ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Hatimae Vijana wa CHADEMA waliopewa kesi ya UBAKAJI na CCM washinda dhuluma

    Yale MASHETANI YA CCM KWA KUTUMIA MASHETANI YA POLISI YAMEAIBIKA THOUGH KWA KUCHELEWA Wanachama wa CHADEMA, Katala Kikaja na Ng'hulima Lilanga, wakazi wa kata ya Dutwa, Wilaya ya Bariadi, walihukumiwa kitumikia kifungo cha maisha gerezani. Katala Kikaja na Ng'hulima Lilanga walikuwa mawakala wa...
  2. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Tunaposema CCM ni mchwa watanzania muelewe, hawana huruma

    Wasalaam. Sikiliza kwa makini. Moja ya kauli alizowahi kuoangea Polepole wakati akiwa katibu mwenezi wa CCM
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Watanzania wasifurahie yanayowakuta CHADEMA kwani looser sio CHADEMA looser ni watanzania na taifa kwa ujumla na wanufaika pekee ni CCM

    Watanzania wanaofurahia madhila ya CHADEMA hawajui kwamba anayepoteza sio CHADEMA Wala Lissu ni watanzania kwani tunapokosa mtetezi mwenye nguvu kama CHADEMA basi ccm wanapata nafasi ya kufanya watakalo Tena mabaya kwasababu hakuna mtetezi. Hakuna mtetezi kwasababu; 1. Bunge wamelitia mfukoni...
  4. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Ramadhani Kailima anatoa matamko kama nani? Kuna stakeholder yeyote aliyeshiriki kumuweka kusimamia uchaguzi tofauti na mgombea wa CCM?

    Huyu mtu hana mandate yeyote kutoa matamko kukemea jambo lolote, Kwa sababu uwepo wake katika kusimamia uchaguzi si halali. Mtu aliyeteuliwa na Mwenyekiti ambaye pia ni mgombea wa CCM atawezaje kukemea CCM pale inapokosea? Hiyo nafasi ilitakiwa apatikane mtu ambaye atakuwa neutral asiyekuwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania CCM wanavyoitajataja Chadema kila mkutano ni sawa na Walokole wanavyomkemea Shetani kwenye kila Ibada, tuvumiliane!

    Kuna wanachadema wanaumia sana kila Chadema inapotajwatajwa na wanaCCM mikutanoni Niwatie tu moyo wawe wavumilivu kwani kwetu CCM wale CHADEMA ni sawa na shetani mbele ya Walokole ni lazima akemewe na kupondwapondwa kila wakati hasa mwaka huu wa uchaguzi Tunamkataa shetani na kazi zake zote...
  6. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu uenezi Kilimanjaro: CCM hatufikirii kuachia dola, uwezo wa kuihudumia nchi tunao

    Chama cha Mapinduzi hakifikirii kuiachia dola kwabsabu uwezo wa kuihudumia nchi wanao, Katibu wa Siasa , mafunzo na Uenezi wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro, Abraham Urio, alipokuwa akizungumza na Banana FM Kupitia Kipindi cha Banana Breakfast anaeleza sababu hizo. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wanaoshabikia CCM hawana uwezo wa kujenga hoja zaidi ya kusifia?

    Jamani naombeni kuuliza,kwa nini watu wengi wanaoishabikia CCM hawajui kujenga hoja zaidi ya kusifia? Mfano Dotto magari,Mwijaku na wengine wengi,yaani ukisikiliza wanachoongea hakina maana na wamekuwa wakipewa nafasi kubwa hata na Rais mwenyewe kama kuutambua uwepo wao kwenye matukio kama...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge wa CCM walalamikia mchakato wa uchukuaji fomu kuanza mapema kabla ya Bunge kuvunjwa

    WABUNGE wa CCM walalamikia utaratibu mpya uliotangazwa na Chama cha Mapinduzi wa kuchukua fomu kuanzia tarehe 1 Mei 2025 tofauti na miaka yote ambapo mchakato wa kura za maoni huanza baada ya kuvunjwa Bunge na kueleza kuwa katika kipindi hicho itafika siku Bunge litakosa Mbunge hata mmoja kwani...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Watanzania wengi ni wanachama wa CCM wenye furaha sana na uhakika wa kila kitu maishani mwao tofauti na walio vyama vingine?

