Habari za jioni wanajukwaa au JF Member wote.
Naomba niende kwenye lengo la uzi huu moja kwa moja.
Wakuu mimi ni mjasiriamali mdogo ambae pamoja na wenzangu wawili tulifanikiwa kufungua kampuni yetu ya ujenzi. Toka tumefungua kampuni ina miaka minne sasa, na mpaka sasa tumefanikiwa kufanya na...