ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally awahofia Pamba Jiji, awaita Wanasimba CCM Kirumba. "Hakuna cha uzalendo mbele ya Simba, achana na Pamba. Tukipoteza kuna watu watanufaika"

    "Kikosi kwa sasa kinaendelea na programu ya mazoezi kikijiandaa na mchezo dhidi ya Pamba. Leo usiku tutaondoka kwenda Mwanza na wachezaji wanne waliokuwa Taifa Stars na Camara aliyekuwa timu ya taifa ya Guinea wameshajiunga na kambi. Steven Mukwala atawasili Dar kesho alfajiri na kuunganisha...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na CCM mnaharibu Soka nchini

    Wakuu salam, Rais, chawa wako na CCM hamuoni kama mnazidi kuididimiza soka mwishowe na yenyewe iwe kama ilivyokuwa ngumi kipindi kile? TUmefikia hatu tunaombea tufungwe ili tu kuwakomoa CCM, lakini ukweli ni kwamba mnawaumiza hawa vijana na wengine wengi nyuma yao wanaotegemea soka kama...
  3. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tamko la Vyama nane vya siasa rafiki kwa CCM | vyaishambulia CHADEMA

    19 November 2024 TAMKO LA VYAMA NANE VYA SIASA RAFIKI KWA CCM KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 | VYAISHAMBULIA CHADEMA https://m.youtube.com/watch?v=HFSf_Bu5y9E Vyama hivyo rafiki wa CCM chama dola kongwe, vikiongea na waandishi wa habari kiongozi wa chama cha UMD wametaka vyama...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti Umoja wa Wazazi CCM ampongeza Rais Samia kwa maagizo ya maafa ya Kariakoo

    Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dogo Iddi Mabrouk (MNEC) alifika Kariakoo eneo ambalo jengo la ghorofa lilipoanguka na kusema kuwa wanamshukuru Rais Samia kwa maagizo aliyoyatoa kuhusu kadhia hiyo.
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Diwani wa Wazo: Mtu yeyote anayefanya jambo lolote linalopelekea CCM kukosa kushika Dola, hafai kuwa Kiongozi

    Diwani wa Kata ya Wazo, Mhe. Wakili Leonard Tungaraza Manyama, ameonya kuwa mtu yeyote anayefanya vitendo vinavyoweza kuzuia ushindi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hafai kushika nafasi za uongozi. Mhe. Manyama alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na wazee na wanachama wa CCM katika Tawi la...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wala nisiwe Mnafiki leo ninataka CCM Taifa Stars ifungwe na isishiriki 2025 AFCON na ninajua itakuwa tu AMEN

    Unafiki Kwangu ni mwiko kutokana na hii Timu kuwa ni ya Kisiasa zaidi naiombea Mabaya leo na isiende 2025 AFCON.
  7. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Hivi inakuwaje CCM imara kabisa itumie njia za gizani gizani kushinda uchaguzi!?

    Machawa humu ndani wanasifia kila kukicha kwamba ccm ni chama imara sana, ni kwa nini wanatumia mipango myeusi myeusi kushinda chaguzi!? Maana walisema yaliyotokea 2019 hayatatokea tena. Hawa wanaokiri kwamba 2019 hali haikuwa sawa ndio haohao walikuwa wanasifia sana wakati huo ila leo...
  8. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Baada ya kuwasikiliza Makonda na Kigaila kisiasa na kiusalama Tundu Lissu inatakiwa ahamie CCM au aache siasa .

    Binafsi huwa natamani sana siku moja kumuona Tundu lissu akiwa na mafanikio makubwa sana katika siasa sababu naamini ni mzalendo na msema kweli. Lakini kwa namna nilivyowasikiliza Makonda na Kigailla 1. Inawezekana Tundu lissu bado hana uhakika nani alihusika na shambulio lake 2 . sehemu salama...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Gerald Hando: Ni rahisi kumhoji Katibu Mkuu wa CCM, Emanuel Nchimbi, kuliko Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika

    "Kumpata na kumhoji Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emanuel Nchimbi ni rahisi kuliko Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika," Gerald Hando - Mwandishi wa Habari.
  10. Inside10

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Askofu Bagonza: Nawaomba radhi niliowahamasisha ili waende wakajiandikishe kupiga kura

    Askofu Bagonza ameandika hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook; Mwaka 2019 tulitangaziwa kuna uchaguzi. Likawa shindano la kujaza fomu. CCM wakashinda. Wapinzani wakarudi darasani kujifunza kujaza fomu. Mwaka huu tukatangaziwa, safari hii ni UCHAGUZI KWELI. Tukainuka kuhamasisha watu...
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM mechi ya Taifa Stars na Guinea msilete mambo yenu uwanjani

    Wakati uwanja wa Mkapa unazinduliwa, watanzania walijaa uwanjani na kuishangilia timu yao kwa bidii Sana. Ghafla CCM mkaanza kuyafanya mafanikio ya Taifa stars kuwa ni mafanikio ya chama chenu. Hapo mamilioni ya watanzania timu yao wenyewe ikawatumbukia nyongo. Sasa jumanne ya tarehe...
  12. B

    JamiiForums Tanzania ALIYESEMA CCM HAINA CHA KUSEMA AKIPENDA MUNGU NDIYO ISHINDE. AFARIKI DUNIA.

