ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Lema: CCM wanakaa vikao na ACT Wazalendo ili kukifanya kuwa Chama Kikuu cha Upinzani nchini na kuondoa hadhi yetu

    Lema akizungumza katika Mkutano na waandishi wa habari leo Novemba 13 amesema CCM wanakaa vikao na ACT Wazalendo ili kukifanya kuwa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Lema amesema kuwa CHADEMA imenasa vikao ambavyo CCM wanafanya chama cha siasa ambacho wana ushirika wa karibu wa kuwawekea wagombea...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CCM: Tumepokea kwa mstuko mkubwa taarifa za kifo cha Christina Kibiki aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiyojulikana

    CHAMA CHA MAPINDUZI TAARIFA KWA UMMA Dodoma, Tanzania Chama cha Mapinduzi, kimepokea kwa mstuko mkubwa taarifa za kifo cha Katibu wa CCM Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa, Bi Christina Kibiki aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiyojulikana. Marehemu alikuwa anajindaa kuhudhuria Semina...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Matukio ya viongozi wa CCM kuanza kushambuliwa na kuuawa wa kulaumiwa ni CCM na serikali yake, wameyalea kwa muda mrefu na sasa yanawageukia

    Nimesoma kwamba katibu wa CCM wa wilaya ya Kilolo ameshambuliwa na kuuwawa kwa risasi na watu wasiojulikana. Hivi karibuni huko Songwe kulikuwa na tukio jingine la katibu wa CCM kuvamiwa wa watu wasiojulikana na kuvunjwa miguu. Songwe: Katibu wa CCM avamiwa na watu wasiojulikana na kuvunjwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Iringa: Katibu wa CCM Kilolo avamiwa na kuuawa na Watu wasiojulikana

    Watu Wasiojulikana Wanadaiwa wamemvamia aliyekuwa Katibu wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa, Christina Kibiki na kumuua kwa kumpiga risasi. Taarifa ambayo Matukio Daima Media tumeipata inadai kuwa watu hao Wasiojulikana wamefanya uvamizi huo usiku wa kuamkia leo Novemba...
  5. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM: TAMISEMI itambue demokrasia yetu ni changa, ipuuze makosa madogomadogo katika hatua ya rufaa uchaguzi Serikali za mitaa

    "Wapo Wanaccm waliowekewa mapingamizi, wapo wa ACT, wapo wa CHADEMA, na majibu ya mapingamizi yalitoka, lakini kwa hatua za rufaa kwa maelekezo ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ambaye ni Rais wa Tanzania nilipofanya naye mazungumzo, ambacho tumekiona wapo wagombea wengi sana wa vyama...
  6. JET SALLI

    JamiiForums Tanzania Kama viongozi wa CCM na Mwenyekiti wao hawawezi kuisikiliza sauti ya Demokrasia ya WanaCCM wenzao unadhani watamsikiliza nani?

    Mtu anayeamini kuwa CCM bado ni chama halisi anajidanganya. Kwa sasa, ni genge la watu wanaoendekeza udhalimu, kusifia na kutetea uovu. Chama kimeshikiliwa na watu wanaotenda uovu bila kujali mateso ya wengine; hawataki kusikia sauti za watu wema waliopo ndani ya CCM. Leo hii, Mr. Nchimbi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania CCM wanataka kudanganya upinzani na serikali ya kitaifa

    Upinzani ni lazima waelewe huwezi kuwa na serikali ya kitaifa bila katiba kufanyiwa mabadiliko na hawa CCM hawatafanya mabadiliko. Yaani chama ambacho kinaengua wanakijiji mnafikiri watawapa kazi serikalini!. Habari za ndani ni kwamba wameanza kuongea na upinzani eti CCM na upinzani waunde...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Askofu Mwanamapinduzi: Uonevu wa 2019 na 2020 tuliomba Mungu akaingilia kati, yaliyotokea yakiendelea wakati huu tutamuomba Mungu aingilie

    Wakuu, Kumekucha...kumekucha huko, mpaka tumalize uchaguzi huu tutaona mengi. ===== "Magufuli aliruhusu mambo yanayotokea 2019 na 2020, tulinyamaza watu (wengine) wakashangilia, Mungu aliingilia kati. Kupata nyuzi kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kilimanjaro: Mgombea wa CCM akana kumuwekea pingamizi mgombea wa CHADEMA, msimamizi wa uchaguzi anaduwaa

    Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X "Kata ya Marangu Mashariki Kijiji cha Lyasongoro Msimamizi wa uchaguzi amewawekea wagombea wa Chama cha Demokrasia Maendeleo (CHADEMA) mapingamizi na kuonyesha kua mapingamizi hayo yameandikwa na wagombea wa CCM. Baada ya wagombea...
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Makalla: CCM tumeweka mapingamizi, tunaamini haki itatendeka

