ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Wana CHADEMA waliolazimishwa kujiunga CCM Wana mpango wakurejea Chadema hivi karibuni CCM chukueni taadhari

    Kuna majadiliano na mawasiliano yanafanyika kuhusu utaratibu mzuri wa waliokuwa wanasiasa ndani ya chama cha CHADEMA wakalazimishwa na JPM wahamie CCM wanajipanga kurejea CHADEMA. Mkakati huu unaratibiwa vyema na viongozi wa juu wa Chadema ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi mkuu 2025. Wakati huo...
  2. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania CCM watatoka madarakani kwa njia ya kura ni muhimu kujiandikisha na kupiga kura

    Kauli za wapinzani kuimba CCM wanaiba kura au hawezi toka kupitia boksi la kura hazina Afya kabisa .Muitikio wa kujiandikisha umekuwa mdogo sana kwa baadhi ya maeneo . CCM wanatumia nguvu kubwa kuhakikisha kila mwanaCCM anajiandikisha kupiga kura , Upinzani unatumia nguvu kubwa kuaminisha...
  3. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Nikwanini CCM hawakuunga mkono maandamano ya kupinga utekaji na mauaji ya raia?

    Wadau mkopoa? Nisiwaxhoshe niende mojakwamoja kwenye swali. Pamoja na Katibu wa CCM Dr Emmanuel Nchimbi kuonekana hafurahishwi na utekaji na mauaji ya raia, Lakini yalipoitishwa maandamano ya kupinga vitendo vya utekaji na mauaji ya raia yaliyoitishwa na chama kikuu cha upinzani CHADEMA, CCM...
  4. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi: CCM Itawashinda Wapinzani Kwa Namna ambayo hawajawahi kushindwa

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa wito kwa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) pamoja na jumuiya nyingine za chama hicho kuendelea kushindana kwa hoja na kuwa mfano bora wanapojadili masuala mbalimbali ya kitaifa. Akizungumza katika hafla ya kumaliza...
  5. K

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM wamejipanga kimkakati uchaguzi huu wa Serikali za mitaa Upinzani wanang'aa mimacho tuu

    Nipo katika halimashauri Moja huku bush nimeshuhudia harakati kubwa zinavyofanyika kwa mkakati maalumu Kwanza kabisa sikuona mawakala wa upinzani Ila nimehisi Kuna mauzauza yanayopangwa kwa mkakati mzur kabisa Makarani wametoka vituoni wapo wanatembea nyumba kwa nyumba wakiongozwa na mtendaji...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kumbukizi ya homa za uchaguzi CCM 2020

  7. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa "Elimu ni bora kuliko Pesa " unajidhihirisha sana kiuongozi ndani ya CHADEMA na CCM .

    CCM wanaamini katika Elimu hasa nafasi za juu na uteuzi, ili uteuliwe lazima kuwe na usomi ndani yake . Huku CHADEMA tunakwenda Kiuhalisia zaidi kwamba Pesa ni bora kuliko elimu na ukizikosa uwe na ushawishi kidogo . Yote sawa ila nadhani kuna upande unahitaji mabadiliko Muwe na siku njema
  8. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwamba Peter Msigwa anataka tuamini yeye ni CCM kuliko wenye CCM yao?

    Kwa mwenendo wake na hata ayanenayo tokea ajiuze huko CCM, Peter Msigwa amekuwa akitumia nguvu kubwa kutaka kuaminisha Umma wa Watanzania eti yeye ni CCM kindaki-kindaki haswa. Najiuliza, hivi Msigwa haijui CCM vizuri eti? Wallah CCM watakachomfanya Msigwa hatokuja kusahau!
  9. Amo1

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kama uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 CCM ilipata ushindi 99.9%, Je tutegemee ushindi wa 100% 2024?

    Wakuu.. Najaribu kuwaza kwa sauti hapa. Mwaka 2019 ulikuwa mwaka wa mafanikio Sana kwa chama Cha mapinduzi(CCM) katika chaguzi za serikali za mitaa. Walishinda kwa kishindo huku wakipita bila kupingwa kwa baadhi ya mikoa. Japokuwa wajuzi wa Mambo wanasema kuwa ule uchaguzi ulikuwa na dosari...
  10. tpaul

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwamposa: Watu wangu nenda mjiandikishe mkapigie kura CCM

    Kada maarufu wa CCM na Askofu wa kanisa la Arise and Shine, Dr Boniface Mwamposa (Buldozer) leo amewahimiza waumini wake waende wakajiandikishe kwenye daftari la kupiga kura na kuwapigia kura wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Nabii huyo amesema hayo leo jioni wakati akiwahubiria mamia ya...
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM hadi mechi za ndondo mnanunua marefarii

