ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Jinsi ccm inavotumia watoto wa kimaskin kujaza mikutano yao.

    Kama itakua unafatilia kwa makin mikutano ya ccm basi utagunduq asilimia 40 au zaidi ni watoto Watoto hawa wa kimaskin hukatizwa masomo yao shulen na kupelekwa katika mikutano wakati watoto wao wapo feza na international school zengne wanasoma
  2. GE2025 Mgombea Urais kupitia CCM, Dkt. Samia akiwa katika Kampeni - Makambako Mkoani Njombe, Septemba 6, 2025

    https://www.youtube.com/live/ir1LWQnv3m0?si=YhzAuPVswyg_nq9Z Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Makambako Mkoani Njombe leo tarehe 06 Septemba, 2025. Wananchi waliojitokeza...
  3. Uhuru wa wengine ni uhuru wetu. Tukinyamaza hata humu JF ipo siku. Ndio Maana Watibeli tunahangaika. Walianza CDM wameingia CCM. Who's next.

    Habari za Sabato! Mbinu rahisi ya kuwafanya watu watumwa ni kuwafanya waone Uhuru wa wengine hauwahusu. Kuona kuonewa kwa wengine ni juu yao, ilimradi wao wapo salama basi, wengine wakionewa haiwahusu. Hiyo inaitwa Divide and Rule technique. Hakuna jamii rahisi kuitawala na kuifanya watumwa...
  4. Tuwe wakweli tu CCM, inapendwa, inaaminika na inakubalika sana kwa waTanzania wote.

    Sote ni mashuhuda jinsi wananchi maeneo mballimbali nchini wanavyojitolea na kujitokeza kumpokea na kumsikiliza kipenzi chao Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 29,2025. Licha ya changamoto za uduni wa vyombo vya usafiri wanavyotumia kuelekea mikutanoni, lakini...
  5. CCM haina wanachama milioni 13

    Hizi heka heka za CCM kupambana kujaza watu kwenye mikutano yao, ni ishara kuwa siyo kweli CCM ina wanachama milioni 13. Kila mkutano ungehudhuriwa na watu elfu kumi tu, nchi nzima CCM ingehitaji watu milioni Moja tu kwa mikoa yote ya Tanganyika. Lakini hii ya kusomba watu kwa maroli ni...
  6. K

    CCM haiombi mtu kuhudhuria mikutano yake

    Ukweli ni kwamba huwezi kumlazimisha mtu asiyetaka kuja kwenye mkutano. Hata umpe usafiri, kama hataki, hataki. Vilevile, mikutano ya CCM imekuwa ikihudhuriwa na maelfu ya wananchi. Sasa kama basi moja linabeba watu 65, je, utahitaji mabasi mangapi kuwasomba maelfu ya watu? Hilo haliwezekani...
  7. Aanguka akiliwahi lori la kampeni za CCM Mbeya

    Tumesema sana kuhusu watu kubebwa katika malori kama mifugo kupelekwa katika mikutano ya hadhara ya CCM. Hii yote wanataka kujaza watu na kuonekana mikutano imejaza watu. Kwanini kampeni mnahamasisha na kusomba watu kutoka sehemu moja kwenda nyingine? Kwani lengo la mikutano ya hadhara ni Nini...
  8. CCM mnaposema kazi na utu mnamaanisha nini?

    Kama sielewi kabisa... Kazi na Utu ndiyo nini? CCM huwa mnakuja na kauli mbiu, lakini hii ni ya kiwango cha chini?
  9. Sababu kwanini mikutano ya CCM imejaa watu nyomi

    Wasalaam. CCM wakiamua jambo lao hufanya kila linalowezekana ili kulifanikisha Siri ya nyomi la CCM kila mkoa ni kwamba wanasafiri na watu wao kwenye jumla ya mabasi 20 na kisha wakifika mkoa husika huwapata watu wenye dhiki kali na njaa na muwapa buku 5 kila mmoja na kuwasafirisha kwa maroli...
  10. Pamoja na kukosa upinzani madhubuti toka kwa CHADEMA ya Lissu, mbona CCM wanangaika sana?

