ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa CCM na Taifa

    Wasalaam. Zaidi ya miaka 60 tangu Tanzania iwe chini ya mtawala CCM lakini kila uchaguzi mpaka leo ahadi za CCM ni kuleta maji, kujenga barabara na kujenga zahanati. Ni wakati sasa watanzania mmshituke kuhusu hizi ahadi maana hazitekelezeki mpaka itafika miaka 100 bado hakutakua na hizo huduma...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Juliana Masaburi: Yaliyofanywa na Rais Samia Yanatosha Kuendelea Kuiamini CCM

    JULIANA MASABURI: YALIYOFANYWA NA RAIS SAMIA YANATOSHA KUENDELEA KUIAMINI CCM Mbunge wa Viti Maalum Vijana Tanzania, Mhe. Juliana Didas Masaburi akihutubia mkutano wa hadhara amewaambia wananchi kuwa Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imefanya kazi kubwa hivyo kukifanya...
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kada wa CCM Mbeya: Ukivamia mikutano ya CCM umekubaliana na kuumia au kufa, tanapotafuta nafasi roho zetu zinabadilika

    Wakuu, Haya si maneno yangu ni maneno ya kada wa CCM huko Mbeya akiwa anaongea na wananchi kwenye kampeni. Akiongea kwenye kampeni kada huyu amesema kuwa alipata taarifa kuwa kuna kuna vijana wa vyama pinzani walikuwa wamepanga kuvamia mikutano ya CCM na hivyo iwapo vijana hao watavamia...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 DC wa Tabora afanya Marathon kuhamasisha ushiriki wa wananchi kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa. Pesa katoa wapi?

    Wakuu, Hivi badala ya kutumia social media, redio na TV au njia nyingine za kufikia wananchi unaamua kwenda kufanya Marathon kuhamasisha wananchi kushiriki kwenye Uchaguzi? Vihoja hivi utavipata Tanzania tu. Sijawahi kusikia nchi nyingine kama Marathon zinasaidia kuhamasisha wananchi kushiriki...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Fanuel Siyame aapa kuing’oa CCM Momba, CHADEMA kushinda kwa kishindo

    Mtia nia wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Momba kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Fanuel Siyame akiwa katika ziara ya kuwanadi wagombea wa Vijiji na Vitongoji wa chama hicho katika mikutano ya Kampeni, ameeleza namna Chama cha Mapinduzi kilivyoshindwa kutekeleza Ilani yake jimboni...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Siyame awavaa CCM kwa kuwapa wana Momba maji ya kunywa yasiyo salama

    Mtiania wa Nafasi ya Ubunge Jimbo la Momba kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Fanuel Siyame aivaa vikali Serikali ya CCM kwa kushindwa kuwapelekea maji safi na salama wananchi wa jimbo la Momba mkoa wa Songwe, awataka wananchi wanapokuja viongozi wa kiserikali wawapatie hayo...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM Katavi wapiga magoti kuwaombea kura waogombea wao Uchaguzi Serikali Mitaa! Mpaka watatambaa ili wapewe kura

    Wakuu Akina mama wa CCM wapiga magoti ili kuwaombea kura wagombea wao kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Wakija kuomba kura mpaka wanatambaa, wakishazipata wanaanza kutupiga matukio, hata kuwasogelea huwezi, unasikia unajua mimi ni nani? Tutaona mengi wakati huu. Kupata taarifa na matukio...
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kituko, Wagombea wa CCM wapiga magoti kuomba radhi kwa kutotimiza majukumu kipindi kilichopita

    Wagombea uongozi wa mitaa kwa kata ya Salasala kwa ticket ya CCM wakiwa wamepiga magoti kuwaomba msamaha wananchi wa kata hiyo wa kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao ya kuwaletea maendeleo kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita. Pia soma:LIVE - Kuelekea 2025 - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka...
  9. C

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Watu wanaipenda CHADEMA, na CCM inalazimisha watu waipende

    Kwa jinsi kampeni zinavyoendelea nimejifunza kitu,Chadema ni chama kinachopendwa na wa Tanzania kutoka ndani ya Mioyo yao, haijalishi wanapitia kipindi kigumu kiasi gani, lakini watu bado wanakipenda hiki chama kutoka ndani ya mioyo yao. Tofauti na CCM inalazimisha watu waipende kwa kutumia...
  10. Wimbo

    JamiiForums Tanzania CCM na CHADEMA wanatufanyia maigizo

    Hali dhofri waliyonayo Chadema ambayo hata CCM asipofanya kampeni atashinda kwa kishindo kuna ka-drama kanafanyika ili kuonyesha upinzani uko active kwa watazamaji. Jamani waacheni hao Chadema mnawapa hadhi wasiyokuwa nayo
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tuwasikilize na tuwaelewe wana CCM wa kawaida.

