ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Zitto na chama chake wametufumbua macho,serikali ya CCM iliua na kuteka watu. Baadhi ya waliohusika wapo hai wafikishwe kortini

    Naona huko twita anapost bila hata kuficha kitu. Anadai kuwa Akina Ben, Azory na wengine wengi ni wahanga. Kwa hiyo kama ndio hivi wahusika watakuwepo mitaani huu ndio wakati wa kuwapeleka kortin.
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania WanaCCM wamechukia na hawashiriki chaguzi za ndani za CCM

    WanaCCM wengi wamesusa kuchukua fomu na kishiriki chaguzi zinazoendelea. CCM ya sasa imegeuka na kuwa CCM ya wajuaji na wapigaji. WanaCCM wanaojitambua wameghazibika na sasa wameichukia CCM. Hayati JPM hachafuki. WanaCCM wanajua kabisa wanakibarua cha kutoyaenzi mazuri ya hayati JPM.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Abdulrahmani Kinana kuanza ziara kwenye mikoa 4 kuanzia Jumamosi Aprili 23, 2022

    ZIARA YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM- BARA NDUGU ABDULRAHMANI KINANA KWENYE MIKOA 4 KUANZA KESHO JUMAMOSI. KAZI INAENDELEA Ziara ya uimarishaji uhai wa chama na kuhamasisha wana-CCM kujitokeza kushiriki uchaguzi wa ndani ya Chama unaoendelea. #CCMImara #KaziIendelee
  4. I

    JamiiForums Tanzania CCM Kimeumana, sasa Ubungo, Babati, Mbeya na Tabora kurudia Uchaguzi

    Chongolo: aagiza uchukuaji fomu za uchaguzi ndani ya CCM urudiwe === Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg Daniel Chongolo amewaagiza makatibu wa Wilaya zilizobainika kuwa na kasoro kwenye mchakato wa uchukuaji wa fomu katika uchaguzi ngazi ya shina kurudia uchukuaji huo maramoja...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM ampiga dodoki Paul Makonda

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Daniel Chongolo amesema aliyekua Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alifanya kazi kubwa wakati akiwa Mkuu wa mkoa ya kujenga Ofisi za Chama hicho Kinondoni na Kigamboni. “Ni lazima tutambue kuwa aliyekuwa Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es salaam (Paul...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Chongolo: CCM itaendelea kuweka msukumo kuboresha miundombinu ya barabara na vivuko Kigamboni

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amesema CCM itaendelea kuweka msukumo kuhakikisha miundombinu ya barabara na vivuko inaboreshwa Kwenye Wilaya ya Kigamboni kwa sababu ni lango la uchumi wa Taifa. Amesema kwa sasa asilimia 90 ya bidhaa ya mafuta yanayotumika nchini...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, hizi Sarakasi ninazoziona katika Uchukuaji wa Fomu za Chaguzi ndogo (za awali) za CCM zinaashiria nini kwa 2025?

    Kuna Wagombea wanafichiwa Fomu, kuna Wagombea wanatishwa Wasigombee, kuna Wagombea wanachafuana, kuna Wagombea wanawadharau Wenzao na kuna Wagombea pia wanasema CCM ni yao hivyo Washamba Washamba wasipoteze muda Wao kutaka kuchukua Fomu na Kugombea. CCM kuweni sana Makini na yaliyopo!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM atoa maagizo wakati huu chaguzi ndani ya chama zikiendelea

    KATIBU MKUU WA CCM ATOA MAAGIZO WAKATI HUU CHAGUZI NDANI YA CHAMA ZIKIENDELEA. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewaagiza Makatibu wa Wilaya maeneo yaliyobainika kuwa na kasoro ikiwemo baadhi ya watia nia kunyimwa fomu kwenye uchukuaji fomu ngazi ya shina nchi...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Shaka asema CCM inaridhishwa na uimarishwaji wa sekta ya habari nchini

    SHAKA ASEMA CCM INARIDHISHWA NA UIMARISHWAJI WA SEKTA YA HABARI NCHINI Hayo yameelezwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka katika Uzinduzi wa Jengo la Studio za kisasa za Televisheni ya TBC2 pamoja na kipindi kipya cha Jambo Tanzania, Mikocheni...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kinana aungana na wanaccm wenzake kufanya uchaguzi katika shina lao Kinondoni

