ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mizengo Pinda ajitokeza kwenye kampeni za CCM Mtwara. Ataka wagombea wasibweteke baada ya ushindi wa kishindo 2019

    Wanabodi, Wakuu huyu baba alikuwa wapi siku zote? Kwani bado yupo kwenye siasa? Mlezi wa CCM Mkoa wa Mtwara, Mizengo Pinda, amewahimiza viongozi na wanachama wa chama hicho kutobweteka na mafanikio ya uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa, ambapo maeneo mengi yalishinda bila kupingwa...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa CCM Dodoma: Tukiona kiongozi wa mtaa anavimba kama harage lililopikwa baada ya kushinda, tutamuondoa

    Wakuu, Inaonekana baada ya kumaliza kutishia wapinzani, wameanza kutishiana na kusimangana wenyewe ndani ya chama Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewataka wagombea wa serikali za mitaa kuacha kujikwenza mara baada ya kuchaguliwa kwenye nafasi hiyo na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Hesabu na namba zinavyoibeba CCM kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa. Naiona 95 kwenye kila 100 kwa CCM kila mahali

    Bila shaka dunia ya sasa bila kutumia sayansi ya namba mambo mengi utaona magumu hususani yale mambo yanayohitaji namba ziseme zaidi kuliko maneno na mojawapo ni ushindi wakati wa uchaguzi. Kila uchaguzi unahitajika kufahamu hesabu na namba ili kujihakikishia nafasi nzuri ya ushindi. Hesabu na...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Jokate: CCM ndio chama kinachoheshimu Demokrasia

    Wakuu, Ya kweli hayo? Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 ===== Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo, amezindua rasmi kampeni za...
  5. Chakaza

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM Yazindua Kampeni Nchi Nzima; Hoja Kuu ni Mbowe, Lissu na Chadema, Aibu Kwao

    Jana ilikuwa uzinduzi wa kampeni za CCM sehemu mbalimbali na kwa maajabu makuu hoja kuu yao ni kumzungumzia Mbowe na Lissu kama sera yao. Wameamua kumuibua hadi yule mpiga kelele wa goli la mkono toka makaburini kuja kuwatia nguvu wakati Makonda juzi kwenye mkutano wake kadhibitisha kuwa wale...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ezekiah Wenje: Siasa sio ya Kubembeleza, CCM tutaenda nao Mperampera. Ukishapiga kura linda kura

    *Walisema chadema wqnachelesha maendeleo. Kuanzia Rqis hadi balozi sasa wote ni CCM, Maendeleo yapo wapi? *Siku ya kupiga kura, piga kura, nenda kale rudi kuweka kambi kwenye kituo. Kanuni haijasema piha kura uende nyumbani ukalsle *Hatuwezi kukubali muwe mnatuibia kura halafu tupeane maji...
  7. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Makalla: Chagueni wagombea wa CCM wale wa CHADEMA Mbowe kasema hawana ILANI ni hatari kuwa na kiongozi bila kuwa na Mkataba wa atakufanyia nini

    KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC ) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi,Siasa na Mafunzo CPA Amos Makala amesema amemsikia Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe Akieleza kuwa Chama chake hakina Ilani na wagombea wao watatakiwa kubuni buni Ilani tu. CPA Makala ameyasema hayo leo Novemba...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Leonce Marko Kada wa CHADEMA atimkia CCM

    Wakuu, Naona besti wa Msigwa kaamua amfuate CCM. Je, fukuto la CHADEMA litatoa kiongozi mwingine kwenda CCM? Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Nape: Wapinzani wanagombana, hawana namna, Samia atakuwa Rais kwa mara nyingine tena!

    Wakuu, Mambo yanaanza kuchangamsha, bumunda karudi na makeke yake mzee ropo ropo! ===== Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Nape akiwa...
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Mwenyekiti CCM Tanga (MCC) akabidhi Milioni 2 kwa wauza samaki ili kukuza mtaji

    Wakuu, Tunaendelea kwenye episode nyingine ya rushwa ambayo huwezi kuona TAKUKURU wakiipigia kelele. ==== Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kimeiagiza Serikali ya Wilaya ya Pangani kuhakikisha kinatenga eneo maalum kwa ajili ya wajasiriamali wadogo wanaojishughulisha na kuuza Samaki...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandalizi ya kurudi CCM? Godbless Lema aomba kuonana na Rais Samia. Mrisho Gambo

