Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Sheikh Ponda ameeleza kuwa watawala nchi hii wamekaa madarakani zaidi ya miaka 60 wamefikia hatua wanaona kuwa hii nchi ni mali yao.
Ameeleza kuwa ni muhimu kufanya mabadiliko kama mataifa mengine yafanyavyo ili kuleta maendeleo.
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM wakimpokea Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara, Stephen Wasira wilayani Mbozi mkoani Songwe Wana CCM wampokea Stephen Wasira Vwawa, wamama wamtandikia vitenge asiguse vumbi Machi 14, 2025,
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
Ukiondoa kutumia muda mwingi kufafanua no reform no election Lissu ameitisha nini serekali ya ccm iliopo madarakani?
Ipi amsha amsha ambayo Lissu kaifanya na kuifanya ccm kupata wakati mgumu?
Ipi tofauti ya Mbowe na uongozi wa lissu ktk amsha amsha kwa ccm?
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Chitete wilayani Ileje, mkoani Songwe, Harison Mwampashi (62) amefariki dunia baada ya kudaiwa kuuawa na watu wasiojulikana.
Mwenyekiti wa kijiji, hicho Joseph Mwashitete amesema tukio hilo lilitokea jana Jumatano Machi 12...
CV ya Profesa haihitaji kuelezewa sana.
Huyu ni mtu, msomi wa mwanzoni kabisa wa nchi yetu, cream of the cream.
Mtu aliyehudumia nchi yetu na wananchi, kwa moyo, vipaji na kwa nyadhifa kubwa kubwa.
Mtu ambaye ni muasisi wa Kitengo cha MoI. Leo ukisikia maelfu ya vijana wanaopata ajali za...
MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Kennan Kihongosi amekalia kuti kavu baada ya kushindwa kusimamia shughuli za Serikali ndani ya Mkoa huo na kutumia muda kujihusisha na makundi ya kisiasa ya kugombea ubunge katika Jimbo la Bariadi.
Tetesi zinazoenea ni kwamba mkuu huyo wa mkoa ameshagombana na Mwenyekiti...
Akizungumzia maendeleo yaliyoletwa na chama cha mapinduzi (CCM) tangu tupate uhuru, kada wa chama hiko - Antipas Pamba ambaye ni Katibu wa umoja wa vijana chama cha mapinduzi (CCM) tawi la Milenia 3 kata ya Kimara, anasema Kariakoo zamani ilikuwa na vibanda vya nyasi tu.
Pia soma: Pre GE2025...
Sisi Chama cha Mapinduzi tunasema hakuna kazi bila utu, kwani tunawahudumia Wananchi na kuhakikisha tunawapatia maendeleo wanayostahili kwa ueledi wa hali ya juu.
CCM 2025 ✅,
KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoani Dodoma , Abdulhabib Mwanyemba amesema wanaokisaliti Chama cha Mapinduzi ni wanachama wake kwa sababu wanafanya makosa wakati wa uteuzi wa wagombea wa ngazi mbalimbali ikiwemo ubunge na udiwani.
Mwanyemba ametoa kauli...
Maswali yangu:
1. Kazi gani?
2. Utu gani?
3. Kusonga wapi?
4. Mbele wapi?
1. Ali Kibao
2. Soka et al
3. Ben saa nani
4. Kangoye
na wengineo.
5. Katiba mpya iko wapi
6. Tume huru iko wapi?
etc etc etc
UTU UKO WAPI? KAZI IKO WAPI? TUNASONGA WAPI...kaburini/
CCM ndiyo inayoongoza Serikali. Lolote baya au zuri linalofanywa na Serikali, CCM inabeba uhusika mkuu.
Jukumu la kwanza la msingi kabla ya mengine yote kwa Serikali yoyote halali Duniani, ni usalama wa wananchi wake.
Katika kipindi hiki cha awamu ya 6, tumeshuhudia uovu wa ajabu kabisa wa...
Kwa yanayoendelea nchini miaka mitatu ya serikali hii ya Chama hiki na mwenendo' na kauli za Vijana wa Chama hiki, kusema mnajali UTU ni uongo mchana kweupe. Watu waliopotezwa na kuuawa chini ya Chama hiki katika miaka 3 hii huwezi kuongelea UTU watu wakakuelewa. Hakuna mahali Chama hiki...
Utangulizi
Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, masuala ya viti maalum vya ubunge na udiwani yanazungumziwa kwa nguvu, lakini kuna maswali mengi yanayoibuka kuhusu uhalisia wa sera hii.
Mimi nikiwa kiongozi na mwanachama wa CCM, Ninatoa mawazo yangu kwa sababu zifuatazo:
1. Muda wa...
January niliandika sana hapa nkalia sana na haya mambo ya VITI MAALUM
Nkaelezewa sana madhara yake kuna watu wako vijana wanazeekea voti MAALUM kiasi cha kwamba WAKIFIKA kule HATA akili aziwazo kusaidia wananchi WANAJUA watachsguliwa Tena wakipitidha mambo yaooo
Sio hivyo iliwafanya HATA...
Yeye ndie na hakuna mwenye mamlaka juu yake na uwepo wake unadhihilika bila shaka wakuu wangu na waungwana sana wana JF ( sio machawa).
Wana JF amani ya Bwana na ikawe juu yenu popote mlipo kila mmoja kwa imani yenu .
Mada tajwa hapo juu yahusika wakuu.
Nimekaa na kutafakari sana juu ya...
Wakuu,
TAARIFA KWA UMMA
Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, imefanya kikao chake maalum jana tarehe 10 Machi, 2025 jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika kikao hicho, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa imepokea...
Ijue idadi ya wanawake katika Kamati kuu za CCM, Chadema, ACT Wazalendo na CUF
ACT WAZALENDO
Kamati kuu ya ACT Wazalendo ina wajumbe 55 ambao kati yao 23 ni wanawake. Wajumbe hao ni pamoja na Kiongozi wa chama, Naibu kiongozi wa chama, Mwenyekiti wa Taifa, makamu wenyeviti (Bara na...
Tokea kupata uhuru hakuna chama chochote cha upinzani kilichoweza kushika hata uraisi wala maamuzi makubwa zaidi ya chama cha ccm.
Maamuzi haya yapo ndani ya serikali ya ccm ambayo ndio chama kilichomo.
Sasa neno ili la ulaghai linapendwa sana kutumia kila anayeingia iwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.