Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
Watanzania tumeshazoea siasa kwenye mambo yetu kwahiyo hata inapokuja mambo ya msingi tunataka weka siasa.
Huu uwanja wa taifa ni kweli hauna sifa kutumika kwenye mechi kubwa kwa hali uliyonayo.
Kwenye hii mechi ya Simba na Masry ukweli kila mmoja anajionea.
Uhalisia wa pitch ni tofauti...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amelipa thamani goli la Mama analolitoa kwa timu za Tanzania zinazoshiriki michuano ya CAF ambapo kwa sasa Nchi yetu inawakilishwa na Simba Sc pekee kwenye Kombe la Shirikisho Afrika.
Akithibitisha ongezeko la thamani hiyo...
Leo michezo ya robo fainali kwa Caf Champions League inaanza.
Robo fainali ya kwanza imeshaanza
Mamelodi Sundowns Vs Esperence katika dimba la Loftus Versfeld
Karibu twende live🔴
================================================
15’ Mamelodi 0-0 Esperence
17’ Mchezo umesimama kupisha kipa wa...
Soka la bongo limepambaniwa miaka na miaka na hapa ligi yetu ilipofika kweli ni pakubwa kwakua ligi yetu ni ya tano kwa ubora Afrika na huu ni kweli kuwa kazi na uwekezaji mkubwa umefanyika. Hili lilotokea kwenye derby ya Simba na Yanga ni kosa kubwa na linaweza kutugharimu pakubwa.
Kuingiza...
Mimi binafsi ninavyoona ,kwa hizi hasara ambazo zimejitokeza katika ripoti ya CAG ni wazi kuwa , pengine ni ile sheria ya kamba inafanya kazi tuiite the rope's law kwamba kila mmoja anakula pale kamba yake ilipofikia kwa sababu walaji wanaamini in the next government (Mungu ajaalie)...
Rais wa chama cha soka hapa Tanzania (TFF), Wallace Karia siku za karibuni amesikika akitoa matamshi yenye utata kwa kusema kwa kipindi kirefu akiwa Rais wa TFF, yeye na TFF kwa ujumla wake kwa makusudi wamekuwa wakiibeba sana Yanga kwenye ligi kuu ya Tanzania na kwa sasa wamechoka kuendelea na...
Msigwa asifikiri kwamba CAF ni machawa wa mama wale ni professional
Kwanza atoe maelezo billion 30 zimetumikaje kwa sababu kwa macho ya kibinadamu hakuna chochote kilichofanyika ni kama uwanja umepigwa tu rangi
Nahukika katika vitu ambavyo CAF wanajuta ni kuwapa Tanzania Afcon hakuna...
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa ametoa Ufafanuzi Taarifa ya CAF Kuufungia Uwanja wa Mkapa, Kuhusu Derby Asema Waulizeni TFF ambapo amesema ukaguzi ulipokuwa ukifanyika nyasi zilikuwa zimekatwa mpaka chini hivyo kupelekea kuchimbika baada ya mechi ya Simba SC dhidi ya Azam FC.
Hata hivyo...
Inasemekana Shirikisho la Soka Afrika CAF limeufungia uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kutokana na ubovu wa eneo la kuchezea (pitch). Ripoti inaonyesha pitch mbovu na inazidi kuzorota. Wameitaka TFF kuchagua kiwanja kingine kwajili ya Robo fainali ya Shirikisho ya Simba hapo tarehe 9 April
Huu...
Hii ni aibu kwa Ligi yetu, si bure baadhi ya vilabu vinabebwa Ligi kuu ila kule CAF miaka nenda rudi timu inaishia Robo fainali haijawahi kuvuka hatua hiyo, Ni kama laana, Timu inakosa hata medali moja ya CAF ila ukija katika ngazi ya Ligi inaonekana timu bora kumbe kuna bahasha na makosa ya...
Hapo vip!!
Sina mengi ila kabla hizi takxtaka zingine hazijafika mbali..wajue Simba ndio timu ya kwanza Tanzania,Afrika mashariki na kati kucheza final za kombe la shirikisho mwaka 1993.
Sasa ipo hivi kipindi hicho kombe la shirikisho lilikuwa na majina tafouti tofauti kulingana na udhamini...
Shirikisho la soka Afrika (CAF) linapanga kufanya marekebisho makubwa ya mashindano yake hasa Ligi ya Mabingwa Afrika na kombe la Shirikisho la CAF.
Shirikisho la soka barani humo limekuwa likichunguza njia za kuweka upya kandanda ya Afrika, hasa kwa Ligi ya Soka ya Afrika, ambayo imefanyika...
Hii airisha-airisha imekuwa too much..Na ni aibu pia kwa shirikisho.
Ili kurejesha msisimko wa Afcon,
CAF kwanini wasipanue vipindi vya miaka 3 kati ya tournament moja kwenda nyingine ili nchi inayo-host ipate muda wa kutosha kuandaa miundombinu.
Inaitwa AFCON 2025-Morocco...halafu mashindano...
First Tanzanian team to play in CAF competitions:
Young Africans S.C. (Yanga) was the first Tanzanian club to participate in CAF competitions, making their debut in the African Cup of Champions Clubs in 1969, where they reached the quarter-finals.
First to reach the African Cup of Champions...
Mashabiki wa Simba wamepaza Sauti na kuhoji kama michango iliyoitishwa na Meneja Habari wa klabu hiyo kama ililipwa kama lilivyokuwa kusudio
Kimsingi kama timu inashiriki mashindano ya CAF, timu hiyo ikitozea faini pesa hiyo Huwa inakatwa kwenye pesa ambayo wangelipwa, wala haina haja ya timu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.