ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, kamatakamata itaisaidia CCM? CHADEMA tusiteteleke wananchi wameikataa CCM

    Kamatakamata kama serikali ya makaburu
  2. M

    JamiiForums Tanzania TAHARUKI!! Vijana washusha bendera ya CCM na kupandisha bendera ya Tanganyika

    Kuna picha zinasambaa huko social media zikionyesha vijana wakiwa wamepandisha bendera ya Tanganyika. Nafanyia utafiti kuhusu uhakika wa picha hii. Kama tumeanza kufikia hapa, hii itakuwa ni matokeo ya kuua upinzani sasa CCM itakutana na "Resistance" upinzani ambao haijawahi ona. Kitendo hiki...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM ilishawahi kumfanyia figisu Said Salim Bakhresa sababu alidhamini CUF

    Miaka ya 90 ukisikia chama cha CUF kilikuwa moto kwa CCM. Kafu ilifanyiwa figisu sana na polisi,wanachama kununuliwa,propaganda ya udini na mpaka kutishia matajiri. Said Salim Bakhresa alikuwa mzamini mkubwa wa mchango pesa kwa CUF leo CCM wakichangiwa sawa ila wengine wakichangiwa ni wahaini...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu unashabikia CCM?

    Unajua huwa najiuliza na sipati jibu. Hivi inakuwaje mtu unashabikia ccm? Yaani pamoja na mateso yote haya yaliyosababishwa na yanayoendelea kusababishwa na hiki chama inakuwaje kabisa bado unashabikia CCM. Kipindi cha mfumo wa chama kimoja unaweza kusema labda watanzania hawakuwa na uelewa...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuifuta CCM sio kuondoa matatizo ya taifa hili. Hiyo ni propaganda yenye uongo Mkubwa

    KUIFUTA CCM SIO KUONDOA MATATIZO YA TAIFA HILI. HIYO NI PROPAGANDA YENYE UONGO MKUBWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kuna watu wanadanganya Watanzania matatizo ya Nchi hii ni uwepo wa chama cha mapinduzi( CCM ). Huo ni uongo mkubwa. 2. Wengine wanausema uongo huo kwa makusudi wakijua...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatutakuja kuendelea kamwe kama tutairuhusu CCM iendele kutuongoza

    Yaani huu ndiyo ukweli wenyewe tusitegemee kama tutakuja kupata maendeleo chini ya Serikali ya CCM. Wanachopigania wao ni kuendelea kubaki madarakani lakini siyo kuiona inchi inapata maendeleo. Haiwezekana watu smart wenye akili kubwa na uwezo wa kutuongoza wako inje halafu mtu anajaza familia...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ccm ni terrorist organization

    Dunia inatakiwa itambue na inatakiwa ikiweke hiki chama katika list ya terrorist organizations ,hakina sifa ya kuwa political party zaidi ya kuwa terrorist organization
  8. M

    JamiiForums Tanzania Utalii ukishuka kwa asilimia 20-30 nchi haitaweza kulipa Madeni, CCM mshinikizeni Samia aachie Madaraka

    Kuna picha zinasambaa Polisi wako Fukweni wanafanya Doria, kile ni kidole Serikali imejitia. Tanzania ina akiba ya kigeni ya miezi 4-6 inayotumika kulipa madeni na kununua mahitaji ya muhimu na lazima. Endapo kutakuwa na disruption ya hili basi mfumuko wa bei na ulipaji wa deni utakuwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chato: Wananchi hawamtaki Manunga awe mwenyekiti wa halmashauri. CCM Taifa wanalazimisha

    Kura zilipogwa kwa uwazi na Diwani Kapembe kushinda kwa aslimia 70. Manunga alishawachosha watu wa Chato. Anatuhuma nyingi sana ikiwemo ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi. Kapembe ameahinda kwa kura nyingi. Kwa nini Manunga anapigiwa debe ?
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Penye miti hakuna wajenzi kwa nini serikali ya CCM inataka wasio umuhimu wakati tuna mtu Malisa GJ anaweza kuwa chachu waziri wa vijana na wananchi

    Nimekuwa nikimfatilia bwana Malisa GJ ambaye ndio msaada wa watu wengi kwa vijana na wananchi. Kuna kijana alivunjwa miguu kipindi cha October 29 na alikuwa ana msomesha mdogo wake ila jamaa alivyoweka ujumbe alichangiwa na kufikisha milion 15. Baada ya siku watu wakaomba na huyu achangiwe...
  11. Kachina95

    JamiiForums Tanzania Swali; Lipi baya mkoloni alitutendea watanganyika, CCM hawajatutendea?