    Wana uhakika wa amani ya kutosha kimwili na kiroho, wanakua ni wenye furaha, ana matumaini na uhakika wa kesho yao na siku zijazo. Wana uhakika wa kutimiza ndoto zao za maisha bila wasiwasi. Tofauti na mtu akiwa vyama vingine vya siasa, anakua na wasiwasiwasi sana, anakua na hasira, mihemko...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wasira: CCM imeanza kuwabaini wanaotumia pesa ili wachaguliwe

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Steve Wasira amewaagiza Wenyeviti wa CCM ngazi za mkoa na wilaya nchini kusimamia maadili wakati huu wa kuelekea kwenye Uchaguzi mkuu ili kuwapata wagombea wanaokubalika kwa watu badala ya wale wanaotegemea pesa kama mtaji wao wa kuwafanya wateuliwe...
  11. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Mbogwe: Huu mwaka wa uchaguzi, bora tuhukumiane wenyewe kabla ya kuhukumiwa na wananchi

    Mbunge wa Mbogwe Nicodemus Maganga amebainisha kuwa watumishi wa serikali wanatakiwa kufanya kazi kulingana na matakwa ya kazi zao ili kutowaingiza wabunge katika wakati mgumu . Amesema kumekuwa na watumishi wasio tenda haki na wajibu wao kutokana na utekelezaji kufanyika kwa asilimia 50 huku...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Katibu Kata CCM Nyalikungu wilaya ya Maswa aache tabia zake za kuwatukana viongozi wenzake wa kike.

    Tabia ya Katibu Kata wa CCM Kata ya Nyalikungu,wilaya ya Maswa,Charles Kahema anatakiwa ashughulikiwe na uongozi wa CCM wilaya kwa tabia zake za kuwatukana matusi na kuwadhalilisha viongozi wenzake wa Kata hasa wa jinsi ya kike. Aprili 14,2025 alifikishwa katika kituo cha polisi wilaya ya Maswa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 GEITA: UVCCM yasema CCM haijaruhusu fujo na harakati kwenye majimbo

    Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita kimetoa wito kwa wanachama wake kuzingatia utulivu na kuheshimu taratibu zilizowekwa wakati wa kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. Akizungumza na wanachama wa CCM katika Kata ya Uyovu Wiaya ya Bukombe, Mwenyekiti...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mwananchi kuchaguliwa viongozi

    Kwa CCM na tume yao ya uchaguzi na maadili ili iendelee kubaki madarakani kwao huu sio uhaini?
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TBT: Kanali Mstaafu Lubinga akisimulia alivyoshiriki kuisadia CCM wakati sheria na taratibu hazimruhusu, alisema 'bila CCM Madarakani mimi sitalala'

    Wakuu, Gen Z tunavyojifunza mambo yalivyokuwa nyuma ili tufanye maamuzi sahihi. Hii imekaaje? Mwanajeshi ana utii kwenye chama kuliko serikali, kuna kutetea maslahi ya wananchi hapo? ===== "Nilikuwa Mkuu wa Kikosi cha Jeshi wakati hairuhusiwi Afisa wa Jeshi kushiriki kwenye mambo ya kisiasa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania CCM yakiri, Lissu ni mwiba mchungu; ilitamani mno kuwa na CHADEMA yenye mwenyekiti aliyepigwa mweleka, aka: Mwamba!

    Maneno haya hayaachi shaka hata kidogo: Tuweke rekodi sawa sawa, ipo tofauti baina ya kustaafu na kupigwa mweleka. Misamiati miwili hii ni tofauti. Ama kwa hakika ukisikia mtu mzima kama huyu analalama hivi, "no reforms no election" ni kukamatia hapo hapo mapambazuko ni karibu. "Kamanda...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kupunguza nguvu ya CCM, mawakili wa CHADEMA pelekeni baadhi ya viongozi wa serikali mahakamani

    Kwa nchi ilipofikia bila hatua madhubiti, viongozi baadhi wa serikali wanaweza kuamua jambo lolote hatari la kuhumiza watanzania wenzao kwa kisingizio Cha kulinda amani ya nchi. Wanasahau pasipo HAKI kutamalaki hiyo AMANI wanayo ubili ni sawa na kusukuma UPEPO. Baadhi ya viongozi wa CCM...
  18. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania CCM tujipange kugawana vyeo uchaguzi tushashinda 100%

    1. Wanachama wenzangu. Hii game tushashinda mezani. 2. Lililobaki, tupange Safu ya vyeo kuanzia PM, Mawaziri na vyeo vingine (Wakurugenzi, Makatibu Wakuu, RC, RAS, Wakurugenzi Halmashauri, DC, DAS) kila mtu apate.
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohammed Kawaida: Walionyimwa Haki ya Kugombea Msiogope, Karibuni CCM

    Kutokana na uwepo wa taarifa za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025 kulikosababishwa na kukataa kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, Mwenyekiti wa UVCCM Mohammed Ali Kawaida, amesema amepokea malalamiko mengi kutoka kwa vijana juu ya kunyimwa haki yao...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohammed Kawaida: Sina mpango wa kugombea Ubunge kwani nataka nikitumikie chama changu cha CCM

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Mohammed Kawaida amesema kwasasa hana mpango wowote wa kugombea Ubunge kwani anataka akitumikie Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
Back
Top Bottom