Ukweli mchungu: Sio CHADEMA wala CCM watatuletea mabadiliko

Ukweli mchungu: Sio CHADEMA wala CCM watatuletea mabadiliko

smttz

Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
67
Reaction score
101
Salamu...

Hili lituhusu wote humu bila kujali itikadi zetu mbalimbali.

Taswira ndani ya taifa katika nyanja zote imekuwa ni hovyo sana.

Lengo la ujumbe huu ni kusema mabadiliko ya kweli hayataletwa na CHADEMA wala CCM,Ila ni kwa sisi kuamua kusimama kama raia na wananchi wa TANZINIA.
 
Hizi propaganda za kisiasa ,zinadumaza ustawi wa taifa, tunabaki kuwa na taifa lenye fikra duni..na kuzalisha ubinafsi mtu anayeshiba na mwenye njaa hakutani kisera na kifikra....Ili tutoke huko inatakiwa haya makundi mawili yaongee lugha moja.
 
Salamu...

Hili lituhusu wote humu bila kujali itikadi zetu mbalimbali.

Taswira ndani ya taifa katika nyanja zote imekuwa ni hovyo sana.

Lengo la ujumbe huu ni kusema mabadiliko ya kweli hayataletwa na CHADEMA wala CCM,Ila ni kwa sisi kuamua kusimama kama raia na wananchi wa TANZINIA.
Bila CCM kuondoka sahau mabadiliko ya kweli nchi hii.
 
Vipi unachama kingine ambacho kinakubalika katika nchi hii zaidi ya CCM & CDM???.
CCM & CDM ni vyama vilivyoundwa ba watu-na mabadiliko ni watu.Mifumo wa kiutawala iliyotengenezwa ni kuwa viongozi watapatikana kupitia vyama vya siasa.
Hata ubadilishe vyama kama Kenya,kama watu wako katika nchi hawana maarifa hayo mabadiliko utayasilizia kwenye Bomba.Ni lazima kama Taifa tujitahidi ili kupata mabadiliko chanya inatubidi kupata viongozi aina ya Nyerere.
 
Back
Top Bottom