ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Kwa nilichokiona Morogoro, ni sahihi kusema Serikali ya CCM inachelewesha maendeleo ya huu mkoa kwa makusudi kabisa!

    Nina mwaka wa nne kwenye huu mkoa sasa. Tangu nifike hapa kwa mara ya kwanza nilikuwa mtembezi sana, ili kufahamu maeneo, uchumi, na tabia za wenyeji wa huu mkoa. Niligundua mambo yafuatayo: 1. Wenyeji ni watu wasio na makuu na waungwana (kama tu tabia za Wazaramo na makabila ya Pwani), ni...
  2. JamiiForums Tanzania Kudai katiba mpya ili uchaguzi uwe huru na haki ili taifa likae sawa ni kukosa hoja ? Mbowe bado kibaraka wa CCM

    Nimeona mitandaoni juu ya kauli hii ya Mbowe kuwa CHADEMA ya sasa chini Lissu haijengi hoja kama ilivyokuwa akina Mtei na Bob Makani. Hii sio kweli kabisa. Sasa Hivi Lissu na Heche ndio wanahoja za mashiko. Kwa katiba hii ya CCM ambayo hata mtu hajapigiwa kura anakuwa madarani utaingia ikulu...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA aliyoianzisha mzee Mtei ilikuwa kwa ajili ya kulinda maslahi ya CCM sio kama hii ya sasa chini ya Lissu na Heche.

    Mpaka anaondoka Mbowe ilikuwa ni sehemu ya CCM kudanganya jumuia ya kimataif kuwa kuna upinzani nchini. Ilikuwa ipo kibiashara zaidi ili kunufaisha matumbo ya mabwanyeye waliojipachika jina kuwa wapinzani wakati sio wapinzani. Sasa hovi chini ya Lissu na Heche ndio kimekuwa chama cha upinzani...
  4. JamiiForums Tanzania CCM yaipa pole Msumbiji kwa kukumbwa na mafuriko

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Ndg. Rabia Abdalla Hamid akiwa na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania, Ricardo Ambrosio Mtumbuida alipofika kuwasilisha salamu za pole katika Ofisi za Ubalozi wa Msumbiji jijini Dar es Salaam...
  5. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Jenesta Mhagama anavyowachungulia CCM akitokea Toharani(pulgatory)

    Mbele ya mwili wa Jenista Mhagama na kabla hajazikwa kiongozi mkubwa katika moja ya mihimili alinukuliwa akisema Victor Mhagama, mtoto wa Jenista arithi Ubunge wa Jimbo la Peramiho. Hii ilikuwa kampeni tosha na hivyo Victor hakuhitaji kupiga kampeni yeyote achilia mbali kutoa takrima. Mara baada...
  6. JamiiForums Tanzania Mkitaka kuifuta CHADEMA ifuteni na CCM pia

    Kuna dhana inajengwa Kwa miaka zaidi ya 25 Sasa, kuwa vyama vya upinzani vifutwe kibaki chama kimoja tu CCM. Huwa sielewi akili za watu wanaowaza kuwa kama Tanzania vyama vingine inawezekana kuvifutia usajili ila CCM inatakiwa kubakia. Hivi mnaowaza kuwa vyama vingine na hasa CHADEMA, vinaweza...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: CCM ni chama pekee kinachohubiri amani

    "Chama kinachohubiiri amani nyinyi ni mashaidi ni chama cha mapinduzi peke yake, tukija hapa tutasema dumisheni umoja, upendo na mshikamano, tukija hapa tutasema lindeni amani ya nchi yetu, tukija hapa tutasema tusipoteze tunu ya amani yetu, huwezi kusikia tukiongea vinginevyo. Chama hiki...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Hatuwezi kushindana na vyama vidogo tunavyovilea, CHADEMA, ACT, CUF wote tunawalea

    Akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa Chama cha mapinduzi ni chama kikubwa hakiwezi kushindana na vyama vidogo ambavyo wanavilea akitaja...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: CCM ni chama kinachozingatia utu wa watanzania, hakitikiswi na hakitayumba

    "Chama hiki ni chama cha watanzania wote, hiki ndo chama pekee kisicho na ubaguzi, hiki ndo chama pekee kinachojali vyama vyote, hiki ndo chama pekee kinachojali utu wa watanzania, chama cha mapinduzi kwa lugha nyepesi tunaita hii ni full package imejaa na imetimia, hiki ndo chama imara. Jambo...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Rais Samia hajawahi kuwa mbaguzi, ni mvumilivu, akitukanwa hajibu, CCM haina muda kujibizana

    Akiwahutubia wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa: "Samia hajawahi kuwa mbaguzi. Rais wetu ni mtu mvumilivu; hata akitukanwa, hajibu. Yeye anachojua ni...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania TUJADILI: Mbinu gani sahihi itumike kuiondoa CCM madarakani?

