Siku za hivi karibuni nimemsikia msajili msaidizi wa vyama vya siasa ndugu Sisty Nyahoza akikiri hadharani kuwa pamoja na ukubwa wa CCM lakini wamekuwa wanatii na kuwajibika kwa makosa mbalimbali yanayofanywa na wanachama wake
Si mara moja au mbili wamekuwa wakiwaandikia barua za onyo na...