ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Mwenezi CCM Kenani Kihongosi: Huwezi ukasema unafuta ushuru kabisa kisa mafuta. Nchi yeyote inaendeshwa kwa kodi

    Wakuu, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Kenani Kihongosi, amewajibu wanaoshinikiza kufutwa kwa ushuru na tozo kwenye mafuta, akisema kuwa hatua hiyo ni "udanganyifu wa kisiasa" na jambo ambalo haliwezekani katika uendeshaji wa nchi yoyote duniani. “Nchi yoyote duniani inaendeshwa kwa kodi...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Machawa wa CCM na uhalisia wa maisha ya mtanzania

    Nauliza kwa dhati kabisa Nauliza swali ambalo wengi wanaogopa kuliuliza waziwazi… Hivi hawa machawa wa CCM wanaishi nchi hii hii tunayoiishi sisi, au wanaishi kwenye dunia yao? Kwa sababu ukweli hauhitaji kupakwa rangi, Maisha yamekuwa magumu kupindukia Vijana hawana ajira Wananchi wanalia...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tarehe 29 Oktoba 2025 haitasahaulika. Ujumbe kwa Samia na CCM

    CCM na huyo Samia wao, wametenga hela nyingi kwa Content Creators ili wawe wanahoji mambo ya kijinga ili kuwasahaulisha watu Ugumu wa maisha, Ripoti ya CAG na Mauaji waliyofanya tarehe 29 Oktoba 2025 walipokuwa wanalazimisha kuongoza Nchi. Hii Video ni Ushahidi kwamba tarehe 29 Oktoba 2025...
  4. JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa Radio 47: Diamond Platnumz ametumia pesa kutoka CCM kurebrand Wasafi FM

    Mtangazi wa Radio 47 ya Kenya Billy Miya katika kipindi cha Maskani47 amedeai kwamba Msanii wa bongo fleva kutoka hapa Tanzania Diamond Platnumz ametumia pesa kutoka CCM kurebrand Wasafi FM. March 30 Wasafi fm walizindua studio zao baada ya kufanyiw marekebisho makubwa, wengine wakihoji pesa...
  5. JamiiForums Tanzania Martin Masese: Festo Kiswaga jimbo la Kalenga ni mfano mmoja tu wa wabunge mzigo, wa kupewa vimemo na kujiropokea

    HUYU NDIYE MMOJA WA WABUNGE MZIGO. ANAPEWA KIMEMO NA MAFISADI WAKIONGOZWA NA KENANI KIHONGOZI KWA UJIRA WA 1M NYONGEZA YA POSHO YAKE YA SIKU, ANAFYATUKA BILA KUSHUGHULISHA KICHWA CHAKE KWA KUFANYA UTAFITI MDOGO TU NDIPO APANUE DOMO LAKE KUSEMA Mtu ‘anayejiita mbunge’ anasema Serikali ya CCM...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jackson Kiswaga: Watanzania mkubali Serikali imeongeza bei za Mafuta kidogo. Punguzeni mambo ya Mitandao, hayana maana

    Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson Gidel Kiswaga akizungumza leo Aprili 2, 2026 kwenye Bunge la 13 Mkutano wa 3 kikao cha 3 Dodoma, ameeleza kuwa kulingana na hali ya kukosekana kwa mafuta duniana kufuatia mgoggoro unaondelea mashariki ya kati inabidi watanzania wakubali bei ya mafuta...
  7. JamiiForums Tanzania Kujivua Uanachama kwa Katibu wa Kanda na Mkoa wa Tanga: CCM na Serikali Yake Wanaogopa Mabadiliko!

    Kama Mwanachadema wa Kanda ya Kaskazini wa Chadema, naijua kanda hii vizuri – tumejenga imani ya wananchi kwa miaka mingi, tumevumilia mateso, na tumeendelea kuwa nguvu ya mabadiliko Nawakumbusha ndugu zangu wa Chadema: hawa si wa kwanza, wala hawatakuwa wa mwisho. Na hii si habari mbaya tu –...
  8. JamiiForums Tanzania Kutoka JamboTV: Kufa kwa TISS shida ni CCM au TISS yenyewe?

    Nauliza tu swali kufa kwa TISS je shida ni wenyewe au CCM?
  9. JamiiForums Tanzania CCM yatoa pole kwa kifo cha Rais Mstaafu wa Algeria, Liamine Zeroual

    KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Rabia Abdalla Hamid amewasilisha salamu za pole za Chama kwa Algeria, kutokana na kifo cha Rais Mstaafu wa nchi hiyo, Liamine Zeroual. Rabia aliwasilisha rambirambi hizo leo Aprili 1...
  10. JamiiForums Tanzania Ubadhirifu wa mali ya umma moja ya nguzo muhimu kuimarisha CCM - dola katika ukandamizaji haki nchini

