ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Iringa yakanusha kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wilaya ya Iringa juu ya kupewa kipaumbele wabunge na madiwani walipo madarakani kuelekea uchaguzi

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kupitia kikao chake cha dharura cha Kamati ya Siasa ya mkoani humo imekanusha vikali taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa, Steven Mhapa inayodai majina ya madiwani na wabunge waliopo madarakani sasa yatakuwa miongoni mwa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CCM, Kibiti: Tusicheke na yeyote anayetaka kupunguza Kura za CCM

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kibiti mkoani Pwani Juma Kassim Ndaruke ametoa rai kwa wa Umoja wa wanawake wa Chama cha Mapinduzi Kibiti kusimama kidete na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika kutafuta kura za Urais kwenye kila eneo la Wilaya Kibiti. Ndaruke ametoa rai hiyo...
  3. Area 56

    JamiiForums Tanzania CCM wanajua kum-brand mgombea wao

    Japo muda wa kampeni haujafika ila CCM washaanza kum-brand mgombea wao, kitaalam imekaaje?
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana CCM kwa kuliangamiza Taifa letu!

    Ukitaka kujua future ya Taifa lolote angalia vijana wake! Fikra zao na priorities zao! Yaani wana maarifa sahihi? Leo nimejaribu tu kufanya kautafiti kadogo kuhusu tofauti iliyopo baina ya vijana wa Tanzania na wa Rwanda ili niweze tu kubashiri Taifa gani lina vijana hodari wanaolifanya liwe...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ifike time, uitishwe Mdahalo kati ya Mwenyekiti wa CCM vs Mwenyekiti wa CHADEMA.

    Salaam Tanganyika! Issues nyingi zinaibuliwa wakati huu na zinaonekana ni za upande mmoja, Na anayeibua HOJA nyingi ambazo hazipati majibu ni huyu Mwenyekiti mpya wa chama Cha upinzani TUNDU Lissu. Sasa Kwa kuwa anayetakiwa kuzichambua ni mwananchi, ni muhimu wenyeviti Hawa wawili...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Vyombo vya Habari havitendi haki kwa Vyama vya upinzani, vyote vinakuwa vya CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) amesema Vyombo vya Habari vyote nchini havitendi haki katika kuripoti masula ya Uchaguzi kwa vyama vikuu vya upinzani. Soma: Hali ya Vyombo vya...
  7. -ArkadHill

    JamiiForums Tanzania Naona sasa uchawa umezidi hapa nchini. Nashauri serikali ya CCM ianze kugawa tuzo za machawa

    Kulikua na haja gani mheshimiwa chawa kuvaa nguo ya aina hii? Hakika Anko Magu alituingiza choo cha kike.
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kuwashughulikia wanaojipitisha majimboni kutaka ubunge. Rais Samia na Dkt. Mwinyi pekee nafasi zao zimejazwa

    Chama cha Mapinduzi (CCM), kimetoa onyo kwa watu wote wanaojipitisha katika majimbo kutaka ubunge kabla ya muda sahihi, hivyo kitawashughulikia. Akizungumza katika uzinduzi wa ofisi ya CCM Wilaya ya Newala mkoani Mtwara Machi 1, 2025, Katibu wa Organizesheni wa chama hicho, Issa Ussi Gavu...
  9. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je! Kuchangia chama ni lazima?

    Mimi ni mwanachama wa CCM na najivunia uanachama wangu, lakini sijawahi kuchangia chama kwa njia yoyote. Najiuliza, je, mchango wa mwanachama unatakiwa kuwa wa kifedha tu, au kuna njia nyingine za kusaidia chama? Naamini kuwa uanachama sio tu kuhusu pesa, bali pia kushiriki mijadala, kutoa...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania CCM Tabora yaamua kuboresha uwanja wa Ali Hassan Mwinyi baada ya kufungiwa na TFF

    Siku moja baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, kuufungia uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora, kutumika katika michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kukosa vigezo na kanuni za mpira wa miguu, wamiliki wa uwanja huo ambao ni Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Tabora wameanza kuufanyia...
  11. M Hacker