    Kwa muundo wa CCM na serikali yake ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura. Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate? Je, tu-push Maridhiano ya kitaifa? Je, tuendeleze maandamano ya MO29 yalipoishia au tuyaboreshe. How. Je...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania eleweni, CCM ni sikio la kufa. Dawa pekee ya kuwanyoosha kweli ni ICC tu

    Yaliyotokea Mbeya leo hivi ndivyo CCM ilivyo. Anayoendelea kuyafanya Kenan kihongosi hivi ndivyo CCM ilivyo. CCM haijutii vifo vya maelfu ya Watanzania kwenye Uchaguzi wa mwaka jana Oktoba 2025. Yaliyotokea waliyapanga na waliyaandaa maana ile ndo njia waliyopanga kuitumia ili wabakie...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya kijiji yajiuzuru CCM yatupiwa lawama kata ya hezya Mbozi

    20 January 2026 Songwe, Tanzania SERIKALI YA KIJIJI YAJIUZURU CCM YATUPIWA LAWAMA KATA YA HEZYA MBOZI https://m.youtube.com/watch?v=JoLdIMXPKac Serikali ya Kijiji cha Namwangwa kata ya Hezya wilayani Mbozi mkoani Songwe ikiongzwa na Mwenyekiti JAPHET MBUKWA imeachia Madaraka kwa Madai ya...
  14. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku sasa ni yatima; CCM hawamtaki na vijana hawamtaki!

    Kwa muda mrefu Mzee Butiku alikuwa anaheshimika ndani ya CCM na vijana kwa ujumla. Ndani ya CCM aliheshimika kama mmoja wa waasisi na mlezi wa vijana. Pia viongozi wa CCM walikuwa wakienda kwake kupata ushauri katika mambo mbalimbali ya kisiasa ndani ya chama chao. Kwa vijana Mzee Butiku...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Mambo ya kukumbukwa zaidi kwenye uchaguzi bandia Okt 29 ni polisi kuonekana mitaani wakipigia kampeni CCM

    Mambo ya kukumbukwa zaidi kwenye uchaguzi bandia oct 29 ni polisi kuonekana mitaani wakipiga kampeni na kurusha chopa yenye bendera ya CCM Mambo ambayo sio majukumu ya kipolisi na yanachochea ubaguzi na umoja wetu kwenye utofauti wa kisiasa.
  16. JamiiForums Tanzania Mbeya: CHADEMA yaendelea kutikisa, Polisi watumika kuiokoa CCM, Wananchi wazomea

    Ni katika Yale maadhimisho ya miaka 33 ya Chadema, ambapo ofisi mpya ya chama hicho iliyojengwa Inyala ilikuwa inazinduliwa. Unaambiwa Poliisi baada ya kuona mtiti wa Chadema wakavamia na kupora Bendera, Bado haijafahamika kama wanaenda kuitundika kwao polisi Au wanawapelekea CCM Katika...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania CCM wanajifanya kutofautiana na Butiku ili tumuone ni adui yao, lakini lengo lao ni moja

    Ziara ya Kihongosi na matamko ya hivi karibuni ya Butiku sio ya bahati mbaya ni mkakati uliopangwa ili kuchota akili za Watanzania. Kihongosi aanze ziara Butiku ajitokeze kumponda kuwa anafanya siasa za hovyo, baadaye CCM ijitokeze kumpinga Butiku kwa softy statement iliyotoka leo. Wanataka...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Kwa kazi kubwa aliyofanya Rais Samia katika awamu yake ya kwanza, alikuwa hana mbadala wa kupeperusha bendera ya CCM uchaguzi mkuu 2025

    Ndugu zangu Watanzania, Ukweli Mchungu ni kuwa Kwa kazi kubwa iliyokuwa imefanywa na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika awamu yake ya kwanza ya uongozi. Ilimfanya na kufanya kukosekana kwa mbadala wake wa kupeperusha Bendera ya CCM hata kama angekuwa hahitaji...
  19. JamiiForums Tanzania CCM: Mpuuzeni Butiku! Zuio la CHADEMA kutokufanya siasa linatoka Mahakamani, sio Serikalini

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefafanua kuwa kuzuiwa kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanya shughuli zake za kisiasa hakutokani na uamuzi wa CCM wala Serikali, bali ni maagizo ya Mahakama Kuu ya Tanzania. kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa Januari 21, 2026, Katibu wa...
  20. JamiiForums Tanzania Siri zenu tunazo kupitia Elimu kubwa CCM mambo yenu ya Gizani mnayo yafanya kuwadhulu watanganyika tunayo na yote yatawageukia ninyi

    Kujua siri za mtu yeyote. Kujua siri za herufi. Kujua siri za maneno. Kujua shughuli za siri. Kwa mashauri ya kijeshi ya kamanda. Kujua siri za... Kujua utajiri mtu alionao. Kujua siri ya sanaa zote. 12\1 MEGILLA, E....... G......, I......, L......, L......, A.....M 12\2 SIMBASI, I...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…