ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama cha upinzani, chapata wapinzani!

    Katika utamaduni wa siasa ya vyama vingi, kawaida ni kuwa na chama tawala na vyama vya upinzani. Katika hali isiyoyakawaida, hapa Tanzania, chama kikuu cha upinzani ndio kimepata wapinzani. Ni rasmi sasa CHADEMA inapingwa na wana CHADEMA wa kundi la G55, Chama Cha Mapinduzi, vyama vya...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baba Levo ajitosa Ubunge Kigoma, anajiweza kweli kuchuana na Zitto Kabwe?

    Aloooo, kweli uchawa unaenda kuharibu nchi, na kimasihara anaweza 'kumshinda' Zitto🤣🤣 kama jinsi wagombea 'walivyoshinda' viti 2020! Wana Kigoma tutawashangaa sana kura zikienda kwa chawa, itabudi tuingie kwenye rekodi ya Guiness ya kuwa wapumbavu wa Dunia! === Msanii na Mtangazaji maarufu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kwangu issue ya mvutano wa uchaguzi kati ya Chadema na CCM ni simple

    CCM, dunia nzima inajua kuwa tume ya uchaguzi ya sasa haiwezi kuwa fair by all imaginations! Dunia nzima inajua hilo! From the innermost chambers of your hearts, mnajua kuwa tume "yenu" haina fairness yoyote, haiwezi kutenda haki. sasa mnaogopa nini kuifanyia marekebisho pendekezwa? Jibu ni...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mfano wa Kuigwa: Papa Leo XIV aliongoza kuupinga Utawala wa Kidikteka wa Fujimori nchini Peru miaka ya 1990. Hongereni TEC kwa kupinga Udikteta wa CCM

    Inaelezwa kuwa, moja ya sifa kubwa na Papa mpya, Leo wa Kumi na Nne ni namna ambavyo anasimamia ukweli kupinga udhalimu na uonevu wa binadamu bila kujali mazingira yapoje. Katika historia yake, inasemwa kuwa miaka ya 1990 akiwa Padre nchini Peru, utawala wa kidikteta chini ya Kiongozi Fujimori...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana kuwashinda Chadema kwenye jicho la Kisheria, ndo mana mbinu zote za CCM na System zinakwama

    Unaposhindana na Chama kilichojaa manguli wa kisheria waliosoma Sheria ndani na nje ya Tanzania tena kwenye vyuo bora kabisa duniani vinavyofahamika kutoa Wanasheria bora kabisa ni vizuri uwe makini na smart sana. Hiki ndo kinachowakuta system na CCM kwa sasa. Kwa kuwa system haijawahi ku...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM inatumia pesa nyingi sana kwenye chaguzi wakati wananchi wake ni maskini sana, dawa hospitalini hakuna, madawati hakuna na ajira hazipo?

    Niende moja kwa moja kwenye mada Fedha za CCM zinatumika zaidi na zaidi kwenye uchaguzi mkuu 1. Ina lipa zaidi ya TSH 5B kununua wapinzani(Kuna tetesi kuwa G55 wamepewa fedha za kutosha ) 2. Ina lipa zaidi ya tsh 1B kulipa wasanii(Kwenye kampeni zao zote hata sizizo na ushawishi na ulazima...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 CCM walilazimika kuingiza cdm kwa nguvu bungeni ili kuweka sawa mahesabu na mabeberu, 2025 mahesabu yanaanziwa mbali kwa G55?

    Najaribu kufikiria tu serikali haichukulii kiwepesi suala la MABEBERU si kama wanavyo tuaminisha kwamba sisi ni nchi huru! Tatizo ni kwamba Hila nyingi hufanywa ili kuridhisha MABEBERU kwamba Demokrasia ipo safi jambo ambalo halisaidii nchi! Kwanini CDM hawatakiwi kupatiwa kilicho haki yao hadi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Susan Lyimo: Jambo pekee ambalo CCM wamebaki nalo ni kukimbiza mwenge mchana, wanadai unaleta amani basi waupeleke Congo

    Susan Lyimo Mwenyekiti wa BAZECHA amesema kuwa jambo pekee ambalo CCM wamebakiwa nalo ni kukimbiza mwenge mchana huku wakidai unaleta amani basi waupeleke Congo ukalete amani huko. Aidha amewataka wanaoitwa mabalozi huko vijijini huku wakiwa na bendera za CCM juu ya nyumba zao kuukuu...
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkutano wa IDU waazimia kwa pamoja, Tundu Lissu aachiwe mara Moja. Mke wa Lissu ahutubia

    CCM na Genge lake, walikaa Wakaona wamkamate Naibu Katibu Mkuu, ili ashindee kutoa Hotuba kwenye Mkutano wa IDU Nchini Ubelgiji. ( Unaweza jiuliza Mkuu, Hivi CCM na Genge lake hamna mwenye Akili, yaan Kwa Dunia ya Leo, unamkwamisha MTU safari ili asipate fursa ya kufikisha mawazo na Maoni ?)...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM tambueni ya kuwa CHADEMA ni joka kubwa lenye vichwa vingi.. Ukikata kimoja vinachipua vingine

