ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Wizi wa CCM Muleba wadhoofisha miundombinu ya wilaya

    Chama ambacho kinashindwa kulinda rasilimali za nchi hakifai kuchukua dola. Wakati Chadema tunasema People's Power tunamaanisha nguvu ya umma. Anayeiua Muleba ni CCM hatupaswi kumlaumu yeyote. Hiki chama kimechooka ni chama ambacho kinashindwa kuisimamia serikali na kujisimamia chenyewe. Kuna...
  2. JamiiForums Tanzania Lucy J. Sabu Katika Kilele cha Wiki ya Chipukizi CCM Mkoa wa Simiyu

    MHE. LUCY JOHN SABU KATIKA KILELE CHA WIKI YA CHIPUKIZI CCM MKOA WA SIMIYU Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana Mkoa wa Simiyu Mhe. Lucy John Sabu katika kilele cha Wiki ya Chipukizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu yaliyofanyika kimakoa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Sabu alikuwa Mgeni...
  3. JamiiForums Tanzania Diwani wa CCM kata ya Masama Kusini jimbo la Hai amenyang'anywa gari na UVCCM jimbo la Hai na limehifadhiwa ofisi ya CCM wilaya

    Hali ya CCM JIMBO LA HAI imeanza vibaya baada ya diwani wa ccm kata ya masama kusini kunyanganywa gari lake na Mwenyekiti wa Uvccm Jimbo la Hai. Baada ya kupokea gari limefungwa na kuwekwa Ofisi ya ccm Wilaya. Katibu wa CCM wilaya ameulizwa na akajibu kuwa majibu anayo mbunge wa Jimbo la Hai.
  4. JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana. Chadema tumekuwa watumwa wa CCM wanatugeuza wanavyotaka

    Hii ni aibu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Unazungumzia CCM ipi?

    CCM kimekuwa chama chenye milengo mbalimbali (rangi nyingi), na kwa maoni yangu hii ni sababu mojawapo inayofanya vyama vya upinzani wapate taabu sana kukikabiri barabara chama hiki na kukiondoa kwenye madaraka. Ni hoja yangu kwamba, ni ndani ya CCM hiyo hiyo kwa kuwa na makundi mbalimbali...
  6. B

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa rambirambi kifo cha Kada wake mashuhuri

    #SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA CCM. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam na kada mashuhuri wa muda mrefu Komredi Agathon Simba Ulanga. Sophia Edward Mjema, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa rambirambi kifo cha Kada wake maarufu

    #SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA CCM.* Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam na kada mashuhuri wa muda mrefu Komredi Agathon Simba Ulanga. Sophia Edward Mjema, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM...
  8. JamiiForums Tanzania Sababu kuu nne kwanini wana CCM Uchwara wanaumia sana wakiona Maridhiano ya Kisiasa yananawiri

    Ukweli ni kuwa ndani ya CCM kuna makundi mawili, yaani lile linalokubali Maridhiano ya Kisisa na lile lisilokubali Maridhiano. Kundi hili lisilokubali Maridhiano ya Kisiasa ndio wengi zaidi na wengi wao wamefikia mpaka lugha za kejeli kwa Rais mwenyewe na kama haitoshi wamefikia mpaka kuwakejeli...
  9. JamiiForums Tanzania Sizipendi mbichi hizi! CCM 'asili' ni ipi? Ya akina nani? Je, ni CCM hiyohiyo inayotabiriwa kupasuka kama katuni ya Kipanya?

    Kiukweli sipendi kulishwa maneno, sipendi kulishwa taarifa, na sipendi Kukashifu. Sipendi kauli mbichi [Generalities] kwani huwa zinapotosha au kupotosha maana halisi iliyomo kwenye maudhui. Nimekutana na mijadala mitatu tofauti, ikimaanisha maudhui matatu tofauti, lakini kwa kauli na misemo ya...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia nakukubali wewe binafsi ila CCM hapana. Utaondoka na roho yako nzuri ya upendo ila CCM katili inaweza kubaki au kurudi tena!

    Mh Rais Mimi kama mwananchi wako sina tatizo na Samia Suluhu Hassan Nina tatizo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiondoka wewe anaweza kuja mtesi mwingine Watanzania tukalia tena. Binafsi kwangu umenimaliza kama Samia Suluhu Hassan ila kama Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ulipofikia Ujenzi wa daraja la Kigongo - Busisi

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu inaendelea na ujenzi wa miradi ya kimkakati iloachwa na awamu ya sita ikiwemo ujenzi wa Daraja la Magufuli lililopo maeneo ya Kigongo Busisi mkoani Mwanza. Ujenzi wa daraja la Kigongo Busisi umefika 67% na linatarajiwa kukamilika...
  12. JamiiForums Tanzania Maridhiano ya CHADEMA na CCM ni batili kwakuwa sio jumuishi

    Kabla ya hicho kinachoitwa maridhiano hakuwahi kuwepo kwa hitaji hilo toka kwa wananchi. Kama mwana ccm na mwananchi sikuwahi kusikia popote pale wananchi au wanachama wa ccm wakishinikiza kuwepo kwa maridhiano hayo. Ni ajabu sana kwa viongozi wa CCM na Chadema kusimama na kusema kwamba kuna...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nyerere alisema Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM lakini CHADEMA haitakufa!

