ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Mstaafu Kikwete unaona huu moto wa 2025?

    Rais Mstaafu Kikwete nakusalim kwa jina la jamuhuri ya Muungano. Ama kwa hakika nimekaa nikatafakari nakitafakuri nikasema niandike jambo kwenye JamiiForums labda watuwako wanaweza kukupa usome ukapata nawe tafakuri zaidi kuelekea 2025. Huwa mara nyingi naikumbuka basically moja ya speech zako...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Inaonekana kuongoza Tanzania ni kazi rahisi sana ila kupata hako kanafasi ndio tatizo ndio maana CCM wanakabia juu

    Yaani kuongoza Tanzania ni kazi nyepesi sana ingawa tunaaminishwa kuwa ni kazi ngumu, jambo kubwa ni upate madaraka kwa njia yoyote Tanzania wekeza sana kwenye Simba na Yanga, tengeneza machawa wa kutosha. Hayo hapo yanatosha kuwafanya Watanzania wakaongozwa kama kondoo sijajua kama ni kukata...
  3. JamiiForums Tanzania Plate namba CCM ziko wapi

    Hizi nambari za magari zinazoanzia na herufi "CCM" mbona hazionekani barabarani
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA mko wapi? CCM wanapita mashuleni na kuandikisha watoto wa shule za msingi na sekondari wote kama wanachama wao kwa mfumo wa kidigitali

    CHADEMA na ACT WAZALENDO mko wapi nyie? Msije mkasema hatukuwaambia... Watoto wangu wawili (kidato cha 1 & 2) wanaosoma shule moja ya kutwa hapa Shinyanga Manispaa wamefika nyumbani jana na kuniambia kuwa CCM walifika shuleni na pikipiki zao za kijani na kumtumia mwalimu mkuu wao awalazimishe...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini CCM hawajazi nafasi iliyoachwa wazi na Kinana?

    Hivi ni kawaida kwamba miezi mitatu sasa imepita tangu ajiuzulu lakini hawajaweka mrithi wake shida Iko wapi?!?
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: Mbowe alitaka kulipua vituo vya mafuta aue wananchi, pamoja na kusamehewa bado wanaeneza uchochezi, hawafai kuongoza nchi

    Wakuu, == Wakati anahutubia Wananchi wa Jimbo la Msalala, Katibu Mkuu wa Umoja wa wazazi jumuiya ya CCM Taifa Ally Hapi alieleza kuwa kuna kipindi Mbowe alitaka kulipua vituo vya mafuta lakini Rais Samia alimsamehe. Hapi alidokeza kuwa Mbowe alikuwa na nia ovu ya kuleta taharuki nchini kwa...
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 Ally Hapi: Vyama vingine ni watoto shughuli za watu wazima hawataziweza, uchaguzi serikali za mitaa Isaka Kahama chagueni CCM

    Wakuu, Watoto wadogo CHADEMA na wengine umejumbe umewafikia, mna nini cha kuoffer wananchi waone CCM ni pumba wawachague na kuwachagua nyinyi? ====== "Tushikamane na serikali yetu na chama chetu CCM katika chaguzi zinazikuja za serikali za mitaa, tuwachague wagombea wanaotokana na CCM...
  8. JamiiForums Tanzania CCM mmejiandaeje soko la mafuta likitikiswa na vita za Israel?

    Tunajua mko bize kuwaza mnashindaje kwa kishindo cha furushi la mwizi kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa. Ingawa tangu muanze "kushinda kwa kishindo" sisi watanzania hatuoni kishindo chochote cha kimaendeleo kwenye maisha yetu. Israel kaanzisha vita huko Mashariki ya kati, na kwa mtazamo tu...
  9. JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM pekee imekamilisha maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27, huku vyama vingine vikiandaa visingizio vya kushindwa

    Vyama vingine baada ya wanachama wao kugoma kushiriki maandamano haramu yaliyopigwa marufuku na kudhibitiwa na polisi, wame nyong'onyea, wamesinyaa na wamekua kama wamepigwa ganzi hivi, Lakini pia ni kama wamepoteza uelekeo kabisa. Na kwasababu hiyo eti sasa wanalumbana washiriki au wasishiriki...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maganya: Mtu hawezi kwenda kumshika mama mkwe sehemu za siri, na sisi hatutakubali mtu ambeze Rais Samia

    Wakuu, Hivi sisiemu mnatuaga wapi watu wajinga hivi? Unakuwa chawa basi angalau usiww chawa mzigo, wapiiiii, aibu tunaona sisi! Msikilizeni Fadhili Maganya (Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi Tanzania) akimwaga madini yake: Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia, tatizo kuu la wapinzani wa CCM ni la "KISAIKOLOJIA" dili nao Kisaikolojia kama ifuatavyo