    TANU baba mzazi wa CCM aliyezaliwa 07/07/1954 na kuzikwa mwaka 05/02/1977 aliondoka na mambo yake yote. Kuzaliwa kwa CCM kulichagizwa na sababu ya Muungano wa nchi mbili Tanganyika ambaye ni Marehemu na Zanzibar zote zikiwa nchi zenye mamlaka kamili. Waasisi waliamini Muungano tu hautoshi,ili...
  11. JamiiForums Tanzania Nimeshangaa sana, eti CCM na wapambe wao nao wanakufa! 🤔

    DIWANI AFARIKI DUNIA. Diwani wa Viti Maalum wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Semeni Musa Mtoka, alimefariki dunia leo Machi 31, 2026. Marehemu Mtoka amefariki Dunua wakati alipokuwa akipatiwa matibabu katika Cardinal Rugambwa Hospital. Mwenginee huyu naye kafa Nimezoea kuone CCM na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Jimbo la Kibaha Mjini halina Mbunge? CCM itafakari mchango wa Sylvestry Koka

    Mwanasiasa Sylvestry Francis Koka ambaye ana zaidi ya Miaka 15 Bungeni, hakuwepo Bungeni muda mrefu mara baada ya kushinda katika awamu yake ya tatu kwenye Uchaguzi uliopita. Pamoja na hivyo hakuonekana Bungeni, ilidaiwa anaumwa na alikuwa nje kwa matibabu, alionekana wiki mbili zilizopita...
  13. JamiiForums Tanzania Wasira: Waliochoma moto Ofisi ya chama Oktoba 29, walijua wanaichoma CCM, CCM huwezi kuichoma, haichomeki

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema hayo Machi 27, 2026, Mjini Bunda Mkoa wa Mara alipokuwa akiweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo la ofisi za CCM Wilaya ya Bunda ambazo zilichomwa moto katika na vurugu za Oktoba 29, 2025. Aidha, alionya tabia...
  14. JamiiForums Tanzania Mpango na mikakati ya maendeleo ifike hatua ione aibu. Wizara, wabunge! CCM oneni aibu!

    Wakuu sijawah kuongelea siasa, wala kutanabai uwezo wa viongoz wa CCM kutawala nchi na kuzitapanya kama si kuzibananga rasilimal za nchi kwa maslah yao binafsi. Ila kwa hili naomba niliseme tu! Kusini maenedleo hali sio nzuri, uchawi uchawi! Kila Ng'anya basi N'ganya, viongoz wanaotoka kule...
  15. JamiiForums Tanzania Waliokufa October 29 ni Mifungo ila wakifa viongozi kama mawaziri ndo binadamu. Ni mda wananchi Maskini kuacha Shobo na Serikali ya awamu 6

    Wananchi maskini ni mda wa kuacha shobo na awamu ya 6 watoto wenu mliona walivyotandikwa risasi za kutosha na kufa kama kuku hiyo yote wananchi au watoto wa maskini kutimiza uwajibu wao kikatiba. Lakini watoto wenu wanasema walikua vibaka,wezi, majambazi...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Naomba tuwaorodheshee viongozi wetu sababu za kusherekea misiba ya makada wa CCM. Zisiporekebishwa sherehe zitazidi sana

    Ni wazi kwamba serikali ya ccm imetengeneza chuki miongoni mwa wananchi hasa kwa kuwatenga watu wasioamini katika ccm na kuwafanyia kila aina ya dhuluma ghiriba ubaguzi na hata ukatili wa waziwazi 1 Kuengua wagombea wa upinzani eti hawajui kujaza form 2. Kutesa wote walio na mawazo kinyume na...
  17. JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: CCM tuna matatizo ya kupata mbadala

    Wakuu, Akizungumza leo kwenye tukio la kuaga mwili wa William Lukuvi Stephen Wasira alisema kwamba tatizo kubwa linaloikumbwa CCM ni kwamba haina viongozi mbadala "CCM tuna matatizo kweli ya kumpata mbadala. Kwa sababu kupata mbadala wa mtu ambaye ameandaliwa na ameongoza kwa miaka zaidi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Singida: Mwenyekiti Mstaafu wa Jumuiya ya wazazi CCM na Familia yake wanahofiwa kufariki, baada ya gari yao kusombwa na maji Mto Mang’onyi

    Mwenyekiti Mstaafu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Yusuph Mwandami, mke wake, mtoto pamoja na dereva wao, wanahofiwa kufariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria kusombwa na maji katika daraja la Mto Mang’onyi, wilayani Ikungi mkoani Singida. Inna...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa nini kutaka kugombea urais imefanywa ni dhambi au mwiko ndani ya CCM?

    Nini hasa sababu za wana CCM kutotakiwa kutaka, kujipanga au kuonyesha nia ya kuutaka au kugombea urais 2030?
  20. JamiiForums Tanzania Wasira: CCM Haibebwi, inafanikiwa kwa ukubwa wake na Imani ya Wananchi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema Chama kinapata maendeleo kutokana na ukubwa wake, kusimamia, ahadi na imani kubwa ya wananchi kwa Chama. Kauli ya Wasira imekuja siku chache baada ya Kiongozi kutoka katika chama kimoja Cha Upinzani na kudai CCM...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…