ni kutokujielewa…sijui ni ujinga…sijui ni kutokujua unataka nini…sijui ni kutokujua kuwa hujui…sijui ni nini hasa! Manake sielewi. Kama CCM waliiba uchaguzi wa 2020. Uchaguzi uliowapa ushindi John Pombe Magufuli na Samia Suluhu Hassan ushindi mkubwa sana, iweje leo Rais Samia apendwe sana...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Utani wa CCM na Vyama vya Upinzani unachekesha na kuleta hasira

    Wapinzani tunataka Katiba mpya, wana CCM Katiba mpya no haiko kwenye ilani ya CCM Wapinzani tunataka Demokrasia : ccm demokrasia ipo wewe fanya kwenye jimbo ulipo chaguliwa kwa mwenzio no. Fomu za wagombea wa upinzani, ofisi zina fungwa , mkurungezi kakimbia ofisi, nimevamiwa nyumbani...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Sahihi kusema CCM imelegalega au CHADEMA ni imara jimbo la Segerea?

    Wanabodi, Nashawishika kuamini kwamba kwa shughuli za kisiasa wanazozifanya CHADEMA kwa sasa katika jimbo la Segerea zinazotokana na mtaji mkubwa wa kisiasa ulichonacho chama hicho jimboni hapo. Tumeshuhudia vuguvugu la kudai katiba mpya likianzishwa pale, na sasa ufunguzi wa ofisi ya chama...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Alama ya mwisho ya anguko la Utawala wa CCM, Tanzania

    Mwisho wa utawala wa chama cha siasa - CCM katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilikuwa iwe wakati wa u Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete (2005 - 2010). Ukacheleweshwa kwa kitambo kidogo lakini maandalizi muhimu yakafanyika chini yake. Kwa ulaghai na kwa udanganyifu wa kidola ktk uchaguzi mkuu...
  18. JamiiForums Tanzania Haki haipo CHADEMA wala CCM, jamii bado ipo gizani

    HAKI HAIPO CHADEMA WALA CCM, JAMII IPO GIZANI. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Haki hutofautiana baina ya nchi na Nchi. Ingawaje zipo haki za ujumla za kila mwanadamu Kama vile Haki ya kuishi na kupata nyezo zinazomfanya mtu aishi. Haki hutofautiana baina ya nchi na Nchi kutokana na utashi...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Nyagali Mdude ana cheo gani hapo Chadema mbona CCM inamtolea "matamko" kila kona?

    Ningependa tu kujua mtu anayefahamika kwa jina la Nyagali Mdude ana cheo gani katika viunga vya Ufipa kwenye chama kikuu cha upinzani Chadema? Matamko dhidi ya huyo Mdude kutoka CCM yamekuwa mengi so ingependeza zaidi kama tutapata wasifu wake wa kijamii, kisiasa, kiuchumi na kitaaluma...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Kwanini CCM hawataridhia kirahisi

    Pamoja na kuwa Mama Samia anaweza kuwa anayo nia njema na ya dhati kuhusiana na haki, uhuru na usawa wa watu, kizingiti kitaendelea kuwa wale wahafidhina wanaomzunguka. CCM hao watakuwa ndiyo walio waasisi wa ile salamu yetu pendwa ya "Kazi Iendelee" na hata kile kidokezo chetu cha "JPM =...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…