Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Ndugu Mtanzania siku ya leo tutaoa Taarifa za watu waliopita mitaani kufuatilia watu wa CCM na wasio wa CCM kwa ajili ya CCM katika kundi hili baadhi yao wako Tayari kuuona CCM inakuwa madarakani hata kwa Damu yako.
Leo hii kwenye uzi huu katika muda fulani, tutaweka majina hili uwakumbushe...
Habari wana JF.
Siku imekucha na makucha yake.
Kama ilivyo saivi hali si shwari kabsa, roho za watanganyika zinawindwa kila sehemu, si Kijiji, mnjini wala mitandaoni hali ni mbaya mno.
Kwa mantiki hiyo naomba niwape tahadhari hasa wale ambao tunapaza sauti zetu kwa njia ya maandishi na...
CCM mlisema Rostam Aziz ni mtanzania, mfanyabiashara mashuhuri, ni mwenzenu.
Sisi wana Igunga hatumuoni mbunge wetu wa zamani. Haonekani kufuatia hotuba ya Kapteni Tesha.
Taarifa za chini zinasema katimkia Zambia. Tunamuomba mzalendo huyu toka Iran, aje kupiga kura.
Tunachezewa sana! Eti...
Hii kazi inayo endelea ya kuikomboa Tanzania kutoka katika mikono ya waovu; Samia na Genge lake ni muhimu; lakini haitatosha kuleta mabadiliko chanya endapo CCM kama chama itaendelea kuwepo.
Kutokana na muundo wake na mfumo wa uendeshaji wa shughuli zake CCM daima itaendelea kuwa ni adui mkubwa...
Huu ndio ukweli turnout ya idadi ya wapiga kula hiyo tar 29 itakuwa ni jibu tosha kuwa CCM haikubaliki kama wanavyodanganya.
Ndio maana imetumika nguvu kubwaa sana kulazimisha watu wajitokeze kutiki na sio kuchagua.
Aibu hii ndio inafanya wanaCCM wawe na uoga
Kuna wakati katika historia ya taifa ambapo wananchi hawana budi kuamka, kujiuliza, na kusema kwa sauti moja: “Inatosha!”
Tanzania iko katika kipindi hicho sasa:
Kwa zaidi ya nusu karne, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa dira, mzigo, na wakati mwingine kizuizi cha maendeleo ya kweli ya taifa...
Jesca Magufuli ulifanya mahojiano na Millard Ayo na katika mahojiano hayo ulikiri kwamba familia nzima ya hayati John Magufuli haikufahamu alipo hadi siku ilipotangazwa na raisi Samia kwamba John Magufuli amefariki.
Baadae tumeona na kusikia kwamba Jesca Magufuli umepitishwa kugombea nafasi za...
Wakuu Kwa mara ya kwanza Tanzania inaendan kushuhudia Tukio kubwa na zitoooo na ambalo halikuwahi kutokea !!.
Walikua wanasema, óhooo Watanzania ni waoga, ohoooo watanzania ni lojolojo.
Nipende kuwaambia, IMEKULA kwenu This Time, na bahati nzuri kama ambavyo Mungu si Mwanadamu , Tumefanikiwa...
CCM ni kubwa na inao vijana wengi ndani yao ni vijana korofi katika jamii.
Lakini hadi sasa wameonesha kiwango kikubwa sana cha ustahimilivu pengine kuliko miaka yote iliyopita.wametulia na wamejikita kwenye hoja za siasa ...kamwe hawajajiingiza kwenye vurugu,kejeli au matusi.
It is a new era...
Ni dhana inayoaminika kuwa, kama ukitaka suluhu ya kweli na ya kudumu kwa matatizo yako basi ujiepushe na kutafuta majubu rahisi kwa maswali magumu.
Kuelekea Oktoba 29, kundi linalohamasisha maandamano linauza hoja kuwa mtesi wa wapinzani tangu 1992 tuingie kwenye vyama vingi ni CCM. Wakati huo...
Kwa nini wasianze upya kabisa baada ya zoezi la Oktoba 29?
Maana yake ni kwamba; CCM iliyo tufikisha hapa ifutike kabisa, kwa sababu imekuwa ni balaa kwa nchi hii.
Maana yangu ni kuwa, kila kinachohusika na CCM ya sasa kiishie Oktoba 29; watakaotaka kuendelea na chama hicho waanze upya kabisa...
Ukisikia Vijana wa Kitanzania wanavyohamasishana,wanavyofundishana,wanavyopeana mbinu kwa ajili ya maandamano,kwa ajili ya kukabiliana na polisi waziwazi huwezi kuamini kama Tanzania yangu imefikia hapa.
Sikuwahi hata siku moja kufikiria kama Watanzania watakuja kufikia Hali hii.
Hali hii...
Kuna watu walichochea mgogoro ndani ya CCM wakitegemea mpasuko mkubwa.
Mwenyekiti na vyombo vyake wamefanikiwa kuivusha CCM Kwa mara nyingine tena.
CCM ni moja na inapambana na wapinzani
Zambia Reports ni wafitini, wanafiki na wenye nia ovu dhidi ya mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Dr Samia Suluhu Hassan. Ni upotoshaji kusema wapinzani wa Mama Samia wamefungwa jela wakati sio kweli. Wagombea wa vyama vingine wapo kwenye kampeni siku hizi za mwisho mwisho kabla ya tarehe 29...
Inawezekana kabisa kumpata Rais Toka chama kisicho maarufu nchini ,tunajua uchaguzi na upigaji kura hutumika kuhalalisha ushindi uliokusudiwa nyuma ya pazia!!
Nimechunguza kampeni za uchaguzi mwaka huu na nikaona Bado Kuna vichwa vyenye uwezo wa kuongoza vikipewa nafasi hasta kwa miaka mitano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.