    Wakuu, Ni mwendo wa maigizo tu mpaka kieleweke. ===== Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewaomba wanachama katika maeneo ambayo wagombea wa CCM wamewekewa mapingamizi, kuwa watulivu kwani Chama kinaamini haki itatendeka kwa...
  11. WOWOWO

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM na mkakati wa kuua “opposition generation” kupitia “election fraud”

    Mwaka 2014 na Mwaka 2015 Chama cha Mapinduzi (CCM) kilikuwa kimeingia rasmi kipindi cha kuanguka na kutoweka katika medani za siasa. Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu, mtawalia pamoja na kuhujumiwa sana, yalionesha wazi kushindwa vibaya kwa CCM na kama isingekuwa...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Songwe: Katibu wa CCM avamiwa na watu wasiojulikana na kuvunjwa miguu yote miwili

    Wakuu! Hekaheka zinazidi kuendelea katika kipindi hichi cha uchaguzi. Naona watu wasiojulikana wamehamia CCM mbona kazi ipo =================== Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Itumba wilayani Ileje, Mkoa wa Songwe, Huruma Ally amevamiwa na watu wasiojulikana na kumvunja miguu yote...
  13. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Chadema wasema Mgombea wao ateuliwa kugombea CCM

    Wana Jamvi salama. Hebu sikieni hii hapa Kigoma Kusini Chama Cha Demokrasia na Maendeleo walimdhamini mgombea kwa tiketi ya Chadema lakini baada ya Uchambuzi wa Majina, jamaa kajikuta ameteuliwa kugombea kupitia CCM Jamaa wa Chadema walivyomuona wakaweka pingamizi wasimamizi wasaidizi wa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania CCM Kilimanjaro inayumba, Viongozi hawaelewani

    Kuambiwa ukweli kunauma sana, lakini ndio dawa pekee inayofaa kutatua changamoto iliyopo katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kilimanjaro. Nakumbuka watu walifurahi hususani Wana CCM waliposikia Katibu wa Chama wakati huo Komredi Jonathan Mabhiya akiondoka baada ya kuongoza miaka takribani...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hamasa kubwa kwa wananchi kujitokeza kupiga kura sanjari na zoezi la kuwaengua wagombea wa upinzani kwa fitina Je CCM inataka kuwaminisha nini Wadau

    Nimeshangazwa na hii style ya hiki chama Wanahamasisha sana watu kupiga kura Hali inayowafanya tuwaone kuwa wanataka kushindanishwa kwenye sanduku la kura Lakini ajabu ni kuwa wanawaengua washindani wao Tena kwa dhuluma tuu Sasa mie najiuliza na jibu nalitaka Hivi CCM wanataka...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uongozi wa CCM Dodoma wafanya vikao mfululizo Kujiweka sawa Uchaguzi serikali za mitaa

    Uongozi wa CCM Wilaya ya Dodoma Mjini chini ya Mwenyekiti Charles Mamba umeendelea na mikutano ya mfufulizo na mabalozi wote 2000 wa Jimbo la Dodoma Mjini katika kujiweka sawa kuelekea katika uchaguzi wa serikali wa mitaa ambapo leo kikao kimefanyika cha Mabalozi kutoka Kata ya Makutupora...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kasimu Majaliwa akiteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM ataweza kuendelea kuwa Waziri Mkuu?

    Kwa wataalamu wa siasa na mikakati ya kuwaweka pembeni watu ambao wana nguvu kisiasa nchni, je endapo Waziri Mkuu wa sasa atateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM atakuwa ameula au itakuwa njia ya kuzika ndoto zake kisiasa? Nini madhara ya mkakati wa kumteua kuwa Makamu Mwenyekiti? Ataweza...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mbowe akiachia madaraka haitaleta madhara kama Mchungaji Msigwa alivyoamia CCM?

    Mimi binafsi napenda siasa za amani, siasa zinazochochea fikra pevu, maendeleo, utawala bora amani na upendo. Hivyo hata ktk comment zangu na nyuzi zangu najitanabaisha kama mtu wa namna hiyo. Hivyo basi sipendi nawala siungi mkono siasa za vurugu, mapigano, uchochezi, husuda, ulozi, kutekana...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Kuna kila sababu chadema kubadili mbinu za kukabiliana na ccm

    Chadema iingize wanachama wake ccm. Wanachama maarufu watangaze kuachana na chadema, kisha wapokelewe kwa shangwe na nderemo huko ccm. Wasiokuwa maarufu mamia kwa maelfu, wachukue kadi za ccm kimya kimya nchi nzima. Huko huko ndani ya ccm ndiko mabadiliko yatafutwe.
Back
Top Bottom