    Uchaguzi wa Serikali za mitaa Kwa jinsi unavyoendeshwa kwa kweli ni kama mashindano ya mtaani tu maarufu kama ndondo. Lakini pamoja na hiyo CCM inaonekana imepania kiharamu kushinda uchaguzi huu. Ingawa watu hawana tena Imani na mifumo ya kuendesha chaguzi hapa Tanzania, lakini CCM wanahaha...
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Sikuizi CCM wanasimamisha mgombe ili mradi tu waonekane nao wanamgombea tutaenda kujenga taifa bovu tutaiumiza nchi

    CCM wasisimamishe mgombe heti kwa sababu tu ni raisi au mwenyekiti bali yule atakea hakikisha watanzania wote wanapata huduma zote muhimu bila ubaguzi sio unakuta mtu anakatiza huduma kwa watanzania wenzake ili wafe njaa, tusisimamishe kiongozi kama huyu sisi hatutaki raisi ilimradi tu tuonekane...
  13. Killing machine

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa: CCM, raia wamewachoka badilikeni kabla mambo hayajaharibika

    Ukiangalia mwitikio wa watanzania kujiandikisha." Inachekesha sana. Utaona wazi kwamba hata wajinga wameanza kujua kinacho endelea baada ya uchaguzi/uizi wa kura. Ukimya wa Watanzania kutojihusisha na maandamano hautoi tafsiri kwamba watanzania niwajinga au hawana la kufanya hapana. Badala...
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Makalla: CHADEMA kazi ya kuwaombea kura siyo ya Serikali ni kazi ya chama

    Wakuu, Mambo yanazidi kuwa matamu, wakuu mkashiriki kupiga kura tujue kama hawa watu milioni wanaokusanywa kwenye mikutano ni wa kweli au ni janja janja ===== "Mbali na kupoteza Dira na mwelekeo chadema wameingia woga, baridi na kuishia kulalamika. Jana nilimsikia Mnyika anasema serikali...
  15. Nyendo

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kilimanjaro: Kituo cha kujiandikisha kupiga kura kimewekwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa kitongoji ambaye naye ni mgombea wa CCM

    Kituo cha kujiandikisha kupiga kura kimewekwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa kitongoji ambaye naye ni mgombea wa CCM, je hii ni sahihi? Pia soma: LGE2024 - Uzi Maalum wa Kasoro na Rafu kwenye zoezi zima la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Dodoma: Wapiga Kura wakiwa na Vipeperushi vya mwenyekiti wa CCM Wakati wa Kujiandikisha

    Zoezi la kujiandikisha katika Daftari la Mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu limeanza leo Oktoba 11, 2024 nchini nzima na litaendelea hadi Oktoba 20, 2024. Rais Samia na yeye ametimiza haki yake ya Kikatiba, hapa akiwa kwenye foleni na wakazi...
  17. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini mtu akihoji viongozi anaambiwa ni CHADEMA na akisifia viongozi anaambiwa yupo CCM?

    Utamaduni huu ni changamoto sana ndani ya taifa letu, shida nini? Hasa 1. Elimu yetu ni mbovu? 2. Au ni umasikini? 3.Au ni taifa letu limekufa 4. Jamani shida nini? Na tufanye nn I'li kuondoa huu uccmulism na uchadalism?
  18. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Tangu mwezi wa kumi uanze, wananchi tunafurahia neema ya pesa nyingi sana

    Nashangaa Kuna watu wanalalamika maisha ya Tanzania yamekua magumu mbona wananchi tunafurahia sana maisha maana tuna viongozi wanaotujali. Tunamshukuru sana Mungu Kwa kutupa viongozi imara kupitia chama Cha ccm maana nchi imejengeka sana na wananchi tunaishi maisha mazuri na mwakani kura yangu...
  19. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 CCM itatoka Madarakani pale tu itakapochokwa na wananchi lakini siyo kwa kuzidiwa Mbinu za Siasa na Vyama vya Upinzani!

    Huko Ndio Ukweli CCM ina mikakati mipana sana Muda mfupi uliopita nimepigiwa Simu na Mjumbe wa Nyumba 10 akinijulisha Uandikishaji Wapiga Kura wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Umeanza Leo na anesema " chonde chonde Komredi sambaza ujumbe kwa Wananchi wote Wenye mapenzi mema na CCM" Sasa Ndio...
  20. Mkongwe Mzoefu

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi Miaka 25 ya Nyerere; CCM Imetutosa Wastaafu, Kutudanganya na Kutudharau kwa Kauli za Mwigulu Bungeni

    Kwako Mwalimu Nyerere; Wiki hii tunaitumia kukukumbuka wewe na uongozi wako. Sisi wazee tunakumbuka mbali zaidi hasa zile nyakati za vita Kagera ambavyo wapo wenzetu ambao waliambulia vilema na mpaka leo tunao wakiwa hai na huku wakilipwa Pension ya Laki 1 kwa mwezi na Hazina na hakuna msaada...
Back
Top Bottom