    Marehemu Zawadi Salehe Makame KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Visiwani Zanzibar, Zawadi Salehe Makame, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Radio ya Serikali ya Zanzibar, Zawadi amefikwa na mauti jana Jumanne, tarehe 17...
  13. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania CCM tutashinda Kwa kishindo Chaguzi zote 2024&2025

    1. Chama Cha Mapinduzi tuna Sera za maana. 2. Wapiga Kura wanatukubali Sana. Hivyo tegemeeni ushindi mkubwa Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025. NB: ushindi si chini 90% Kwa Sera tulizonazo
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka kwa ghorofa na kusababisha Vifo na majeruhi kwawaumiza na kuwabubujisha Machozi ya huzuni wana CCM Mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Nimekutana na kufanya mazungumzo na wana CCM wenzangu mitaani .ambapo wana CCM mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameumizwa na kuumia sana mioyo yao kutokana na kuporomoka kwa Ghorofa kulikopelekea baadhi ya watu kupoteza Maisha na wengine kujeruhiwa vibaya. Tukio...
  15. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania LGE2024 TAMISEMI yasema CCM imefanikiwa kuweka Wagombea Mitaa yote, upinzani wameweka Wagombea 30,977 katika nafasi 80,430

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa amesema Chama cha Mapinduzi (CCM), kimefanikiwa kuweka wagombea katika nafasi zote za vijiji, vitongoji na mitaa huku upinzani ukiweka wagombea 30,977 sawa na asilimia 38 ya nafasi zote 80,430...
  16. Chakaza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa Respond hii ya Kariakoo, kuirudisha Serikali ya CCM madarakani itabidi tujitafakari

    Tukio la maafa limetokea katikati ya jiji eneo lenye watu wengi saa 3 asubuhi, lakini vyombo vyote vya uokozi vimechukua masaa kujitokeza kuokoa watu waliochini hadi Raia wasio na dhana za uokozi wanatumia mikono mitupu kuokoa watu hii ni aibu kwa serikali hii. Askari hawaonekani kama wale wa...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kati ya wanao lumbana CHADEMA, unadhani nani ana uwezekano mkubwa zaidi wa kutimkia CCM na nani anadalili zote kutimkia vyama vingine vya siasa nchi?

    Friends, ladies and gentlemen. Unadhani nani atakua wa kwanza miongoni mwa viongozi waandamizi CHADEMA wanaozodoana na kulumbana hadharani kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, atashindwa kustahimili mgandamizo wa joto la kisiasa ndani ya chadema na kukimbilia kwingineko? Unadhani...
  18. milele amina

    JamiiForums Tanzania KATIBU MKUU WA CCM: Huyu mgombea wa CCM aliteuliwa kugombea!! CCM oneni aibu badi!

    Katibu mkuu wa CCM, Kuna ujumbe wako tumekuwekea hapa!
  19. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ashauriwe apunguze kutuhumu wenzie bila Ushahidi, anagharimu Chama chake kwa kucheza ngoma ya CCM bila kujijua

    Kwanza nitangaze Mgongano wa Maslahi kwamba mimi pia ni Shabiki wa Lissu, naheshimu mchango wake katika kupigania mabadiliko ya nchi hii na natambua na kuheshimu gharama alizolipa kwa kwa kazi hiyo kwa ajili ya Taifa hili. Ila siku za Karibuni ameanza kufanya Siasa fulani hivi za kutuhumu...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 TBT: Mgombea CCM akijinadi kwa point matata ili achaguliwe na wananchi Uchaguzi 2015. Je, tunatarajia haya hayatajitokeza kwenye chaguzi zijazo?

    Wakuu, Baada ya kuangalia huku na huko nimegundua hii video ni kutoka Uchaguzi wa 2015, hizi ahadi ni kama zile za 'Ndio Mzee' kwenye wimbo wa Prof. Jay.😂😂 Kwa kiwango cha uchawa kilichoongezeka na wagombea ambao hawana sifa wala ujuzi kusimamia nafasi hizo kupewa nafasi ya kugombea...
Back
Top Bottom