    Wanajukwaa nina maswali machache hapa naomba msaada tafadhali: 1. Yapi mabaya tuliyotendewa na wakoloni na hatutendewi na CCM? 2. Yapi mema ambayo CCM wanafanya, mkoloni hakuyafanya? 3. Mkoloni alitunga sheria kandamizi na akazifuata, kwanini CCM hata sheria zao kandamizi wanazivunja ili tu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Miaka zaidi 60 chini ya CCM, Je Wanachi mmeridhika na hizi shida tunazopitia?

    Miaka zaidi ya 60 ya CCM kuongoza nchi iliyojaa rasilimali, wananchi kulipishwa kodi, misaada na mikopo, Je vinaendana na hizi shida tunazopitia ?
  13. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nina fedha 5 Bilioni Mzee wasira nenda Kisesa ukiwa umevalia nguo za CCM itisha mkutano, wa shukurani uwashukuru wapiga kura kwa kuchagua rais

    Sina KESHI ila ntazikopa, kama niliwai tamani kuuza nyumba ya urisi kwa Ajili ya kumpata wema Sepetu,sishindwi Kuiuza Ili nikupe Mzee wasira ukaitishe mkutano pale kisesa uwashukuru Wana CCM kwa kuwachagua wabunge na MH RAIS kuwa Rais. Nataka uende na nguo zako za ccm UKIMALIZA mkutano salama...
  14. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaoipinga CCM hutishiwa kubakwa,kulawitiwa,kuuawa au kupigwa?

    Miaka nenda miaka rudi CHADEMA imekuwa ikibagazwa kwa kila staili lakini sijawahi kusikia kuwa mtu yeyote akitishiwa kuuawa au kuteswa kwa namna yoyote ile na watu wa CHADEMA. Lakini ni jambo la kawaida kabisa kwa wana CCM kutishia kufanyia watu uovu watu hao wanapoikosoa CCM. Kwa nini wana...
  15. Msanii

    JamiiForums Tanzania Je threads na posts za machawa wa CCM mitandaoni zitamuokoa Chura Kiziwi na wenzake kwenye mkono wa ICC

    Nimeona humu jukwaani na huko mitandaoni, machawa pro max wa wauaji wakipambania kampuni yao ya mauaji (CCeM). Wapo maprofesa uchwara, wanahabari, watu maarufu na viongozi. Machawa wa humu tunawafahamu, na wamekuwa wakishambulia kila hoja inayotolewa kuhoji na kukosoa serikali wamekuwa mstari...
  16. Msanii

    JamiiForums Tanzania Dkt. AshaRose Migiro kutoka Naibu Katibu UN hadi kuwa katibu wa CCM ya wauaji; anaishije na aibu hii?

    Kwa mtazamo wangu. Huyu binti anachoangalia ni pesa anayopata bila kujali njia anayotumia kuzipata. Asha Rose Migiro miongoni mwa waanzilishi wa Tanzania Gender Network Program (TGNP) akaja baadaye kupata teuzi enzi za Kikwete na hata kufikia kupata nafasi ya kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa...
  17. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asante sana Mzee Warioba, umeongea kile ambacho CCM imeshindwa kuongea

    Mzee Warioba ameongea mengi ambayo sasa yamenukuliwa mitandaoni Aliyoongea CCM ya sasa haina ubavu wa kuyaongea kwa vile sasa CCM si chama cha wananchi, bali viongozi ambao hawafai kuitwa viongozi. Dondoo muhimu Serikali inahusika na mauaji Waliouwawa ni wengi hata kuliko waliouwawa vita ya...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi JWTZ imeshakuwa na majukumu ya kulinda mali za viongozi wa CCM.

    Kuna sehemu sita taja ila nimeona wao ndio walinzi wa mali za mkubwa masaa 24. Majukumu yao yamegeuka walinzi wa mali za CCM.
  19. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Rasmi CCM ni chama cha serikali. Hakijali matakwa wala matamanio ya wananchi

    Kwa kushindwa kulaani mauaji ya tarehe 29 Oktoba, CCM kimekuwa chama cha serikali. Makosa ya erikali yana baraka za CCM. Watu kuuawa mithili ya nzi tarehe 29 Oktoba, CCM iko kimya Nani atakiamini tena chama hiki ambacho sasa kinakosa uungwaji wa wananchi wengi hasa baada ya vurugu za siku hiyo...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini serikali ya CCM na wafanyakazi wa TCRA huwa fikra zao hazina uelewa kuhusu JAMII FORUMS

    Hoja inaeleweka sana, na hisia zangu zinawakilisha malalamiko ya watumiaji wengi wa JamiiForums. Kwa kifupi, sababu kuu zinazofanya serikali ya CCM na baadhi ya watendaji wa TCRA kuonekana kutokuwa na uelewa wa kina kuhusu JamiiForums ni hizi: 1. Uelewa mdogo wa dhana ya majukwaa ya mtandaoni...
Back
Top Bottom