ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mwanza "ashtushwa" kufungiwa kwa kiwanja cha CCM Kirumba

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda, ameshtushwa kwa kufungiwa Uwanja wa CCM Kirumba na kuuagiza Uongozi wa Chama cha Soka Mkoa wa Mwanza MZFA kuiandikia barua Bodi ya Ligi Kuu Tanzania TPLB kuja kukagua Uwanja na waainishe mapungufu yaliyosababisha Uwanja kufungiwa.
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya Siasa CCM Dodoma mjini waigomea taarifa ya mradi wa ujenzi wa Soko la Zayoni lililopo Nkuhungu

    WAJUMBE wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Dodoma mjini wameigomea taarifa ya mradi wa ujenzi wa Soko la Zayoni lililopo Kata ya Nkuhungu mkoani Dodoma kwa kudai ina mapungufu kutokana na hali ya kusuasua kwa mradi huo na hivyo kuagiza kuandaliwa kwa taarifa mpya yenye majibu...
  3. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Ona Vikao vya CCM vinavyoendeshwa utapenda

    == Mwenyekiti wa CCM Taifa, Ndg. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati kuu pamoja na Halmashauri kuu ya CCM , Jijini Dodoma.
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uteuzi wa Wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ziizokuwa wazi ndani ya CCM

    Uteuzi wa Wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ziizokuwa wazi ndani ya CCM na jumuiya zake kwa nafasi za Wilaya na Mikoa
  5. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Profesa mwenye akili alie baki ccm, achilia mbali prof.mwandosya

    Wasomi wengi Tanzania wameacha taaluma zao kujifucha ccm kutafuta fusa na uchawa. Madokta, na maprofesa walioko ccm wengi ni machawa, elimu zao na usomi wao wote wameutupa na kuchagua uchawa, maprofesa waliopo ccm ni mmoja tu alie baki ni Anna Tibaijuka, Wengine wote ni machawa. Ccm wanzishe...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Dodoma: CCM ndicho chama chenye uchungu na maendeleo ya Watanzania

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma Abdulhabib Mwanyemba amewaasa Watanzania kikupigia kura Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi mkuu ujao kwa kuwa ndicho chama chenye uchungu na maendeleo ya Watanzania. Pia amesema umoja huo hauko tayari kuona...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoani Dodoma.
  8. J

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mwenyekiti wa CCM Taifa Cde Dkt Samia Suluhu Hassan aongoza kikao Cha Halmashauri Kuu kwa Mafanikio Makubwa

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), leo tarehe 10 Machi 2025, jijini Dodoma.
  9. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM ikubali kulamba matapishi ya makosa yake; yaani unatumia 5% ya GDP kujenga bwawa la umeme halafu uagize umeme nje? Mnajisikiliza??

    Watu wameng'ang'ania kujadili uhalali wa kuagiza umeme nje ya nchi. Kuna shida ingine kubwa haimulikwi. Tatizo haswa la Tanzania ni kwamba, baada ya ule mradi wa bwawa la umeme kupitishwa na kuanza rasmi, kuna kitu kingine kilipaswa kufanywa sambamba na mradi wa bwawa la Nyerere, nacho ni Power...
  10. Damaso

    JamiiForums Tanzania TFF yavifungia Viwanja vya Jamhuri (Dodoma), CCM Kirumba (Mwanza) na Liti (Singida)

    Nimekutana na hii barua kutoka kwa Kaka yangu Cliford Ndimbo kuwa imevifungia viwanja vya Jamhuri, Kirumba, pamoja na Liti kwa kukosa vigezo vya ubora wa kuchezesha michezo ya ligi kuu. Ni suala zuri na bora kutoa taarifa kwa umma kuwa kuna viwanja ambavyo vimekosa vigezo muhimu kikanuni ila...
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CCM Ruvuma: Kuna viongozi CCM wanaondolewa ondolewa kwenye nafasi zao, hiyo haikubaliki

    Wakuu, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma Ndugu Oddo Mwisho amewataka baadhi ya viongozi kutowaondoa Madarakani Mabalozi kipindi hiki Cha uchaguzi Kwa madai ya kutokuwaunga mkono madiwani na wabunge au watia nia ambao wako karibu na viongozi wa kata Amesema hayo wakati...
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Naipongeza CCM kwa kufanikiwa kuwapangia Watanzania cha kujadili

    Wiki hii tumepangiwa kujadili mambo ya simba na yanga na hii ni sehemu zote si vijiweni si ofisini, barabarani, wala hospitali. Kwenye mikusanyiko yote rasmi na isiyo rasmi story kuu ni hizi timu za CCM. CHADEMA mna safari ndefu sana, hii ndiyo nchi yenu ndiyomaana yule mzee akaona awaruhusu...
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kama mlikuwa hamjui: CCM imeliongoza hili Taifa kwa uongo tangu ikiwa TANU hadi sasa.

