caf

Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Barua inayodaiwa kuwa ya Rais wa CAF kwenda kwa Simba ni FEKI ipuuzwe

    Epuka matapeli, barua hii ni feki. Fainali itapigwa Zanzibar
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CAF wakaza, Fainali ya pili kupigwa New Amaan Complex, Zanzibar Saa 10 Jioni

    Mchezo wa fainali ya pili ya Kombe la shirikisho barani Afrika (CAFCC) utapigwa uwanja wa New Amaan Complex, Visiwani Zanzibar, saa kumi jioni. CAF wameshaanza kufanya branding ya uwanja wa mchezo wa fainali ya pili ya CAFCC.
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CAF yaamuru mechi ya fainali Simba Vs Berkane ichezwe New Amaan, Zanzibar Mei 25, 2025

    Wakuu! CAF kupitia barua yao imewaambia TFF na Simba SC kuwa mchezo wa fainali ya pili ya CAFCC kati ya Simba dhidi ya Berkane ipigwe New Amaan Complex visiwani Zanzibar. Pia, Soma: Mwana FA: Fainali ya Simba dhidi ya RS Berkane itachezwa Benjamin Mkapa CAF imesema uamuzi huo ni baada ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania CAF, Mungu anawaona, mpaka sasa Simba hatujui ni uwanja upi tukatoe kafara zetu yaani!

    Wataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa? Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja upi utatumika ili kazi ifanyike Mwaka huu huwenda ni mbaya sana kwetu kama timu, maana kwa, macho ya...
  5. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Al masry hawakufungwa kisa kukosa ubora bali ubovu wa pitch, CAF ichukue hatua zaidi

    Nitashangaa sana kama kuna mtu anayesifia kwamba sijui "Mkapa imekuwa tishio" timu za Afrika zinaogopa kuja! For what? What non sense is this? Viachwe kuogopwa viwanja vya waarabu na viwanja mashuhuri kama Mohammed V,Stade du 5 Juillet, Cairo au Loftus versfield huko south kije kiogopwe kiwanja...
  6. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nalazimika kutaja mapema yale makosa niliyosema ambayo yanaweza kuinyima Simba ubingwa wa CAF Shirikisho

    Juzi hapa nilisema kuna makosa mawili ya nje ya uwanja ambayo yanaenda kuinyima Simba ubingwa wa CAFCC ila nikasita kuyataja. Kuna watu walinihusia sana niyataje makosa hayo ili yafanyiwe kazi. Baada ya mechi ya jana nimesukumwa niyataje mapema na nione kweli dhamira ya kusikiliza maoni ya watu...
  7. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania CAF inakuwaje fainali ikawa mara 2?

    Final(Mwisho) au tamati hivi kwa Afrika neno Hili limegeuzwa nyuma mbele mbele nyuma Why?kila kitu kwetu ni tatizo? Leo Mada ingelikuwa Moja tu,ila kwa upuuzi wa CAF tunasubirishwa untill next week. Shame on you
  8. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Hapa CAF wameikosea heshima Simba

    Hii For the first time ever Hii Ina maana hawatambui Ile fainali yetu ya Abiola kapu 93?
  9. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Kelele za Visit Zanzibar zilizidi. CAF wameitikia na sasa wameamua kuwa "Vizitisha" kwa lazima

    Mechi ikachezwe huko. Naunga mkono hoja. Visit zanzibar visit zanzibar. CAF WASHIKILIE HAPOHAPO LICHA YAJUHUDI KADHA WA KADHA KUTAKA KUHUJUMU MECHI ISICHEZWE HUKO. Sisi ni Nchi moja hakuna haja ya kuogopa viwanja.
  10. K

    JamiiForums Tanzania CAF yafunguka sababu za kuipeleka Simba Zanzibar

    SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeeleza sababu za kuupeleka mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane ya Morocco, kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, mjini Zanzibar. Wakati vigogo hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara wakiwa tayari wameanza kujipanga...
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kisa Simba tovuti ya CAF jana ilitembelewa na watu bilioni 1.3

    Haijawahi kutokea katika historia ya mpira wa Africa tovuti kutembelewa na watu wengi kwa wakati mmoja kama jana Baada ya CAF kutoa tamko la kubadili uwanja ,tovuti yao ilitembelewa na waru zaidi ya bilioni 1.3 Kweli Simba ni brand kubwa
  12. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Mo dewji kaamua kuwasiliana moja kwa moja na raisi wa CAF, motsepe kuhusu mechi ya fainali kuchezwa zenji

