Kwa ufupi kabisa, mpaka sasa Taifa la Tanzania limeshapoteana.
Sababu kubwa ni CCM kushindwa kuelewa kuwa Generation has changed, na hata modality ya kuongoza nchi na kuchanganua mambo inapaswa kubadilika.
Modality ya kutisha tisha raia, kuteka watu ilianzishwa na Nyerere na inatumika hadi...