    👉Mara nyingi, "sheria" ambazo hazija andikwa (Un-Written Laws), ndio huwa zinakuwa zinafanya kazi katika uhalisia kuliko sheria ambazo zimeandikwa. 👉Mimi huziita sheria za asili ama kanuni za asili. 👉Kwa mfano moja kati ya kanuni ya asili yenye uhalisia kwa Asilimia zote, ni kanuni inayo...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali msitutoe kwenye reli kwa hukumu ya kifungo cha maisha kwa maafande wahuni, bado tunawaza utekaji wa kutumia silaha za kivita mchana

    Mimi binafsi kila jambo nalipa nafasi yake, sehemu yake na muda wake. Sio mjinga kwamba jambo B linaweza kunisahaulisha jambo A. Wewe ukinitukana leo halafu kesho unipe elfu 10 ya chai ninaweza kuipokea lakini haitanitoa kwenye case ya matusi uliyonitukana jana. Serikali bado tunasubiri...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kata wa CHADEMA, ni sawasawa na kiongozi wa CCM wa ngazi ya kuanzia mkoa

    'Ukimchukua kiongozi wa kata wa CHADEMA, ni sawasawa na kiongozi wa CCM wa ngazi ya kuanzia mkoa au kidogo ni Taifa'' - Gavana Kaduma, Katibu wa CHADEMA kanda ya kusiniKwa urefu zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya EastA
  14. JamiiForums Tanzania Rabia Aeleza Mafanikio ya CCM na Serikali kwa Wanadiaspora wa Uingereza

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndg. Rabia Abdalla Hamid, amekutana na Wanadiaspora na wanachama wa CCM nchini Uingereza tarehe 28 Septemba, 2024. Lengo la kukutana lilikuwa kuimarisha uhusiano baina ya Wanadiaspora, Chama Cha Mapinduzi na...
  15. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Prof. Anna Tibaijuka asikilizwe kuhusu Mgombea Binafsi. CCM iache woga na udikteta

    Bandugu, msomi mwenye degree 15 Prof. Tibaijuka amekuja na hoja ya mgombea binafsi katika chaguzi zetu. Prof amejenga hoja kwamba kulazimisha watu kujiunga na vyama vya siasa ni udikteta wa kivyama na hasa CCM kama chama tawala. Prof anatolea mfano wa magwiji wa demokrasia duniani, Marekani...
  16. JamiiForums Tanzania Sakata la Wasafi Festival Mbeya, ishu sio sakata la PDiddy ni CCM. Wana nafasi bado ya kujirekebisha

    https://x.com/lifeofmshaba/status/1840444113025400944?t=HQa05gIZAhN0Xht5BZzddQ&s=09 Tamasha la mziki la Wasafi Festival lililoandaliwa kwa gharama kubwa limeingia dosari mkoani Mbeya baada ya nsanii wake Zuchu kurushiwa chupa za maji stejini pale alipoanza tu kutumbuiza hali iliyomfanya...
  17. JamiiForums Tanzania Ruvuma na Songea wameonesha nguvu na ushawishi mkubwa wa CCM na Rais Samia!

    Itoshe kusema Ruvuma, Songea na viunga vyake wameidhihirishia nchi kwamba CCM ndio tegemeo la uongozi wa nchi hii, na Dr.samia Suluhu Hassan ndio tumaini pekee la uongozi wa juu nchini Tanzania kuelekea 2035. waTanzania katika makundi yao, wazee wa kimila, vijana na watoto, wakulima, wafugaji...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi July 2024 hadi September 2024 tukutana ofisi ya ccm Lumumba tar 4.10.2024

    Taarifa muhimu kwa wastaafu wote: Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi Julai 2024 hadi Septemba 2024 wanakaribishwa kukutana ofisi ya CCM Lumumba tarehe 4 Oktoba 2024. Mkutano utafanyika kuanzia saa tatu asubuhi. Tafadhali hakikisha unahudhuria ili kupata taarifa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Giza lipi umeliondoa Rais ikiwa wasiojulikana walimtia pingu mtu hadharani Kisha kumuua na kumtupa vichakani?

    Salaam, Shalom! Nchini petu tangu lini imewahi kutokea mtu akakamatwa live kwenye halaiki na watu walio na pingu kisha kumfunga mtu na kuondoka naye kisha kwenda kumuua na kumtupa vichakani? Tangu lini kikundi cha watu kimeruhusiwa kumuua mtu bila kumfikisha mahakamani? Pia soma: Rais Samia...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Nitamtetea na kumsemea Rais Samia na Serikali ya CCM mpaka dakika ya mwisho bila kukatishwi tamaa kwa namna yoyote ile

    Ndugu zangu Watanzania, Mimi nilishajitolea kwa dhati ya moyo wangu na kwa hiyari yangu pasipo kulipwa kama ambavyo wengine wanafikiria hivyo. Mimi nilishaamua kama mwana CCM kuwa sitakaa kimya wala kunyamaza wala kuona aibu wala kuogopa kumtetea Rais Wangu Mama Samia. Nilishakataa kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…