    Ni vile tu Watanzania wengi ni wajinga na sio wasomaji sana wa vitabu na wafuatiliaji wa masuala ya nchi yao. Mlioshtuka leo kuhusu habari ya Tanzania kununua umeme nje kwa ajili ya matumizi ya mikoa ya Kaskazini wakati Serikali imekuwa ikijisifu kuzalisha umeme kuzidi matumizi yetu nawashangaa...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Aliyehamia CCM akitokea CHADEMA aula kisa mradi wa maji Mwanga

    Kukamilika kwa mradi wa maji Same-Mwanga -Korogwe na kuimarika kwa huduma ya maji katika wilaya ya Mwanga kwamtua kada wa Chadema ndg. Sadi Hemed na kumrudisha chama cha mapinduzi (CCM) na kumpa ushindi wa Uenyekiti wa kitongoji cha lwami katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, wilayani...
  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hivi Yanga ingekuwa ni CHADEMA ndiyo wanazuia CCM kufanya mkutano wao kingetokea nini?

    Nimeangalia Clip Moja inayoonesha jinsi makomando wa Yanga walivyokuwa wanazuia timu ya Simba kuingia uwanja wa Mkapa kufanya mazoezi usiku wa Jana ikanifikirisha Sana. Pale kwenye eneo la tukio kulikuwa na Polisi lakini walikuwa nao kama ni waangaliaji tu wa purukushani ile. Nikawaza ingekuwa...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CCM Rukwa ampongeza Mbunge Aesh Hilaly kwa Usikivu na Kujali Wananchi

    Mwenyekiti wa CHama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Rukwa Bi. Silafu Jumbe Maufi amemtaja Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly kuwa Mbunge Msikivu na anayewajali wananchi waliompa dhamana ya kuwaongoza. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mabinti wa Vyuo Vikuu wajiunga na CCM, wakosoa nafasi ya wanawake Ndani ya CHADEMA

    Kundi la mabinti kutoka vyuo vikuu mbalimbali nchini leo limetangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kudai kutoridhishwa na nafasi ya wanawake ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Soma Pia: Pre GE2025 - Kipindi hiki cha Uchaguzi wanawake wanapata nafasi ya...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kimeumana! Makatibu CCM Meatu wapigana na kutukanana hadharani

    Kikao cha Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Meatu, Mkoani Simiyu kilichofanyika Machi 5, 2025, kiliibua hali ya sintofahamu baada ya kutokea mzozo mkali kati ya Katibu wa CCM wilayani humo, Ndg. Naborth Manyonyi, na Katibu wa Itikadi, Siasa, na Uenezi wa wilaya hiyo, Ndg...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ruvuma: Mwenyekiti CCM, viongozi wa chama acheni kuanzisha migogoro inayochonganisha wananchi na serikali

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Ruvuma ndugu Oddo Mwisho amewataka viongozi wa chama hicho ngazi ya kata,tawi mpaka shina kuacha tabia za kuanzisha migogoro katika jamii ambayo inawachonganisha viongozi wa serikali pamoja na wananchi. Hayo ameyasema wakati anaongea na viongozi wa...
  20. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Kunenge awataka TANROADS na TARURA kumaliza miradi ya barabara iliyoahidiwa na CCM 2020

    Kunenge alitoa agizo hilo katika mkutano wa Bodi ya Barabara ya Mkoa wa Pwani uliofanyika Kibaha, ukiwahusisha wadau wa maendeleo na wataalamu wa sekta hiyo. Alisisitiza umuhimu wa kuwa na mpango wa utekelezaji wa ujenzi wa barabara, hasa zile zilizokuwa sehemu ya ahadi za uchaguzi. Pia...
Back
Top Bottom