ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Chanzo cha matatizo nchi hii ni CCM na vibaraka wake

    Sina uhakika kama nitaweza kuielezea mada hii vizuri ila nianze kwa kusema kuwa nimefuatilia muundo wa jamii ya kitanzania, nimegundua unaweza kutugawanya katika makundi mawili kulingana na mitazamo yetu. Upande mmoja ni wale watu ambao wanapenda kutafuta ukweli wa mambo, hawaogopi kukosolewa...
  2. JamiiForums Tanzania Nchi inaongozwa na CCM, kwanini wanalaumiwa CHADEMA?

    Kwa ufuatiliaji wangu niliofanya kwenye mambo mbali mbali, nimegundua kwamba CHADEMA imekuwa ikilaumiwa mara nyingi kwamba haitimizi wajibu wake hadi mambo yanaharibika. Kwamfano; Wakati wa Bunge la katiba CHADEMA iliongoza vyama vingine kutoka kwenye vikao vilivyokuwa vinaendelea vya Bunge la...
  3. JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka atamba CCM kuusambaratisha rasmi Upinzani mkoani Mbeya, asisitiza Kinana ni gwiji la Siasa za nje na ndani ya Tanzania

    SHAKA AMMWAGIA SIFA KINANA, ATAMBA KAZI ZA MAENDELEO KUUFUTA UPINZANI MBEYA Demokrasia ya vyama vingi nchini imekuwa na lengo la kuharakisha maendeleo kwa wananchi. Ikiwa chama kinachoongoza serikali kinaifanya kazi hiyo kwa weledi wananchi hawana haja ya kujaribu vyama vingine vya kisiasa...
  4. JamiiForums Tanzania Kama Kinana ( Makamu Mwenyekiti CCM Bara ) katoa tu Tamko kwa 'Matrafiki' limetendeka, tunamuomba atoe na 'Matamko' na huku pia.....

    1. Aamrishe aliyewadanganya Watanzania katika 23.3% ya Mishahara akamatwe upesi na ashtakiwe afungwe Jela kabisa. 2. Aamrishe wale Wote waliofanya na Wanaofanya Uharamia wa Wanyama katika Mbuga zetu na Kusafirisha Nyara zao ( Ivory and Tusks ) si tu Wakamatwe upesi bali Wauwawe kabisa hata kama...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa nini CCM waliamua kujiuzia nyumba za serikali.

    Pamoja na kwamba uuzaji wenyewe wa Nyumba haukuwa na mantiki, lakini ni kwa nini na wanasiasa wa CCM nao waliuziwa nyumba za serikali? Kwani wao ni wafanyakazi wa serikali? Kama lengo lilikuwa ni kuwasaidia wafanyakazi wa serikali wanapostaafu wawe na makazi ya kudumu, Mbona Askari Polisi...
  6. JamiiForums Tanzania Umasikini, mateso, wizi, mikanganyiko na unyanyasaji vinatokea CCM ikiwa Madarakani

    Baada ya kupata Uhuru wa Tanganyika, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwatangazia watanganyika kwamba nchi yao ilikuwa na maadui watatu ambao ni Umaskini, maradhi na ujinga. Ili kuyaondoa hayo mambo matatu, pia Mwalimu akasema kuwa tunahitaji watu, Ardhi, siasa safi na Uongozi bora. Tangu...
  7. JamiiForums Tanzania Kuitukana CCM is not easy

    Dubwasha kubwa kama CCM kulitukana unatafuta ugomvi mkubwa sana. Unapokosoa viongozi wao lazima ujue mipaka yako. Wengine tunapo wapa vipande vyao viongozi wao tunaelewa ni kwa wale ambao wanaweza kulala na kidali, ila usivuke mipaka. Acheni kuangaika na mikwala ya sakapoko, wakosoaji wa CCM...
  8. JamiiForums Tanzania Katibu wa CCM wilaya ya hai aunda kamati ya siasa ya muda ya CCM wilaya kimakosa na kusababisha taharuki ndani ya CCM jimbo la Hai

    Huko Hai Kilimanjaro, Katibu wa CCM wilaya ametengeneza kituko cha mwaka ndani ya chama Tawala ccm kwa kuunda Kamati ya muda ya siasa ya ccm wilaya inayotokana na Makatibu wa matawi wa ccm ili kujadili wagombea wa ccm waliochukua fomu kugombea nafasi mbali mbali ndani ya chama. Swali la...
  9. JamiiForums Tanzania Maneno ya wana CCM hupinganana na matendo yao

    Chunga sana maneno ya wana CCM. Akisema haji jua anakuvizia aje kwa kustukiza. Maneno na matendo yao hupingana siku zote. Waliposema Elimu Bila malipo ni jambo lisilowezekana, waliposhinda uchaguzi wakasema wanatoa Elimu bila ya malipo. Wakisema kuwa wanataka nchi iwe na amani, wao humaanisha...
  10. JamiiForums Tanzania Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?

