Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Ingawa mimi si mwana-CCM au mwanachama wa chama chochote cha siasa ndani na nje ya Tanzania, tangu utoto wangu nimekuwa nikifutilia siasa. Nikiwa na zaidi ya miaka 40 hapa duniani, nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa siasa na pia kushiriki kwenye chaguzi, kuanzia ule wa mwaka 1995.
Wengi sasa...
Historia ya Cde Bakari inaendelea kumtafuna kwa alikotoka na ambako yupo. Alipokuwa kwenye sekretarieti kama katibu wa vijana Simanjiro alikuwa kikwazo sasa kwa wilaya ya Missenyi ndio kawa kikwazo kabisa kama bosi wa chama. Ndugu Katibu Mkuu najua utakuja Missenyi ila naomba kabla hujafika...
Kwanza ana uzoefu wa muda mrefu, ni Gwiji wa zile mbinu alizosema Mh Nape.
Ameshika nafasi zifuatano ktk zile nyingi
1. Mwandamizi ktk Jeshi la JWTZ
2. Naibu Waziri wa Ulinzi
3. Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Kwenye chama amewahi kuwa
1. Memba Halmashauri kuu NEC
2...
Kufuatia kujiuzulu Kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara A. Kinana Wachambuzi wa siasa wanampa asilimia kubwa Mzee Luteni (Mstaafu) Alhaji Dr Yusuf Makamba kupokea kijiti cha uongozi CCM.
- Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
- Nani atakuwa Makamu...
Haya wacha tuone mwisho wa picha kama sterling ata-survive au lah, kile chama kitapata Usajili rasmi au itakua ni delay technique??
Yajayo hayafurahishi kwa jirani
Abdulrahman Kinana
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika.
Katika majibu yake Mwenyekiti...
CHAGUENI CHAMA CHA MAPINDUZI KWANI NDICHO CHENYE ILANI BORA INAYOTEKELEZEKA - BALOZI NCHIMBI.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akizungumza kwenye mkutano wa hadhara Katika Viwanja vya Sabasaba Mtwara Mjini amesema Chama cha Mapinduzi ndo kinatekeleza...
Picha kama inavyojionesha kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara leo tarehe 28.07.2024 kuonekana kavaa nguo za chama cha CCM wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ je leo jeshi letu ni CCM au ndyo utaratibu wa kijeshi.
Mkuu wa majeshi kwa kukomesha ili mchukulieni hatua mkuu wa Mtwara kwa kuvunja kanuni za JWTZ...
Picha ya Kigwangalla akifanya mambo ya mila
===
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Kigwangalla aeleza ukaribu wake na Sungusungu kutoka kijijini Bujuku ambako alienda kwaajili ya maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Mwenyekitu wa Sungusungu eneo hilo. Ambapo mbali na kutoa salamu za rambirambi...
Wakati wote na mahali pote Mchungaji Msigwa anaelezea ubaya wa Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe tu na huwezi kumsikia akielezea ubaya wa Chadema kama chama
Ogopa sana Mtu wa namna kwani ni Janjajanja fulani
Mlale Unono 😀
27 July 2024
Ubaruku, Mbarali
Tanzania
Mbunge : Chama dola kongwe kina michezo michafu ndani ya CCM , awekwa bayana ....
Modestus Dickson Kilufi fomu za ugombea ubunge ziliporwa na mgombea asiyejulikana...
Modestus D. Kilufi asema CCM haipendi mtu msemakweli na aliyemchapa kazi na aina hiyo...
Ndugu zangu Watanzania,
Wakati vyama kama CHADEMA viking'ang'aniana na kila mtu akijitangaza kuwa ndiye mgombea Urais,wakati CHADEMA ikiendelea kupukutika na kukimbiwa na wanachama wote wenye akili Timamu na wanaojitambua,wakati vyama kama CHADEMA vikiwa vimepotea kabisa mitaani kutokana na...
Nakumbuka Shujaa Magufuli ndiye alitoaga hii Siri ya Viongozi wa Kisiasa kuwekeana Sumu akisema yeye na Mfugale ni wahanga.
Awali Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete aliwahi kusema huko Chamani Watu hawaachiani glass za vinywaji.
Kadhalika Waziri mkuu mstaafu Mzee Sumaye aliambiwaga huko Chadema...
1. Kwani TANU ilikuwa tayari kukabidhiwa nchi na Wazungu hasa ikizingatiwa kuwa ilikuwa ikiongozwa na "kijana" wa miaka thelathini na nane tu? Mbona aliweza kuiongoza kwa "mafanikio" makubwa?
2. Kwa kusema vyama vingine havijawa tayari, kunamaanisha nchi haina mifumo imara ya kiuongozi hadi...
Kwa muktadha wa huu uzi, Chama hasimu kwa CCM ni CHADEMA na kwa CHADEMA ni CCM.
Watu wazuri ni watu wanaoweza kuwa msaada kwa Chama.
Kati ya hivyo vyama viwili, ni kipi kimenufaishwa zaidi na hasimu wake?
CCM ndicho Chama kilichoshinda uchaguzi wa jumla.
Kwa upande wa Urais, ni John Pombe Joseph Magufuli.
Ushindi wa CCM na Magufuli ulimaanisha nini?
1. Magufuli alishinda kwa sababu alibebwa na ukubwa wa CCM?
2. CCM ilishinda kwa sababu ilibebwa na umaarufu wa Magufuli?
Kipi ni kipi?
Wakifika kwako wanataka kujua idadi ya watu wenye miaka 18+ na wanataka uwaite mmoja baada ya mwingine kila mmoja ajitambulishe na aseme yeye yuko chama gani.
Wanakuwa na daftari wanaandika, sasa kama mimi niko CHAUMA wewe kiongozi wa CCM inakuhusu nini? Je hakuna utaratibu wa kufahamiana...
Alipokuwa bungeni kwa tiketi ya CHADEMA, Mch. Msigwa alishawahi kukituhumu CCM kwa kusema kuwa akili ndogo (CCM) inaiongoza akili kubwa.
Kwa yeye kutimkia CCM, ameamua kuwa akili ndogo ili awaongoze akili kubwa au anataka kuifanya CCM akili kubwa?
Pia soma:CHADEMA na CCM wameamua kumpuuza Msigwa?
Mimi sio mwandishi mzuri. Lakini nitaeleweka Kwa hiki kisa changu Cha kweli.
Nilimaliza masomo yangu ya degree udsm mwaka 2011 nakuajiriwa mwaka 2012. Huko shinganya vijijini kama Mwalimu. Hii kazi niliifanya Kwa mda wa mwaka mmoja na nusu tu. Nikaacha na kurudi mitaan. Baada ya kuona ndoto...
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza.
Kwenye pita pita zangu huko mtandaoni nikakutana na Habari ya kijana Mmoja WA ki Jerumani anataka msichana WA Kitanzania Kwa lengo la ndoa.
Nimeweka screenshot hapo chini inajieleza kabisa.
Mkitaka maelezo zaidi mnaweza kwenda kwenye account yake ipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.