    KINANA AUNGANA NA WANA CCM WENZAKE KUFANYA UCHAGUZI KATIKA SHINA LAO - KINONDONI Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana leo Aprili 19 , 2022 ameungana na Wanachama wenzake wa Shina Namba 9, Tawi la Masaki, Kata ya Msasani wilaya ya...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge Deo Sanga: CCM ilishinda Uchaguzi Mkuu kwa kishindo, kura hazikuibwa

    Mbunge wa Makambako, Deo Sanga ameliambia Bunge "Nasema kwa uchungu mkubwa, mimi nilishinda kwa kishindo na si kwa kuiba Kura. Wabunge wote hapa wameshinda kwa kishindo sio kwa wizi. Rais alishinda kwa kishindo hakuiba Kura" Sanga amesema aliyezumgumza maneno hayo anataka kuwagombanisha na...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania TARIME: Kada wa CCM auawa kwa kisu katika ubishi wa kisiasa kati ya CCM na CHADEMA

    Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tawi la Sokoni Kata ya Sirari Wilayaní Tarime Mkoaní Mara, Moshi Sayi Maduhu, ameuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali kifuani karibu na shingoni baada ya kutokea ubishi wa kisiasa kati yake na mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  13. J

    JamiiForums Tanzania CCM: Taarifa Kuhusu ROYAL TOUR 2022

    Taarifa ya CCM Kuhusu Uzinduzi Royal Tour Jumatatu, April 18, 2022 #ChamaImara #KaziIendelee
  14. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania CCM, Operation TUJISAHIHISHE irudiwe tena!

    Kwa machalii na dogo wengi, hawawezi kuijua hii Operation Tujisahihishe , ambao ulikuwa msimamo wa chama TANU, Mwaka 1976/77. Mwalimu, a thinker, strategist na visionary, aliliona tatizo katika misimamo ya chama, misimamo ambayo ilileta utata na matatizo makubwa katika jamii. Mojawapo ya...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu watajwa kushuka kitaaluma Shule za CCM

    Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) imesema moja ya mambo yaliyosababisha shule inazozimiliki kushuka kitaaluma na baadhi yake kuwa katika hatari ya kufungwa, ni ubadhirifu uliofanywva na baadhi ya viongozi wasiokuwa waaminifu. Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo, Gilbert Kalima amebainisha...
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CCM inadaiwa mabilioni ya shilingi na hailipi madeni

    Hii sasa ndio CCM ya mafisadi na matapeli. Raia mwema yazidi kuibua maovu.
  17. M

    JamiiForums Tanzania CCM inakufa mikononi mwa Kikwete, utabiri unatimia

    Huu utabiri ulitabiriwa miaka ya 2010-2015 wakati Jakaya Kikwete akiwa Rais na ufisadi, uzembe na upendeleo usio na tija uliposhika uskani na kusababisha CCM kuchukiwa na wananchi. Yamejirudia yaleyale na CCM hii ipo mikononi mwa ... Na inaenda kufa kama walivyotabiri wahenga.
  18. chuki

    JamiiForums Tanzania Kuna Genge ndani ya CCM linajiandaa kumuondoa Samia 2025 kwa Mlango wa Nyuma

    Rais SSH amekuwa rais wa viwango tangu aingie madarakani 2021, Bahati mbaya ameangukia kwenye kundi lenye uroho wa Madaraka na Wapiga dili wa tangu kale. Bahati mbaya SSH amekuwa akiamini ndio kundi lenye kumshauri vizuri,kumbe ni kundi lenye Maslahi binafsi haliamini Kama Samia anaweza...
  19. bint white

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Hayati Magufuli wanakubalika kuliko upinzani na CCM

    Ukiachana na mihemko ya humu JF na Twitter kwa baadhi, ukweli ni kwamba kwa ground, SUKUMA GANG, wana mtaji wa watu wengi ambao ni tabaka la chini, kwa utafiti tu mdogo kati ya wananchi 10... wananchi 7 wanaamini maono na itikadi za Hayati JPM, huu ni ukweli ukitembelea wananchi kama mama...
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere kama muasisi wa CCM hakuacha succession plan nzuri ndio maana taifa letu ndio maana taifa linaumizwa na ufisadi.

    Kama muasisi wa taifa letu alipaswa kuhakikisha taifa linakuwa na katiba ambayo hakuna chama tawala kitalifanya taifa letu mali ya wachache. CCM aliyoiacha haina misingi vizuri ya kurithisha viongozi ambao wanauchungu na matatizo ya taifa lao. Ufisadi, ubinafsi na kuwaona wananchi ni wajinga...
Back
Top Bottom