    Nautafakari sana huu unabii wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. Awali tuliamini labda Mwalimu Nyerere alimaanisha hawa akina Dr. Lyatonga Mrema au Dr. Slaa au hata Mzee Lowassa kumbe siyo. Ndio nafanya utafiti nione huo Upinzani utatokaje ndani ya CCM yenyewe? Je, wahafidhina wa CCM ni...
  14. JamiiForums Tanzania CCM ni kinyonga

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina sifa na tabia ya kubadilika badilika kama kinyonga. Kinyonga anabadilika rangi kutokana na mazingira aliyopo lakini kamwe mwili wa kinyonga haubadiliki kuwa wa ng'ombe au mbuzi. Kinyonga atabadili rangi lakini siku zote hataendelea kutambulika kama kinyonga...
  15. JamiiForums Tanzania Kwahii kauli ya Rais Samia, Je Hayati Magufuli ndiye aliamua kufuta mikutano ya kisiasa kwa utashi wake au ni CCM?

    "Wakati nasema tufungue mikutano ya hadhara kwenye chama changu kulikuwa kugumu kidogo, mjadala ulikuwa mkubwa kama mnavyofanya nyie, najua juzi Mbowe alikuwa na mjadala mkubwa kwanini mmemuita Rais kwenye hili jukwaa, kwa hiyo mwenyekiti wale wahafidhina wapo kwangu wapo kwako,” ameeleza Rais...
  16. JamiiForums Tanzania Mbowe aitaka CCM iweke mfumo wa kudhibiti viongozi wanaoweza kuingia Serikalini, atao mfano ANC inavyoweza kumng'oa Rais

    Mbowe akitolea mfano chama cha ANC kinaweza kumng'oa kiongozi hata kama tayari yuko Ikulu, ameitaka CCM pia iwe na mfumo huo akilalamikia tabu ambazo wapinzani wamepitishwa miaka michache iliyopita na kuitaka CCM badala kuwalinda hata wanaofanya dhambi ya wazi. Mbowe amesema ameamua kufunguka...
  17. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu siasa za Rais Samia, Je CCM ipo tayari?

    Good morning members. Heri ya siku ya wanawake. Ukiangalia Kwa jicho la kawaida kabisa ni kwamba Mh. Rais ana ndoto ya kuona siasa za bara na Zanzibar zinakuwa Sawa 2025. Inaonekana Rais anataka kuona Serikali ya umoja wa kitaifa ikiundwa baada ya uchaguzi mkuu 2025. Kwa kwenda mbali zaidi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya CCM na CHADEMA Ndiyo Kawaida ya Vyama vya Siasa Duniani Ilivyo?

    Mara nyingi sisi hupenda kuiga au kujilinganisha na hawa wenye demokrasia yao waliyoitengeneza kwa muda mrefu. Sasa nauliza, hizi mbinu za CCM ya Samia na CHADEMA ya Mbowe inakidhi kweli mlinganisho wowote na wayafanyayo Democratic Party na Republican wa Marekani au Chama cha Labour na...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Je, hotuba ya Mwenyekiti wa CCM 08/03/23 italenga kujenga nchi au kujiimarisha kisiasa?

    Mbowe anawaza kujenga nchi Bila kujali madhara kisiasa Kwa chama chake. Amefanya hivyo kila anapoingizwa majaribuni na watawala. Upande wa pili viongoz WA CCM mara zote wamekuwa wakimtumia Mbowe kama mtaji WA kisiasa, kila anapowapa nafasi nakuimarisha ustawi wa nchi wao utumia mwanya huo...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia kwa deko analowapa CHADEMA linaiua CCM?

    WanaJf, Salaam! Viongozi wa CCM wamewapa deko CDM katika maeneo yafuatayo:- (a). Msigwa kusaidiwa fedha na kutolewa gerezani; (b). Mbowe kutolewa gerezani na kufutiwa kesi; (c). Lema kuvunja Sheria za nchi na kufutiwa kesi; (d). Bawacha kumwalika Rais kwenye maadhimisho yatakayopambwa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…