    Kampeni zao zimedorola hazina mvuto. Na hawafuatilii kampeni zao kabisa ila labda kama kuna tukio kama ile ajali ya Lori na wafuasi wao Morogoro. Kwa ujumla hakuna upinzani. Swali la msingi ni kwa nini wanatapatapa?
  11. GE2025 Mapokezi ya mgombea mwenza wa Urais CCM, Mbogwe

    MAPOKEZI YA MGOMBEA MWENZA MBOGWE Mgombea Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Balozi. Dkt. Emmanuel Nchimbi akiteta jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Shule ya...
  12. Unabii mzito kwa nchi

    Unabii uliotolewa kuhusu Nchi ya Tanzania Mungu hajafurahishwa na Madaraka ya sasa Watanzania Tuungane Tuombe kwa Pamoja kuombea Nchi kuhusu Utawala Mungu atatusikiliza (Tumuombe) hii ndio Option tuliyonayo tuliopewa na Mungu Kabla ya Roho ya Vita kuachiliwa Kwa muda mrefu Tumepewa Amani...
  13. Serikali ya CCM inaogopa kufunga mtandao wa instagram sababu wasanii wao wapo huko

    Wahuni walijua kufungia twitter(X) ndio kukomesha wanaharakati na walijua hakuna watumiaji wengi. Sijui hizi habari wanashauriwa na vilaza toka JF. Sasa siasa imeamia instagram na facebook na huko ndio kuna wasanii wao 😂. Karma karma sasa fungeni wawa geuke
  14. Bukoba mtapokea utapeli wa CCM tena?

    Atakuwa Mpuuzi sana ambaye anadhani uchaguzi feki Huu Una maana kwao !! Kwanza hawana stend! Hawana soko! Barababara kuu imekwama na pesa wamekula! Mbaya zaidi ni mkoa hauna hospital ya viwango Britanicca
  15. C

    GE2025 Ahadi za CCM Mbalizi mkoa wa Mbeya 2025-2030

    Uwekezaji mkubwa unaingia nchini kwetu, ahsante Mama. haijapatakutokea #kurayakwanzakwaSamiaUwekezaji mkubwa unaingia nchini kwetu, ahsante Mama. #haijapatakutokea kurayakwanzakwaSamia
  16. Kwanini Rais Hatembei na Mume wake? CCM Haina washauri wa maadili?

    Miaka ya uchaguzi Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa, mzee Kikwete na Mzee Magufuli walikuwa wakitembea huku na kule na wenzi wao. Je rais Samia hana washauri juu ya hili? Kwanini anamtenga mume wake? Je, anatoa picha gani kwa umma? Kikwete aliwahi kumlazimisha Magufuli kumtambulisha mke wake kwenye...
  17. Sabaya onyesha kuwa na njaa na dhiki za kisiasa. Atamka hadharani kuwq hata akipelekwa gerezani kwa uonevu CCM ni dude kubwa

    Huu ni upumbavu na ujinga. Unapelekwa gerezani kwa kesi ya unyag'anyi wa kutumia silaha ya kubumba. Alafu unasota gerezani mpaka unakuwa hoi Unatoka gerezani na mahakama inathibitisha kuwa haukufanya kosa la kunyag'anya mali kwa kutumia silaha. Kwa upuuzi na dhiki za kisiasa unatamka...
  18. Mke wa Mgombea Udiwani kwa tiketi ya CHAUMMA katika kata ya Songambele kasema CCM oye

    Katika Hali ya kushangaza Mke wa Mgombea Udiwani kwa tiketi ya CHAUMA katika kata ya Songambele aliposimamishwa kumuombea Kura mumewe badala ya kusema CHAUMA OYE badala yake akasema CCM OYEEEE!!!! Ilikuwa ni úzinduzi wa kampení ya mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa...
  19. T

    GE2025 CCM inahitaji vyama shirika vya upinzani kuliko chochote. Tishieni kujitoa kuwa hamuwezi mudu tena ghalama za kampeni. Mtanishukuru

    CCM wana 100b na zaidi. Hawajazipeleka mikoani kusaidia kampeni za wabunge. Zinatumika kwenye timu ya Nchimbi na Samia tu. Kupewa magari, mafuta na posho za madereva haitoshi si unaona hata majukwa ya mbao yamewashinda. Tengeneze umoja wa vyama vya upinzani vinavyoshiriki uchaguzi. Itisheni...
  20. Japo kwenye uchaguzi ujao CCM inapambana na CCM B, itakuwaje kama Samia atabwagwa?

    Japo hii ni hypothesis, mambo hubadilika na visivyotegemewa hutokea. Hivi itakuwaje kama Samia atabwagwa na vibaraka wake aliowaweka ili kuhalallsha uchafuzi wa demokrasia uitwao uchaguzi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…