ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania CCM wangekuwa CHADEMA wangeandamana!?

    CCM wanaposhangaa ni kwa nini CHADEMA hawaandamani dhidi ya utawala wao dhalimu kwa watanzania, huwa najiuliza maswali mengi sana. Jee CCM ingekuwa iko sehemu ya CHADEMA kwa sasa (Yaani kuwa chama cha upinzani) je wao wangeandamana na hoja yao ingekuwa wanataka kuandamana kwa ajili ya nini...
  2. JamiiForums Tanzania "Block farming" ni agenda ya kitaifa au ni agenda ya CCM Awamu ya Sita?

    Nianze kwa kusema hata mimi nauona mwanga kwenye kuwekeza kwenye kilimo chenye tija kutokana na ukubwa wa nchi yetu yenye kila kitu kinachofaa kwa kilimo, ufugaji na uvuvi. Hofu yangu kuu kuhusu huu mkakati wa Waziri Bashe na Rais Samia wa block farming nauna kama vile hauna tofauti na ule wa...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA njia pekee ya kushika dola 2030, unganisheni nguvu na team Magufuli

    Miaka takribani 2 imepita toka afariki Hayati Rais wa awamu ya tano John Pombe Magufuli na juzi tarehe 17/03/2023 tumeazimisha miaka miwili ya kifo chake kwa masikitiko makubwa. Baada ya kufariki kiongozi wa awamu ya 5 nchi imepitia vipindi tofauti ambavyo vimethibitisha na kudhihirisha aina ya...
  4. JamiiForums Tanzania Huwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa Afrika

    Huwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa afrika.Tumetoka mbali,tumepitia milima na mabonde, tumepitia mifarakano na mipasuko na tumekomaa na siasa za kiafrika na tunajua nini maana ya kushika dola na kuiongoza kimkakati. Sasa unapokuwa unazungumzia siasa za Tanzania usiilinganishe CCM na...
  5. JamiiForums Tanzania Hatutasahau CHADEMA kushirikiana na mtesi wetu CCM

    Hatutasahau Wananchi kusalitiwa na CHADEMA mchana kweupe, hatutasahau CHADEMA kushirikiana na mtesi wetu CCM. Hatusahau CHADEMA kuikataa hoja ya Wananchi kuhusu mchele kupanda toka Tsh. 1,500 hadi 4,000 kilo moja, Maharage toka Tsh. 1,200 hadi 3,800 kilo moja, Unga kilo toka Tsh. 800 hadi...
  6. JamiiForums Tanzania Ruzuku na asali za CCM ndio zimetufanya kusahau michango ya makamanda? Hiki kiburi cha muda kitaisha tu

    Tunasahau kuwa tulikuwa tunachangishana kwenye shida na raha? Tunasahau mabakuli waliopitisha vijana wa Bavicha na kuingiza pesa kwenye akaunti zao binafsi za M pesa? Hii ruzuku na asali za CCM zimefanya kuwa na kiburi kiasi cha kusahau umuhimu wa michango ya makamanda.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini UWT ni taasisi ya CCM? Kwanini isiitwe Umoja wa Wanawake wa CCM (UWCCM) halafu UWT ikawa umoja wa wanawake wote Tanzania?

    Inashangaza kuona kwamba UWT ni taasisi ya CCM. Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) unapaswa kuwa umoja wa wanawake wote Tanzania bila kujali itikadi ya vyama. Wanawake wa CCM waanzishe umoja wao kama ilivyo BAWACHA kwa CHADEMA, n.k. CCM kiache kupora taasisi na mali nyingine za umma na kuzifanya...
  8. JamiiForums Tanzania Maadhimisho miaka miwili ya SSH ni wazi CCM na Serikali wanalazimisha shibe ya supu ya mawe

    EWURA ni jipu la Taifa, ikulu iliangalie hili kwa jicho la kuwajali wananchi TANESCO inatumika kisiasa, na hili limefanikisha wananchi kukosa imani na serikali. Polisi imeshapoteza uadilifu wake. Sheria na muundo wake vibadilishwe kwani ushshidi ni mwingi wa maovu yanayofanywa na polisi kuliko...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kutofanya kumbukizi ya Magufuli ni makosa yataigharimu CCM

    Amekufa na ila mnataka kujifanya hakuwepo wala hamkumbuki. Haya good move kwakweli.... Who is chadema who is ccm
  10. R

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mbunge wa Serengeti arejea CHADEMA. Aeleza kilichomsibu na kuomba msamaha

    Ni mbunge wa zamani Jimbo la Serengeti. Ameeleza kuwa kile kilichowakimbiza Mh Lissu na Mh Lema kwenda ughaibuni ndio hicho hicho kilichomfanya kuunga juhudi. Kwa maana nyingune kunguru Mwoga hukimbiza ubawa wake. Mbunge akiwa chadema 2015 hadi 2018 alipoamua kuunga juhudi. Aomba msamaha...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa wawekezaji na wananchi umepelekea kifo cha Katibu wa CCM Luturo, Muleba