    Kwa wale ambao ni wanachama, mashabiki na wapenzi wa CCM ambao sio viongozi katika chama au serikali mnananufaikaje kwa sasa na uwepo wa CCM na mnafikiri mtapoteza nini siku ambayo CCM haitakuwepo madarakani?
  12. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa CCM Simiyu, Shemsa Mohamed asisitiza wajibu wa kila Mwanachama kwenye ushindi wa CCM

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, ameendelea na kampeni yake ya kutafuta kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, akizungumza na wananchi na vijana wa UVCCM katika Wilaya ya Bariadi. Katika kampeni hiyo, alisisitiza umuhimu wa vijana kushiriki kikamilifu katika...
  13. JF Member

    JamiiForums Tanzania Ni Mimi tu ndio naona na kusikia! Kampeni za CCM hazina Mvuto

    Ninajaribu kudadisi kuona namna CCM inavyoendesha kampeni zake. Naona hazina Mvuto. Nimejaribu kuangalia kwenye magroup ya wasapu kimya kingi. Nafatilia mtaani wengi wanasubiri kupewa chochote.. wafia chama wamepungua Sana. CCM embu changamkeni Ili kampeni zichangamke. Au komba kakosa...
  14. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Shule ya Meta Sekondari Mbeya ni mali ya serikali, serikali itueleze CCM waliipataje?

    Shule ya Meta Sekondari ambayo miaka kadhaa kabla ya Uhuru ilijulikana kwa jina la N. A. Middle School, ni moja ya shule za boding'i za wavulana tu na baada ya Uhuru ikajumuisha na wasichana wasiolala shuleni. Mji wa mbeya ulikuwa na shule za tatu kati(middle) tatu, yaani N.A. wavulana, Meta...
  15. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania CCM wangejua ya kwamba kamata kamata ya viongozi wa CHADEMA na kuwatendea vibaya CHADEMA wasingethubutu kufanya haya

    Hivi sijui kukosa ushauri au nini yaani CCM wanavyowafanyia hivi CHADEMA ndiyo mnavyozidi kuipa nguvu Chadema na kuipa promo kuuzika kwa wananchi nyie CCM mnaona mnaikomoa lakini kiuhalisia ndivyo mnavyozidi CCM kujichimbia kaburi lenu hivi mnavyoitesa na kuwatesa wapinzani ndivyo wapinzani...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Sugu: CCM imepoteza ushawishi inatengenezea wananchi hofu

    Wakuu, Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyassa Joseph Mbilinyi (Sugu) amesema kwa sasa CCM kimepoteza mvuto kwa sababu kimeshindwa kufikia matarajio ya wananchi wa Tanzania na ushawishi wake umeshuka. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Makalla: CCM hatucheki na mtu katika kushika Dola, tumejipanga

    KATIBU wa Halmashauri Kuu ( NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema Chama hicho hakicheki na mtu katika kushika dola na katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu wamejipanga kuhakikisha wanashinda kwa kishindo. CPA Makalla ameyasema...
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Sitashiriki kamwe chaguzi yoyote nchini Tanzania kwa sababu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa na Wizara ya Ardhi

    Kipimo kikuu cha akili na ustaarabu wa binadamu yeyote yule ni namna anavyopangilia maeneo yake anayoishi na kufanya shughuli zake. Haijalishi kama anajenga nyumba za kitajiri au za kimaskini ila namna gani alivyopima na kupangilia makazi yake ndicho kielelezo pekee kinachoweza kukwambia kuwa...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM Wilaya ya Hai Yazidi Kuvuna Wanachama wa CHADEMA

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Hai, mkoani Kilimanjaro kimeendelea kuvuna wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanaojiunga na CCM. Hayo yamefanyika wakati wa kampeni zinazoongozwa na Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Saashisha Elinikyo Mafuwe, ambapo wanachama wengi wa...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 UVCCM Kagera Faris Buruhani: CHADEMA Kagera hawatashinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa labda washinde njaa

    Wakuu, Hivi huyu anafanya nini uraiani na bado ni kiongozi wkati alituambia wazi kabisa yeye ni wale watu wasiyojulikana wanaopoteza watu? Polisi mnazidi kutuangusha, yaani kila siku mnajipaka matope. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 -...
Back
Top Bottom