    President of Tanzanian giants Simba SC Mr Mo Dewji has sent a direct message to CAF President Dr Patrice Motsepe. Mr Mo felt so much disappointed in the decision to send the 2024/25 CAF Confederation Cup final to Zanzibar. He asked CAF President to intervene in this and ensure that the game is...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CAF imerudisha fainali kwa Mkapa

    Simba imefanikiwa kuzima njama za kuhamishia Amani mchezo wa fainali badala ya Kwa Mkapa. CAF imerudisha mechi hiyo Kwa Mkapa. Sasa fainali itapigwa 25 -5- 2025 kwa Mkapa. Clecentius Magoli apewe Maua yake Kwa kujibu kwa nguvu njama hizo na hatimae uongozi wa CAF kuogopa na kuurudisha mchezo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Rasmi CAF yatoa maelekezo kwa broadcasting wote kuhusu mabadiliko ya Uwanja

  15. R

    JamiiForums Tanzania Kwa Mkapa kulifungwa kwa matengenezo ya Bilioni 30, CAF imehamisha fainali Zanzibar. Tulipohoji tulionekana wachochezi, acha tujifunze kwa uchungu

    serikali ilidhani wakosoaji tunawapigia kelele, sasa kelele zinatoka CAF! Club ya Berkene imejulishwa na CAF uwanja utakuwa Zanzibar. Simba hawajui kinachoendelea, kwenye page yao wameandika taarifa kamili ni baada ya mechi ya ugenini. Uwanja wa Zanzibar huwa ni mgumu sana kwa mechi za Simba...
  16. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Astrology/Unajimu kuelekea Fainali ya Shirikisho Caf, Berkane atashinda mechi ya kwanza ila ya Pili kama ikichezwa saa kumi Simba ita Draw

    Habarini, viongozi wa Simba chukueni huu ushauri msiupuuzie Mechi ya jumamosi Tarehe 17 Berkane atashinda, ila mechi ya pili iliyokuwa imepangwa kuchezwa Dar es salaam majira ya saa kumi ilikuwa lazima Simba ita Draw hata pia ikichezwa Zanzibar kwa majira hayo hayo ya saa kumi pia Simba ita...
  17. D

    JamiiForums Tanzania TFF ongeeni na bodi ya uwanja Zanzibar mtoe taarifa kwamba uwanja wa amani upo kwenye marekebisho mtume CAF

    Fanyeni namna uwanja wa amani complex uwe kwenye marekebisho. Ili uwanja wa benjamini mkapa upate nguvu ya kupewa kipaumbele katika michezo ya CAF Ukiachana na mapato ya uwanja lakini michuano ya kimataifa inaitangaza Tanzana. Lakini pia mafisadi mujifunze kuwa ujanja ujanja na upigaji katika...
  18. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba ikikosa ubingwa wa CAF Shirikisho ni kwa sababu mbili kuu

    Mimi ni mmoja wa watu wachache sana ambao tuliitabiria makubwa Simba kabla hata msimu huu haujaanza. Kwa maana hiyo mimi ni mmoja wa watu wachache ambao tuna kibali cha kuona na kutafsiri kwa usahihi sehemu ambapo klabu au timu imeteleza. Wakati timu ikijiandaa kwenda Morocco kwa ajili ya mechi...
  19. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Exclusive video ya Simba Robo Fainali ya CAF Cup 1993

    Zinaendelea kuibuka video nyingi zaidi za kumbukumbu ya mafanikio ya Simba katika historia ya mpira Tanzania. Leo nawaletea video ya robo fainali ya CAF Cup 1993 kati ya USM El Harrachi dhidi ya Simba iliyochezwa kule Algeria. Simba ilivuka kigingi hiki na kwenda hadi fainali na kuwa klabu ya...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Serikali yaipa Ndege Simba kuipeleka Morocco kwa Fainali ya CAF

    Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Palamagamba Kabudi akiwa Bungeni Jijini Dodoma leo May 08,2025 kwa niaba ya Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi kwamba Serikali itawapa Simba SC ndege kuelekea Morocco kwenye mchezo wa fainali. “Baada ya...
Back
Top Bottom