Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Sio kawaida yake Mzee Tyson kukaa kimya nyakati ngumu kama hizi, asingekubali Vijana akina Mnyika, Lema na Heche wasumbue Kiasi hiki, angejitokeza na kujibu mapigo.
Je nini kimemsibu? Yupo kweli? Au "yupo"?? Jitokeze Mzeee uokoe jahazi Hali ni mbaya Sana
Huyu bidada mwanaccm akilalamika uwepo wa Mashoga ndani ya Chama. Kuwa wamezidi kipimo kwa sasa ni wengi. Na haumi umi maneno. Anaongea kwa kujiamini kabisa suala hili ambalo kwa ccm ni la kawaida sana.
Pia soma > Waitara ataka Wabunge wapimwe Ushoga kabla ya kuingia Bungeni
Siku hizi kuna press conference karibia kila siku za mikoa mbalimbali za viongozi wa CHADEMA mikoani kukikimbia chama cha CHADEMA...
Jamani hata kama chama hakipendwi mbona huu utaratibu umenyooka sana na uko so systimastically!? Yaani unaona kabisa ni script za kuandaliwa😂😂😂
Halafu sasa...
Mambo yanayondelea CHADEMA inawezekana yakaonekana mageni machoni mwa watu wengi
CHADEMA ina vita mbili, vita ya kwanza kati ya CDM ya sasa na iliyopita
CDM ya sasa imeshindwa kuvaana na iliyopita nadhani sababu kubwa ni maslahi ya Chama na Nchi
Vita hii ingeweza kuisha kwa njia tatu, ya...
Nimeangalia Katuni ya Masud Kipanya na nikastuka ni kwa nini anawatoa usingizini CCM. Ina maana Kipanya hajui kuwa Kuna msemo wa kiswahili usemao "aliyelala usimuamshe..."?
Kwa kweli Kipanya katukosea wanachadema kwa kuchora katuni ambayo itawafanya CCM wabadili njia zao za kupambana na...
Wakuu,
Hawa watu bana mi niliona toka mwanzoni walikuwa project tu ya mtu kuwatoa raia kwenye reli wajadili mambo mengine na kuacha jambo pressing lililokuwa mbele yetu.
Mei 13, 2025 viongozi na baadhi ya wanachama wa NETO walifanya press, wanakushukuru 4R za Samia na Simbachewene kuwapokea...
Ombi langu kwenu, Huu mwaka msiuache , msiuache ukapita Huu mwaka, CCM imebanwa na Mlango, inapumlia Mashine .
Hizo nafasi 35 za kupewa, hazilingani na Nafasi ambazo mngepata baada ya Tume huru.
Ukweli ni kwamba ni Asilimia 2 tu ya wabunge wa CCM ambao wakigombea katika Tume huru Mpya...
Katika mahojiano maalum aliyoyafanya leo, Alhamisi Mei 15, 2025 kupitia kipindi cha Furaha Morning, Kilewo alifichua kwa uchungu kuwa baadhi ya viongozi wa CHADEMA kwa sasa wanatumiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhujumu harakati za mageuzi nchini.
"Huenda wakawa wanatumika kwa kujua au...
Mgambo wakiamrishwa nyuma geuka, yule aliyekuwa wa kwanza, huwa wa mwisho, na yule aliyekuwa wa mwisho huwa wa kwanza
Kipindi cha awamu iliyopita, tuliungana wote kumpinga Magufuli hasa kwenye suala la kupotea kwa watu na kuonekana kwenye viloba, leo wana ccm mnataka kusema hamlioni hili?
Ni...
Watanzania ni wajuzi wa mambo ila sio wenye kuchukua maamuzi kwa haraka
Watanzania ni wanyonge mno sera Yao ni mwenye nguvu mpishe na hii ndiyo sababu ya CCM na serikali kufanya watakavyo na hawajawahi kukwama.
CCM katika kampein yake ya kujibakiza madarakani ikiwezekana hata...
Embu Watanzania tafakarin Hawa watu wanafanya Utekaji, wanaua, wanawapa watu ulemavu na kuwapoteza watu hata wasionekane. Kwann? Kwa sababú wanajua endapo wataruhusu Mabadiliko Kwa njia za Kidiplomasia, mbeleni watafikishwa kwenye Sheria, wapo watakaofungwa, Maisha, wapo watakaohukumiwa Kifo...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Kichama, Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo tarehe 11 Mei, 2025 amewasilisha ripoti ya Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Mbunge kwa kipindi cha miaka mitano (2021 - 2025) katikap ukumbi wa Uwanja wa Ndege SACCOS uliopo Wilaya ya Magharibi B.
Mhe...
Si kwasababu ya NO REFORMS NO ELECTION.. Bali ni madhila, uonevu wa wazi, dhuluma na mateso ya kila aina wanayopata CHADEMA kupitia vyombo vya ulinzi kwa baraka za CCM
CCM nao wameanza kuumizwa na hii hali kwakuwa sasa Watanganyika wamekuwa na mwamko mkubwa wa kuona uhalisia na kuamua kuiunga...
Wana CCM tumekaa kimya wengi wetu si kuwa tumeridhishwa na mchakato wa kumpata mgombea la hasha ni kuwa hatuna la kufanya waswahili wanasema mwenye nguvu mpishe.
Nimeona umechukua hatua kwa viongozi wa Chadema na kutangaza kutotambua wajumbe wa secretariat. Nakusihi na huku kwetu CCM umulike...
Listen up my people, Watanzania wenzangu! It’s high time tujikumbushe kuwa hii nchi ni yetu sote, not just for a chosen greedy few. Tumekuwa tukichezewa kwa miaka kibao, na bado tunaambiwa tukubali, tuvumilie, tusubiri maendeleo – hell no! Enough is enough!
Tupo kwenye nchi yenye ardhi ya...
Ukubali ukatae kila mtu uwe mfia chama usiwe mfia chama CCM itakufikia kwa matendo yake maovu
Rejea; kipindi cha Magufuli hadi Riziwani alitaka kukipata cha moto.
Wakati huo Ndugai alikuwa hagusiki saizi Ndugai hata kukohoa hawezi.
Nawakumbusha tu CCM Hana rafiki wa kudumu ushishangae hata huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.