ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yani bado kwa Karne hii Mbunge Babu Tale Anagwa Vitenge Vya CCM Jimboni Kwake, Hii ni kukosa Sera za Kushawishi Wananchi

    Wananchi Wahoji Kama Karne hii Bado Watu Wanaongwa Vitenge Na Khanga Tazama video hii wananchi wakipewe Vitenge huko jimboni na babu TALE
  2. JamiiForums Tanzania CCM Mnajilinda bila ulinzi

    Wakuu, Nimetafakari sana nguvu kubwa na ya makusudi inayotumika kuidhoofisha kabisa Chadema tena wahusika hawana tena hata soni waziwazi. Haya yote lengo kuu ni kukilinda chama tawala, lakini huu ulinzi mbona hauna ulinzi? Public awareness kwa yanayoendelea mbona ni sawa na kuzungusha ukuta...
  3. JamiiForums Tanzania Technically, Askofu Gwajima kashaondolewa CCM

    Askofu Mkuu sahau kuteuliwa na Chama kugombea KAWE. Umeuponza
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kiukweli CCM tusikubali kuwa gwajimanized, lakini je tuendelee ku-Mdudenize,ku-Kitimanize au ku-Kibaonize?

    Sijui hizo suffixes "nized" ziko sawa gramatically au la!! Mliosoma HGL na "L" zingine mtanisahihisha kama nitakuwa nimechemka. Naungana na wanaCCM wanaolaani press ya Gwajima. Lakini pia natofautiana nao kwenye mantiki ya hoja zake. Kimsingi sina uhakika kama Askofu Gwajima hajawahi kusoma...
  5. JamiiForums Tanzania Ujasiri wa Rais Samia unaashiria uhakika wa ushindi wa kishindo kwa CCM uchaguzi mkuu na amani ya kudumu Tanzania na kwenye mipaka yake

    Kujiamini kwa Samia Suluhu Hassan, ni uthibitisho wa uhakika kwa amani, umoja na usalama wa Taifa letu, Lakini pia ni ishara ya wazi kwamba CCM inakwenda kupata ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria October mwaka huu2025. Dr.Samia Suluhu Hassan, amesimama vizuri sana kwenye...
  6. JamiiForums Tanzania Njia ya ZANU-PF ya Zimbabwe ndio iliyopo kazini Tanzagiza kukiwa hakuna upinzani hata wa kuikaribia MDC, mbele ni giza tupu.

    Mwaka 2008 Zimbabwe ilifanya uchaguzi mkuu, chama cha upinzani cha MDC cha Morgan Tsavangirai kikashinda urais na viti vingi vya ubunge, kilichotokea tume ya taifa haikutangaza matokeo kwa miezi miwili baada ya uchaguzi. Hatimaye matokeo yalipotangazwa tume ikamtangaza Morgan Tsavangirai...
  7. JamiiForums Tanzania Idadi ya CCM vs Idadi ya chadema.

    😀😀 Ila CCM bana Yaani mmeandikisha hadi watoto wa shule mmefika milioni 13 Sasa na Chadema kupitia uandikishaji wao wamefika mil 18 na mnaona umati wakati CCM wanasomba hadi wavuta bangi 🤣 Hii imekwisha! CCM kama mna wanachama milioni 3 serious mmejitahidi
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Responded Wananchi wa Vijiji viwili Jimbo la Namtumbo warudisha t-shirt na fedha za Mbunge wao Vita Kawawa!

    Nimeona hii clip, wenyeji wa huko tuambieni kama ishu ina ukweli hii? ====================================== Wakizungumza na Wawakilishi wa Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Vita Rashid Kawawa, Wananchi wa Kijiji cha Mlalamiwa na Matepwende wamedai hawawezi kupokea zawadi za Mbunge wao wakati...
  9. JamiiForums Tanzania Dk ya 88 Ask. Gwajima 3 CCM 0. CCM wanapoteza muda tu Uwanjani

    Wanaupiga mwingi nje ya Uwanja Kapteni wao haeleweki anacheza nini kila pass anayopewa anabutua uelekeo wowote ule. Hakuna aliyejibu hoja ya Gwajima. Maswali ya Gwajima yamekuwa Magumu sana kujibiwa. Wanapuyanga tu kama kuku alokatwa kichwa akaachiliwa akimbie.. Wanamshambulia Gwajima badala...
  10. JamiiForums Tanzania Ilani ya CCM 2025-2030: Imesahau Changamoto za Miundombinu ya Barabara zilizotajwa kwenye ilani ya CCM 2020-2025.