    Siku kadhaa zilizopita, katibu wa CCM Lutoro Muleba ameuaawa kwa kupigwa risasi na walinzi wa ranch za wawekezaji Lutoro mpakani mwa wilaya ya Muleba na Karagwe-Kagera. Hapa chini ni kipande cha video wakati wa mazishi ya huyo kijana. Mbuge wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage alionekana...
  12. JamiiForums Tanzania Hatari! Ndani ya CCM Ukweli ni Sumu, Inakuangamiza Msemaji

    Kama mtu mzito kama Dr Anthony Diallo ambaye alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa, Mbunge na waziri mwandamizi mstaafu na mmiliki wa vyombo vya habari chini ya Sahara media ambavyo ni kama ilikuwa ni mali ya CCM anaweza sema ukweli na chama kikamla kichwa wewe mwingine ni nani upone baada ya kusema...
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge Stephen Byabato Mgeni Rasmi Mkutano wa CCM Bukoba Mjini

    WAKILI STEPHEN BYABATO(MB) MGENI RASMI MKUTANO WA CCM BUKOBA MJINI. Naibu Waziri wa Nishati na Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Mhe. Stephen Byabato tarehe 12 Machi, 2023 alikuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa hadhara wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Bukoba Mjini. Kupitia Kikao Hicho Mhe...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM na Serikali mnajisikiaje mkiuona uwanja wa Azam Complex?

    Yaan ina tia hasira na pia inahuzinisha, mnashindwa ingia ubia na wamiliki wa Ccm wanaomiliki viwanja vingi mapato yakaenda halmashauri kwenye mgawanyo? hao waarabu wanaotunyanyasa ubora wa viwanja vyao unachangia. Huku mnaweza fanya kitu kizur kikatutambulisha watanzania. Hata mashindano yenu...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM wanaitwa MATAGA?

    Nimekuwa nikisikia hili jina kitambo Sasa. Najua hili jukwaa la Siasa. Kwanini CCM wanaitwa MATAGA? Binafsi sifurahishwi na hili jina, japo sijui maana halisi.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Wanachadema wote waliosimama na wananchi wakati wa JPM majimbo Yao yanawasubiri warejeshewe Ubunge wao. Wana CCM waliobweteka mtaa unawasubiri

    Kusimamia Haki kunalipa, kusimama na wanaoonewa kunalipa na siku zote wananchi awafundishwi kuchagua jema na baya Bali wanalazimishwa kuchagua wasichokitaka. Majimbo mengi ambayo wagombea Ubunge WA pande zote walisimama na wananchi hakuna changamoto ya wagombea hao kushawishi Sana wapiga...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Nawatonya! Upinzani wataongea mambo ya ovyo kimkakati wa maridhiano na CCM kwa ahadi ya kurejeshewa majimbo yao 2025

    Hakika upinzani upo kimaslahi binafsi! Hakuna chama cha upinzani chenye nia ya kushika dola! Hata rais mbele ya bawacha alilisisitiza hilo, siyo kwamba alitania, ukweli ndiyo huo! Kelele za upinzani huwa ni za kutafta shibe hakuna chama hata kimoja chenye nia ya kushika dola kwa sasa! Katika...
  18. JamiiForums Tanzania Wizi wa CCM Muleba wadhoofisha miundombinu ya wilaya

    Chama ambacho kinashindwa kulinda rasilimali za nchi hakifai kuchukua dola. Wakati Chadema tunasema People's Power tunamaanisha nguvu ya umma. Anayeiua Muleba ni CCM hatupaswi kumlaumu yeyote. Hiki chama kimechooka ni chama ambacho kinashindwa kuisimamia serikali na kujisimamia chenyewe. Kuna...
  19. JamiiForums Tanzania Lucy J. Sabu Katika Kilele cha Wiki ya Chipukizi CCM Mkoa wa Simiyu

    MHE. LUCY JOHN SABU KATIKA KILELE CHA WIKI YA CHIPUKIZI CCM MKOA WA SIMIYU Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana Mkoa wa Simiyu Mhe. Lucy John Sabu katika kilele cha Wiki ya Chipukizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu yaliyofanyika kimakoa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Sabu alikuwa Mgeni...
  20. JamiiForums Tanzania Diwani wa CCM kata ya Masama Kusini jimbo la Hai amenyang'anywa gari na UVCCM jimbo la Hai na limehifadhiwa ofisi ya CCM wilaya

    Hali ya CCM JIMBO LA HAI imeanza vibaya baada ya diwani wa ccm kata ya masama kusini kunyanganywa gari lake na Mwenyekiti wa Uvccm Jimbo la Hai. Baada ya kupokea gari limefungwa na kuwekwa Ofisi ya ccm Wilaya. Katibu wa CCM wilaya ameulizwa na akajibu kuwa majibu anayo mbunge wa Jimbo la Hai.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…