    Kuna ujinga mkubwa sana unafanywa na ccm kwa kutumia kodi zetu kutaka kukidhoofidha na kukiua kabisa CHADEMA Hawa waliobuni hii project sijui ni akina nani huko ccm Hivi kweli mpaka Leo ccm inashindwa kujua kwamba CHADEMA sio TLP? CHADEMA sio CUF? CHADEMA sio NCCR- MAGEUZI? Wanadhani na...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Sangu, kielelezo Cha ma CCM na Dola, katika Utawala wa Sheria, alipaswa kua tayari Kaondoshwa kwenye Uwaziri

    Moja ya matatizo yalozaliwa na CCM na Dola ni Viongozi kua Miungu watu. Kwa Fikra za huyu Naibu Waziri , Anayejiita TISS, Kitengo Cha kumlinda Rais, Sijui nayeye anahusika kwenye kupitisha Wagombea, mara yeye ni Mafia, mara atawapoteza washindan wake , ni kielelezo tosha Cha namna gan tuna...
  12. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Waziri Deus Sangu: Mimi ni mafia, nitawashughulikia wanaotaka kugombea jimbo la Kwela

    Mbunge wa Jimbo la Kwela, Deus Sangu, ametangaza hadharani kuwa yuko tayari kutumia mbinu kali kushughulikia watakaothubutu kugombea ubunge katika jimbo hilo. Aidha, ametishia kuwashambulia na kuwaumiza watu wanaochapisha taarifa kumhusu kwenye mitandao ya kijamii. Katika kauli zake, Sangu...
  13. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Baada ya kurudia kumsikiliza Askofu Gwajima , nadhani kuna siku WanaCCM watashangaa na kuyakataa yanayofanywa na CCM

    Nadhani umaskini, ujinga ,uchama na uchawa ni maadui wakubwa sana wa Taifa hili la Tanzania.Ukweli unafichwa ,watu wenye mawazo ya kusaidia nchi wapo ,malighafi zipo ila maadui hawa wanaharibu nchi . https://youtu.be/gHlYAZNZwQ0?si=GtfXB0S5pr4kfI6P...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa CHADEMA Bariadi na wengine 83 wajiunga na CCM

    Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Bwana Charles Nduhi Lyaganda amejiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM akiambatana na Wanachama wengine 83 wa Chama hicho. Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa Kadi ya CCM, Lyaganda amewaambia wananchi kuwa...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UWT Njombe asema watailinda CCM kwa gharama yoyote ile kama Simba na Yanga

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Njombe, Dkt. Scholastika Kevela, amewataka wanawake kote mkoani humo kujiandaa kwa uchaguzi mkuu ujao, akisisitiza kuwa chini ya serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), hakuna atakayeweza kuvuruga mchakato wa uchaguzi. Dkt. Kevela...
  16. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Msomi Unapataje Muda wa Kulumbana na Wanasiasa? Heche Yuko Sahihi. Tunazalisha Mabingwa wa Kukariri

    Kauli ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche, kuhusu mfumo wa elimu wa Tanzania kuzalisha "mabingwa wa kukariri" badala ya wasomi halisi ni ukweli usiyo namashaka. Vijana machawa walijikusanya na kutoa majibu kwa kauli hiyo, wakidai kuwa amekosea na kuidhalilisha Elimu ya Tanganyika. Na...
  17. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Lissu Anaingia Kwa Moto – This Time CCM You Ain’t Ready for This Smoke!

    Hii game ya 2025 siyo ya kitoto tena. Lissu siyo tu mgombea, ni revolution on two legs. Jamaa amepitia risasi 16 na bado yuko kwenye ground anapigania haki – y’all can’t kill that kind of spirit! Kumkamata Lissu sio weakness, ni kumpa nguvu ya tsunami. Mnamsukuma moja kwa moja kwenye moyo wa...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ni wazi sasa CCM mnajulikana kama wanavyo julikana nchi zilizoshindwa nchi kidemokrasia

    Ccm wanazani kuwa habari zao zipo ndani hapa TZ. Nchi nyingi zishajua kuwa hapa TZ hakuna la maana. Washatujua kuwa CCM ni genge la wahuni na wajinga. Tukicheka congo,sudani na kwengine basi na sisi tunachekwa kwa mengi
  19. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Majibu ya CHATGPT : Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaipendelea CCM na kukihujumu CHADEMA?

    Swali lako linaelekea kwenye mada nyeti ya kisiasa nchini Tanzania, na linahitaji kutazamwa kwa umakini, kwa kuzingatia ukweli, muktadha wa kihistoria, na mitazamo tofauti. Kwa nini watu wengine wanasema Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaipendelea CCM na kukihujumu CHADEMA? Hapa kuna sababu...
  20. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Watakaopitishwa na CCM ndio watakua Wabunge, Kura ya Mwananchi kiini macho!

    1. Ndugu Mgombea, pambana (kwa fedha na kijadi-UCHAWI) upitishwe kwenye Chama. 2. Mengine ni kukamilisha ratiba tu. 3. Kura za Wazalendo aka Wanyonge ni kiini macho tu. Asanteni.
Back
Top Bottom