    JamiiForums Tanzania Siku CCM Ikiwa Mpinzani: Simulizi ya Siku Mpya

    Kulikuwa na hekaheka kila kona ya nchi. Mitaa ilikuwa hai usiku na mchana, watu wakijadili jambo moja—mabadiliko makubwa ya kisiasa yaliyokuwa yametokea. Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilikuwa mpinzani, na chama kingine kilikuwa madarakani. Siku hiyo...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Medard Kalemani: CCM Chato tunahita utulivu na umoja kwenye kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi

    Ikiwa imebaki miezi michache kipyenga cha uchaguzi kupulizwa viongozi pamoja na wanachama wa CCM mkoani Geita wamepewa angalizo kuepuka makundi yanayoweza kusababisha mpasuko na badala yake kusimama pamoja. Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shinyanga: Maafisa mikopo watajwa kusababisha CCM kuchukiwa na wafanyabiashara

    Maafisa wa Maendeleo ya Jamii katika halmashauri za Mkoa wa Shinyanga wametakiwa kuacha urasimu katika utoaji wa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ili kuwawezesha wananchi kunufaika kwa wakati. Akizungumza katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Arusha yapinga Madiwani kumpigia Debe Makonda, yatoa Onyo kali

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, amewataka wanachama na viongozi wa chama hicho kuheshimu viongozi waliopo madarakani hadi muda wao utakapokamilika rasmi kwa mujibu wa kalenda ya chama. Ameyasema hayo hii leo February 28, 2025 alipozungumza na waandishi wa...
  15. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CHADEMA kuhusu siasa mtandaoni

    Niende moja kwa moja, nawashauri chadema mkitaka kufanikiwa, wekezeni sana kwenye mitandao ya kijamii, ajirini watu kabisa ikiwezekana. 1. Israel na Hamas vita yao kubwa ilikuwa ardhini, lakini vita kbuwa zaidi ilikuwa mitandaoni. waliajiri watu kabisa ambao akiamka asubuhi hadi jioni anaenda...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Bomu linaenda kupigwa Mochwari ya CCM Kirumba leo

    Nikiona mwana Simba SC yoyote atashangaa Matokeo ya leo huko Mwanza na Kuumia nayo nitamshangaa mno na pengine hata kumuona hana Akili. 85% ya Viongozi Pamba FC ni Yanga SC tupu+ GSM Yanga SC Kuidhamini + Kocha Minziro mwana Yanga SC kufa Mtu = Ushindi mnono Leo.
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Kike wa Tanga aliyesifiwa kujua Lugha ya Kiingereza kwakuwa kasoma Shule za 'Kata CCM' amewaumbua Wanaomsifia na aliye Ziarani

    Nimemsikia mwenyewe (tena kupitia TBC1 Taarifa ya Habari ya Saa Mbili usiku huu) huyo Msichana akisema kuwa kwa 95% hicho Kiingereza ambacho CCM na Mwenyekiti wake Taifa pamoja na Chawa Gegedu wake wanamsifia na kusema kuwa ni Faida ya Shule za Kata CCM hakujifunzia Shuleni hapo japo alikiri...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Geita: CCM yawanunulia wanafunzi TV kwa ajili ya kufuatilia yanayofanywa na Rais Samia ili yawasaidie katika masomo yao

    Wanafunzi katika Shule ya Sekondari Nyang’hwale iliyopo wilayani humo Mkoani Geita wamekabidhiwa Runinga pamoja na Kisimbuzi kwa ajili ya kufatilia maendeleo ya Miradi inayotekelezwa na Serikali ya awamu ya sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan. Makabidhiano hayo yamekuja baada ya Mwenyekiti...
  19. Barakoa 001

    JamiiForums Tanzania Je wajua: Siasa za CCM & CHADEMA huamua bei elekezi ya vitu hivi?

    Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, sisi kama wananchi tunayo mengi ya kujifunza. Tunayo haja ya kuchuja sera zao kwa upana kwa maana wao hawa wanasiasa ndio huamua bei za vitu tunavyohitaji katika maisha ya kila siku. Leo nakuchapishia picha ya vyombo vya moto ambavyo wanasiasa...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM yampongeza DED Hai kwa kusimamia miradi ya maendeleo

    Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro kupitia Katibu wake, Ndugu Mercy Mollel amempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Dkt. Haji Mnasi kwa kusimamia miradi ya maendeleo huku akiwaeleza wajumbe kazi kubwa aliyofanya DED Mnasi wakati akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Ileje...
Back
Top Bottom