Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Tuache unafiki Mbowe hapedwi na watu wa CCM kwasababu moja tu anajua kuongoza, street smart, haongeki, ana heshimika na anajua kuongoza. Kuna wanasiasa wengi sana ni wazuri wa kuongea tu lakini huwezi kuwapa hata mradi wa kuku.
Huyo ni kiongozi wa CCM yupo shuleni anatoa hamasa wanafunzi wajiandikishe tangu nimenza kusoma takribani miaka 20 iliyopita sijawahi ona chama chochote cha siasa kinakuja kuamasisha wanafunzi wajiandikishe kupiga kura.
Serikali ituambie je CHADEMA na ACT-WAZALENDO waende shuleni?
Tundu Lisu yupo kimya sana baada ya kufanya mikutano Mkoa wa Singida. Alipata uungwaji mkono mkubwa sana jambo linaloweza kuwa limepelekea mahasimu wake wampangie bei.
Since then, ametulia na amepunguza makeke hata kwenye social midia. Ndugu yetu huyu aliyekunywa maji ya bendera na mzalendo wa...
Tofauti ya binadamu na wanyama, ipo kwenye ustaarabu, lakini kwenye mambo mengine mengi, tunashabihiana.
Wanyama wanakula kama tunavyokula wanadamu.
Wanyama wanajamihiana, kama ilivyo kwa binadamu.
Wanyama wanazaa na kufa kama ilivyo kwa wanadamu.
Mwanadamu ambaye ubinadamu wake umekamilika...
Nape na makamba kurudi CCM kuchukua Nafasi za uenes na ukatibu.
Baada ya Tenguzi katika nafasi zao za Uwaziri January Makamba na mwenzake Nape watapangiwa majukumu katika Chama kutokana na uzoefu wao katika kazi hasa nyakati za uchaguzi mkuu.
Pamoja na Nape kuwa bomu bingwa wa uropokaji, Chama changu kitukufu tuwe macho na Peter Msigwa staili yake ya kuzungumza bila kupima kauli zake inaweza kukiponza chama.
Ana speed kali juzi Kawe alimlinganisha Mbowe na Kurunzinza wa Burundi kwa Udikteta bila kujua kuwa tuna urafiki wa karibu na...
Tar 21/7/2024 , utenguzi wa mawaziri Nape na January Makamba umefanyika , waheshimiwa hawa ni mashuhuri sana katika matumizi ya Teknolojia na ni viongozi wanaoweza kujieleza vizuri.
Hivyo tutegemee mitandaoni ya kijamii kuchangamshwa na habari mbali mbali zikiwemo za ndani sana zitazokahusu...
Sasa ni dhahiri kwamba kasi ya kuchafuana kwa makada wa chama cha mapinduzi Katika Jimbo la moshi mjini inazidi kushika kasi kadri siku zinavyozidi kuyoyoma kuelekea uchaguzi mkuu hapo mwakani.
Wapo vijana wanaoendesha harakati hizo kupitia magroup ya WhatsApp wakiwalenga makada wa CCM...
Ndg yangu Msigwa habari! Nimefuatilia kiasi kikubwa mikutano uliyopewa nafasi kutoa hotuba yako. Nindhani tutakuwa tumekuelewa.
Sasa itakuwa ni vizuri utueleze na uzuri wa huko uliko hamia CCM.
1. Kama rushwa haiko.
2. Maneno aliyosema Nape kama si...
Mbunge wa kuteuliwa na Rais na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amemuandikia Spika wa Bunge la Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson barua ya kujiuzulu Ubunge leo Jumapili tarehe 21 Julai, 2024.
Mchungaji Msigwa
Ukihitaji salamu subiri kwanza Utopolo wamkung'ute, Kolo 5 - 1 hiyo tarehe 8, tofauti na hapo utaula wa chuya!
Bado nashangazwa sana na Siasa anayoifanya mtu mzima Peter Msigwa, sababu ya yeye kuhama CHADEMA alisema ni uminywaji wa Demokrasia huku lawama kibao akimtupia...
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaomba Machifu kuhamasisha watu waowaongoza kuchagua vongozi kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi mdogo utakaofanyika mwaka huu kwani chama hicho kimekuwa kikisimamia serikali vizuri.
Akizungumza na Machifu hao leo Jumamosi Julai 20 2024 Ikulu...
Katika Mkutano wa Msigwa unaofanyika leo Julai 20, 2024 Iringa Mjini Lusinde amesema;
"CCM na vyama vya upinzani ni kama babu na mjuu, hakuna ugomvi kati yao.
"Mjukuu anaweza kucheka anavyotaka na mjukuu wake, kama babu ana mapengo mjukuu anaweza kuingiza mpaka vidole kwenye mapengo yake, babu...
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji na uchaguzi mkuu wa 2025 watanzania wameamua kwa kauli moja kuja na kaulimbiu ya kishujaa ya "TANZANIA NI CCM NA CCM NI TANZANIA", ni kauli inayochangiwa na imani kubwa waliyonayo kwa CCM, uthubutu wa uongozi wa Ndg.Samia ambaye ni...
Wanasiasa Peter Msigwa na Upendo Peneza wamehamia CCM hivi karibuni kutoka CHADEMA chama kulichowalea na kuwakuza hadi kufikia ngazi ya ubunge na kuwa miongoni mwa wanasiasa maarufu hapa nchini kutokana na michango yao bungeni.
Pia soma: CCM kuubeba msiba wa Lowassa bila kumuomba kwanza msamaha...
Kama unaamini kuwa CHADMA ni Chama cha Siasa basi karibu umsikilize mchungaji Msigwa atakavyokuprove wrong.
Mchungaji Msigwa anaijua CHADEMA nje ndani na ametuomba wana CCM tuamini anayosema kwa sababu yeye ni mtumishi wa Mungu.
Karibuni sana na mkutano utarushwa mubashara na Vyombo mbalimbali...
Kwakua ni swali naweka kwa kifupi, CCM imechukua wanachama wengi wa Chadema na kuwapa uongozi wa juu serikalini, cha ajabu mwenyekiti huyo anayewapokea na kuwateua huku akiwaacha wananaccm wa siku nyingi anadai kuwa Chadema bado wachanga! Sasa hapa nani mchanga kati ya mwenyeji(CCM) na mgeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.