    Nimeisoma ilani ya CCM ya mwaka 2025-2030 na kuna mambo mengi yanayoleta maswali, hasa kuhusu hali ya miundombinu nchini. Kwa mfano, mradi wa ujenzi wa barabara ya lami kutoka Sanya Juu, wilaya ya Siha hadi Longido, umbali wa kilometa 65, haonekani kwenye ilani hii mpya. Hili ni jambo la...
  11. JamiiForums Tanzania Tusigwajimaise? Au tusihoji?

    Hivi karibuni, Askofu Josephat Gwajima, Mbunge wa CCM, alisema kile ambacho wengi wamekuwa wakiongea chini kwa chini: “Vipi kama mtoto wa Rais ndiye angetekwa? Tungesema nini?” Alizungumzia utekaji, mauaji, na hali ya sintofahamu nchini kwa lugha ya hoja, si matusi. Alitoa mapendekezo na...
  12. JamiiForums Tanzania CCM kuna utoto mwingi sana

    Gwajima na mapungufu yake mengi tuu lakini this time around kaongea kitu kikubwa sana kilichogusa mamilioni ya watanganyika kwenye swala zima la utekaji Wengi tulitegemea ndani ya chama chake apate support kubwa ama ajibiwe kwa hoja .. Kinyume chake kuanzia uduvi, dagaa, kambale na sharubu...
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu msaada wa Softcopy ya Manifesto ya Ccm 2025-2030

    Wakuu Msaada wa Manifesto ya Chama ya CCM 2025-2030 msaada wa softcopy
  14. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM inajidanganya na inatudanganya na sisi

    Tar. 15/7/2024 chama Cha kikomonisti Cha China kilifanya mkutano wake mkuu pale Bejing Agenda kubwa ilikuwa kujadiliana kupungua Kasi ya kupanda kwa uchumi na kuzorota kwa sekta ya ujenzi kutokana na madeni Hali iliyofifisha ujenzi haswa wa MAJENGO makubwa China hawakutani kuzindua...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 January Makamba alivyowasili kwenye Mkutano Maalum wa CCM

    Mbunge wa Bumbuli na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwasabahi Wajumbe wa Mkutano wa CCM uliofanyika Jijini Dodoma ambapo yeye pia amehudhuria Mkutano huo Maalumu.
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Dodoma: Baadhi ya wabunge wanachukulia poa mamlaka ya Rais

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba amesema wapo baadhi ya wabunge wamezidiwa na vyeo vyao na kuchukulia poa’ mamlaka ya Rais, hivyo amebainisha kuwa jumuiya hiyo haitokubali kuona wabunge hao wakitweza madaraka ya Rais...
  17. JamiiForums Tanzania Siku nikijiunga CCM na Rais akaniona. Sikosi cheo. Ninazo sifa anazozipenda

    Tofauti na hawa choka mbaya Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable hawa ni waporipori hawana mvuto. Nawaambia mimi nina mvuto. Siku nikiamua tu kujiunga na CCM napata Ukuu wa Mkoa, Wilaya au Ubunge nije kuwa Waziri. Wajihi wangu unaunganishwa zaidi na kifua kipana. Nlimsikia Rais akimsifia...
  18. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa ilani ya CCM ya 2025-2030 naiona kampeni ya Nitashiriki uchaguzi kuleta mabadiliko na no reforms no election itakufa kifo cha ajabu

    Acha nianze kwa kutoa angalizo kwanza, Mimi sio mtabairi wala nabii lakini nina kipaji cha kuona na kutazama mbali sana. Ilani ya CCM ya 2025-2030 ni ya mabadiliko ya kweli na inayokidhi matarajio ya wapiga kura na ikiwa imeangazia masuala yote mtambuka ya kizazi hiki na kijacho. Ni suala la...
  19. JamiiForums Tanzania Kiburi na Jeuri ya CCM ni Tume ya Uchaguzi Kuwa Upande wao la sivyo wangekuwa na Adabu kwa watanzania

    GT Ukifuatilia kwa ukaribu utaona CCM kwa sasa wana lugha kandamizi na za kibabe sana ambazo ndani yake zimejaa jeuri na fitina. Pamoja na.mambo ya hovyo ya CCM kama ubadhilifu, bado kinaona kina uhalali wakufanya yote hayo mambo ya hovyo. Amini nawaambia kama tungekuwa na tume huru ya...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ni sababu nzito za kwanini Askofu Gwajima anatakiwa kufukuzwa na kufutwa uanachama wa CCM haraka sana

    Ndugu zangu Watanzania, Kitendo alichokifanya Askofu Gwajima ni kitendo ambacho kilimuumiza ,kumkwaza,kumsononesha na kumchukiza kila mwana CCM. Ni kitendo ambacho kiliacha na kimeacha hasira ,chuki na maumivu makubwa sana katika vifua vya wana CCM wote ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. Wana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…