    Video inajieleza
  11. JamiiForums Tanzania CCM acheni siasa kwenye suala la Sensa 2022

    CCM imefika mahali wao kila kitu ni siasa. Nimeona watu wanapiga sana kelele sana kwenye mitandao kua uvccm ndo watafanya hili swala. Nimejiridhisha kwa [emoji817] % kuwa ndo wanapewa nafasi ya kufanya hili zoezi. Na hii ni baada ya Mimi mwenyewe ambaye Sina chama chochote nikamfata Mtendaji...
  12. JamiiForums Tanzania KINANA: CCM inatawala na itatawala kwa muda mrefu kwa sababu ya "demokrasia" iliyoko ndani ya CCM

    KINANA ATAJA SABABU CCM KUKAA MADARAKANI MUDA MREFU AKIZUNGUMZA NA WANA CCM KATAVI MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Abdulrhman Kinana ametaja sababu tatu za kwanini Chama hicho kimekaa madarakani kwa muda mrefu na moja ya sababu ni uwepo wa demokrasia ya uhuru watu kujieleza na...
  13. JamiiForums Tanzania Ajira za Maofisa wa Sensa ni kwa Koneksheni. UVCCM kupewa kipaumbele

    Hatutaongeza neno ili kuepusha migongano , Jisomee mwenyewe Majina yenyewe ni haya hapa
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: CCM 2025 itutafutie mgombea sio Samia

    Ninaomba tujadili jambo hili.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi aendelea na ziara yake Kata ya Nyaruyoba, ahamasisha Sensa na kufuatilia utekelezaji wa ilani ya CCM

    DKT. SAMIZI AENDELEA NA ZIARA YAKE KATA YA NYARUYOBA, AHAMASISHA SENSA NA KUFUATILIA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM. Kazi Inaendelea Jimboni Muhambwe Mkoani Kigoma ambapo Mbunge Mhe. Dkt. Florence George Samizi Jana Jumatano Julai 20, 2022 alifika Kata ya Nyaruyoba kuzungumza na Wananchi katika...
  16. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Sabaya na wengineo kuachiwa huru

    Sisi tulio nje ya CCM hatufurahii kabisa kuona mtu yeyote akiteswa au kuonewa kwa sababu yeyote Ile japokuwa wapo Wana CCM wengi hufurahia kuona mateso ya watu wengine hususani kwa sababu za za kisiasa.Sisi tumejiapiza kuwa tutasema kweli daima na fitina kwetu mwiko. Naposema ni wakati wa...
  17. JamiiForums Tanzania Msimlaumu Hayati Magufuli bali ilaumuni CCM

    Wakati Magufuli "anaboronga" CCM ilifanya nini kumfanya asiboronge? CCM ndiyo iliyofaidika kwa Matendo ya Magufuli, yawe mema au mabaya. Walaumiwe wao
  18. JamiiForums Tanzania Siku CCM ikifa Tanzania itainuka

    Kwa miaka zaidi ya thelasini CCM imekuwa ikifanya kila iliwezalo kusiwe na chama kingine cha siasa nchini Tanzania. Lakini juhudi hizo za CCM dhidi ya vyama vingine kumbe zilitakiwa zifanywe dhidi ya CCM yenyewe. CCM ndiyo chama pekee kilichokuwa madarakani tangu Tanganyika ipate Uhuru na...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Miradi ya CCM (Shule, Viwanja vya Michezo, Majengo, Mashamba nk)

    Kuna Watu wanaichukulia CCM kizembe zembe lakini chama hiki kina mikakati ya maendeleo kwa Miaka mingi sasa Tokea mwenyekiti Mwalimu Nyerere CCM imekuwa ikimiliki vitega uchumi.na Miradi mbalimbali mfano Viwanja vya Michezo Sokoine, Kirumba, Majimani, Samora nk....nk Shule mbalimbali ikiwemo...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tukubali tu sasa CHADEMA imewekwa kiganjani na CCM

    Wanachezewa masharubu, hawana ule mvuto wa mwanzo sasa ni waunga juhudi wakubwa wa CCM, kinachoonekana ni michezo ya kitoto tu wenye akili wanafahamu. Naamini siasa za Tanzania ni chukua chako mapema wengine watajiju, huo ndio ukweli, halafu kutishana kumezidi zidi ili kuwavalisha uoga waTz.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…