Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Nchi ambayo inaelewa umuhimu wa umeme nyakati za usiku haiwezi kukata umeme usiku sababu ya mgao.
Mgao ni mchana na ndio umeme unatumika mwingi. Usiku umeme unatumika sana kwa ajili ya ulinzi ni kimaanisha taa, alarm na mawasiliano, lakini TANESCO wanakata umeme as if wanataka kumkomesha Waziri...
Ni vyema hali ya uwanja ikawa wazi kwetu na kwao. Ukweli hautaacha kuwa mchungu.
Kususia uchaguzi itakuwa ni SAWA na kususia fisi bucha. Wanapaswa kujua kususa hakupo!
Kujipanga kwa ushindi katika hali yoyote nako hakuwezi kuwa impossible.
Hata hivyo itataka kusugua vichwa kweli kweli...
Wiki chache zilizopita tulishuhudia mjadala mkali kuhusu bandari, baadaye kukaibuka tetesi za rupia kupenyezwa kwa baadhi ya wakazi wa Ufipa ili wajiondoe katika mjadala huu.
Dkt. Slaa, Dkt. Nshallah, Mwabukusi, Tundu Lissu, TEC na wananchi wengine wakaendelea kutoa elimu kuhusiana na kile...
CCM ni chama kinachotumia mbinu duni mno kudanganya , nadhani hii inatokana na chama chenyewe kuwa kichakavu ni cha zamani na hakifahamu lolote kuhusu mbinu mpya.
Huko Msomera, kule walikohamishiwa wale wamasai wa mchongo kumepigwa Tukio lililoongozwa na viongozi wa CCM na kupachikwa jina la...
Katika eneo ambalo CCM na serikali yake ina upiga mwingi kwa msemo wa machawa na wafuasi wake ni kwenye uteuzi na utenguzi.
Hii ni moja ya sera yao ambayo hakunadiwa katika ilani yao lakini wasimamizi wake wa ilani wanaishadadia sana.
Huu ni mfumo ambao unazoeleka lakini hatuoni impact ya...
Halina ubishi teuzi zote za akina Nape Nnauye, Makongoro Nyerere, Januari Makamba, Ridhiwani Kikwette, Halima Bulembo, Maharage Chande, Vita Kawawa na wengineo wengi zilikuwa ni kulipa fadhila kwa wale wanaoitwa "waasisi wa CCM."
Wateule wote hao hapo na wengine wengi lazima waepita kwa JK au...
Salaam ni jadi yetu watanzania!
Mada ni kuwa hata MTU ajitoe vipi ufahamu lkn kila unaposimama au kuangaza macho kazi ya Rais Samia Suluhu kupitia CCM inaonekana bayana. Iko hivi
Miundombinu ya Reli, Barabara, Viwanja vya ndege vinaonekana - CDM hamvioni?
Ajira kwa vijana zimeongezeka sana...
Kuna mambo yanachukiza sana, unawadhulumu watu haki zao Kwa matamko ya ajabu ajabu. Tuendelee na Maombi. Wengine sio waandishi wazuri, soma hapa, kama kusoma huwezi angalia hata picha.
https://x.com/Nipashetz/status/1705118421573124143?t=PH1lYCqRBljDPzKADk7X5Q&s=08
Huo ndo mtazamo wangu toka enzi za mwalimu kanda ya ziwa imeshikiria uhai wa CCM..
Kanda ya ziwa ni kuanzia Tabora. Mara, Kagera. Mwanza. Geita, Simiyu. Shinyanga na sasa Mpanda...
Sababu.
1. Wapiga kura wake ni wengi sana na wana msimamo.
2.wapiga kura kutoka ukanda huu
wametapakaa Tanzania...
Tangu IPTL, RICHIMOND, DOWANS, PAP, Gesi ya Mtwara na migawo yote unayoijua, lakini bado tatizo halijaisha
Huu ni ushaidi wa wazi wa kushindwa kwa ccm kuwasaidia Wananchi.
Nashauri iondolewe Madarakani
Ushindi mkubwa wa kishindo walioupata CCM katika jimbo la mabara-Jijini Mbeya, ni ishara njema ya kukubalika, kuimarika na kuaminika kwa chama cha mapinduzi kwa wananchi na uhakika wa kushinda chaguzi zijazo.
Lakini pia uchaguzi huo ni fursa muhimu zaidi kwa upinzani kujipima, kujitathimini...
Imagine hawa ndio walikua wazalendo no moja tz kwa mujibu wa wao wenyew, mi natoa RAI kwa CCM. Jaribuni kwenda na wakat dunia ishabadilika watanzania wameamka na wana uelewa mpana san!👇👇👇👇
Hii ni kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi ,uwe uchaguzi mdogo, uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu. Kila chama ni muhimu kufanya maandalizi ili kuepuka kutupa lawama kusikostahili.
Kwanza, Kila chama kinatakiwa kihakikishe kina wanachama wafia chama ambao watakuwa pamoja na...
Hali si hali. Sauti za kudai haki na usawa hizi siyo za kupuuza tena:
Kwa hakika tumedhamiria mno.
"Hamna uchaguzi mkuu bila tume huru." Ikawaingie vyema akilini.
Ipo tofauti kubwa baina ya kutoshiriki uchaguzi na uchaguzi kutokuwapo.
Busara na ikawaingie ma CCM wahafidhina hawa kabla...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameibua mjadala kwenye mtandao wa X baada ya kusema kuwa amefanya kazi makao makuu ya CCM kwa takriban miaka 20, na mtanzania atakayepata takwimu zozote zinazokihusu chama hicho na akazimini atakuwa mtu wa ajabu.
“Mpaka report...
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo na Mbunge wa JImbo la Songea Mjini, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameambatana na Komredi Alhaji Mwinyi Msolomi, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Songea kutoa msaada wa mifuko 50 ya Saruji ili kuwezesha ujenzi wa Ofisi ya Tawi la Mahenge Kata ya Songea...
Hii hapa ni Kata ya Kipeta , akishirikiana na Daniel Naftari , kijana aliyeporwa ubunge 2020 kwa mtutu wa bunduki
Kinachoogopesha ni umati unaojaa kwenye mikutano yake , yaani huwezi kutofautisha na ile inayoendelea Lindi na Mtwara
Habari JF, katika pita pita zangu nimekutana na hii clip, mzee anaongea kwa uchungu katika mkusanyiko wa kijiji.
Kaenda mbali mpaka kuuliza kwamba Tanzania hii wanaojua kusoma na kuandika ni CCM peke yao tu.
Kama anavyoongea ni kweli, sisi ni nani tusiwe na mashaka na hiki Chama?
Wiki kadhaa zilizopita nilikuwa na mizunguko huko mikoa ya kanda ya ziwa, baada ya kudodosa mawili matatu toka kwa wahenga wa huko nikabaini hawa watu kuna jambo wanalo moyoni kuhusiana na mtoto wao.
Kwakifupi sijui ni kwanini ila wengi wanawahusisha sana hao waheshimiwa hapo juu na kisa cha...
Kwa ufupi na kwa uchache;
"Inashangaza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anahubiri amani, uzalendo na utulivu huku akisahau neno HAKI Kwa makusudi. Pengine hajui kuwa hayo yote ni tunda la HAKI. Bila haki, hakuna yote hayo!"
"Kuhusu Rais kuita katiba ya JMT kama kitabu tu kama vitabu vingine...