    Arusha kumekucha, kuna habari kwamba God bless Lema ameomba kuonana na Rais Samia. Wadau wa mambo wanasema kwamba hii inazua tetesi zaidi kwamba inawezekana ni katika maandalizi ya kujiunga CCM, anataka kujua anatoka vipi. Rais Samia atakuwa na ziara mkoani Arusha mwezi huu, tutarajie lolote...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Diwani wa Kata ya Wazo Tungaraza: Ukiona wapizani wameshinda ujue ni mkawanyiko miongoni mwa wana CCM

    Kampeni leo zimeanza rasmi za uchaguzi wa serikali za mitaa. Ni muda wa kusikia tambo, majivuno, kejeli lakini na hoja nzuri na za hovyo. Leo tuanza na Kata ya Wazo moja ya mtaa na yakasikika maneno haya. “Ndugu zangu siri ya ushindi wa Chama Cha Mapinduzi ni umoja miongoni mwa wanaCCM...
  13. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uzinduzi wa Kampeni za CCM za Serikali za Mitaa mkoa wa Dar

    LIVE:MKUTANO WA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM MKOA WA DAR ES SALAAM. MWENEZI AMOS MAKALLA AZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MTAA MKOA WA DAR ES SALAAM Chama Cha Mapinduzi https://www.youtube.com/live/JvhEBb6Julc?si=5Cm70GRr3xMZdRlb Global TV...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mkulima ahoji mtuhumiwa wa ufisadi kuzindua kampeni za CCM Shinyanga

    MTANZANIA, THOMAS NKOLA maarufu Mkulima amehoji sababu za Chama cha Mapinduzi kumruhusu Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) anayetuhumiwa kwenye kashfa mbalimbali za ufisadi kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoani Shinyanga. Mjumbe huyo wa...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wagombea wa CCM kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na vijiji ni vijana wasomi ukilinganisha na vyama vingine

    Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kuwa madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground. Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli, ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kampeni Uchaguzi Serikali za Mitaa zimeanza, una matarajio gani kwa wagombea? Je, CCM itatoboa ushindi 99.9% kama 2019?

    Wakuu, Kampeni zimeanza rasmi leo Novemba 20, 2024, mambo yatakuwa moto huko mtaani kila chama kujinadi ili wajihakikishie ushindi mnono. Je, yapi matarajio yako kwa wagombea katika uchaguzi huu? Unadhani CCM watatoboa tena ushindi wa 99.9% kama ilivyokuwa 2019? Baada ya enguliwa nyingi kwa...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally awahofia Pamba Jiji, awaita Wanasimba CCM Kirumba. "Hakuna cha uzalendo mbele ya Simba, achana na Pamba. Tukipoteza kuna watu watanufaika"

    "Kikosi kwa sasa kinaendelea na programu ya mazoezi kikijiandaa na mchezo dhidi ya Pamba. Leo usiku tutaondoka kwenda Mwanza na wachezaji wanne waliokuwa Taifa Stars na Camara aliyekuwa timu ya taifa ya Guinea wameshajiunga na kambi. Steven Mukwala atawasili Dar kesho alfajiri na kuunganisha...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na CCM mnaharibu Soka nchini

    Wakuu salam, Rais, chawa wako na CCM hamuoni kama mnazidi kuididimiza soka mwishowe na yenyewe iwe kama ilivyokuwa ngumi kipindi kile? TUmefikia hatu tunaombea tufungwe ili tu kuwakomoa CCM, lakini ukweli ni kwamba mnawaumiza hawa vijana na wengine wengi nyuma yao wanaotegemea soka kama...
  19. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tamko la Vyama nane vya siasa rafiki kwa CCM | vyaishambulia CHADEMA

    19 November 2024 TAMKO LA VYAMA NANE VYA SIASA RAFIKI KWA CCM KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 | VYAISHAMBULIA CHADEMA https://m.youtube.com/watch?v=HFSf_Bu5y9E Vyama hivyo rafiki wa CCM chama dola kongwe, vikiongea na waandishi wa habari kiongozi wa chama cha UMD wametaka vyama...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti Umoja wa Wazazi CCM ampongeza Rais Samia kwa maagizo ya maafa ya Kariakoo

    Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dogo Iddi Mabrouk (MNEC) alifika Kariakoo eneo ambalo jengo la ghorofa lilipoanguka na kusema kuwa wanamshukuru Rais Samia kwa maagizo aliyoyatoa kuhusu kadhia hiyo.
Back
Top Bottom