Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
Maamuzi ya CAF yametokana na mashabiki kuvunja utaratibu kwenye mechi ya CAF CC dhidi ya Al Masry.
Mechi dhidi ya Gaborone Utd ya Sept. 28 haitakuwa na mashabiki
Hili swali huwa najiuliza sana toka nilivyosikia azam wamemlipa fei toto bilioni. Na mshahara wa milioni 50 sijui milioni 40 kwa mwezi ?
Kwa kumtazama toka nimemjua Fei toto , kwenye mechi ngumu za kimataifa.. huwa hana maajabu na anakuwa mzigo uwanjani.
Fei toto wa kimataifa Yupo vile vile...
Hovyo kabisa Kocha Hemed Suleiman Morocco yaani unaona kabisa Sopu na Nado wameshachoka na wanarukaruka tu Uwanjani unawaacha hadi dakika ya mwisho. Fei Toto alikuwa akifanya nini zaidi ya Kurukaruka tu huku akimpa wakati mgumu Kagoma kuweza Kulitawala vyema Dimba lake Kati.
Hata huyu Fei Toto...
Habari wadau.
Mashindano ya chan yanaendelea. Ila uhalisia yanachosha wachezaji wazuri na tegemezi wa club zetu.
Mamelodi sundowns, orlando pirates, kaizer chiefs zimegoma kuleta majembe yao ya first eleven kuwemo kwenye kikosi cha south africa. mfano majembe yote ya mamelodi tunayoyajua...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limepiga marufuku uuzaji wa tiketi kwa mechi ijayo ya CHAN 2024 kati ya Kenya na Zambia kwenye Uwanja wa Kasarani kufuatia machafuko na madai ya utapeli.
Haya yanajiri muda mfupi tu baada ya CAF kulitoza Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) faini ya Ksh...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetoa muongozo kwa mashabiki kufanya maombi ili kuruhusiwa kuingia uwanjani na mabango na bendera.
Maombi yanatakiwa kutumwa CAF kupitia barua pepe:
📧 security@cafonline.com
siku moja kabla ya mechi.
Muombaji anatakiwa kuambatanisha picha ya rangi ya...
Katika viwango vipya vya Shirikisho la mpira Afrika CAF 2025, simba sc imeibuka kinara wa afrika mashariki na kati huku ikishika nafasi ya 5 barani afrika, wakati yanga sc ikishika nafasi ya 12 kwenye orodha hiyo ya vilabu bora.
Bodi ya Nidhamu ya CAF imefungulia mashitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuvunja masharti ya Usalama na Ulinzi kama yalivyoainishwa katika Kanuni za Nidhamu za CAF, Ibara ya 82 na 83, pamoja na Ibara ya 24 na 28 za Kanuni za Usalama na Ulinzi za CAF.
Mashitaka hayo...
Michuano Gani ambayo Haina shamrashamra, michuano inafanyika kwenye nchi ambayo watu hawana muda, marketing iliyofanyika ni ya kiwango Cha chini sana, Yan mtu anaetoka ulaya akija hawez kujua kabisa kwamba Kuna michuano ya mpira wa miguu inafanyika nchini,
Naona kabisa bilionea Motsepe ataifuta...
🔴 CHAN 2024: Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji kwa mara ya kwanza.
Mashindano ya Kombe la Mataifa Bingwa Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) kwa mwaka 2024 yanatarajiwa kuanza rasmi Jumamosi hii, Agosti 2, 2025, yakifanyika kwa mara ya kwanza kwa ushirikiano wa nchi tatu...
Ni Kweli Ligi NBC ni Mabingwa..
Ni Kweli FA ya CRDB ni Bingwa...
Pale CAF zile ranking zinaeleweka ?
Tujionee wenyewe, Mnyama Yuko juu Hata ya Pyramids....! Mnazielewa hizo ranking.?
1. Al Ahly
2. Mamelod Sundown
3. Esperance de Tunis
4. Rs Berkane
5. Simba
6. Pyramids
7. Zamalek
8. Wydad...
TotalEnergies CAF CHAN 2024: Tanzania Kuhost Mechi ya Ufunguzi, Uganda Kuhost Mechi ya Mshindi wa Tatu/Nne, Kenya Kuhost Mechi ya Fainali
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), kwa ushirikiano na mataifa matatu yatakayohosti Mashindano ya TotalEnergies CAF African Nations Championship (CHAN)...
Mechi ya fainali ya kombe la mataifa ya Afrika itapigwa Nairobi. Lakini tunazijua siasa za Kenya zilivyo na machafuko, maandamano na kuuana. Uchaguzi wa taifa la Kenya ni 2027.Sioni kama hii fainali itapigwa Kenya. Tanzania naiona ikibeba fursa
𝗧𝗥𝗔𝗡𝗦𝗙𝗘𝗥 𝗡𝗘𝗪𝗦:
Simba wako kwenye mazungumzo na kiungo wa Bravos do Maquis ya Angola,Higino Epalanga Kapitango (22).
Kiungo huyo anasifika kwa upigaji pasi mzuri na magoli ya mbali.
Chanzo: Baraka 255
Tunaoujua vyema Mpira wa Kitanzania na hasa Siasa zake za ndani GENTAMYCINE tayari kuna...
Katika kupitia historia ya mpira bongo kuna mtu alinisanua kuhusu timu inaitwa Pan African, kwa maelezo yake anasema ilishawahi kufika robo fainali CAF champions league, katika kupitia mtandaoni kwel naona kuna taarifa za CAF Champions league ila sio za robo fainali...
Semaji la CAF mbona umetelekeza timu yako sio kawaida yako kukaa kimya hivi au ndo umesusa
Semaji la CAF mara ya mwisho tulikubaliana na ulisisitiza simba haitaenda uwanjani kama tarehe 15 itabadilishwa
Unachofanya semaji kwa kukaa kimya sio vizuri tumemis comedy zako
Katika kitu ambacho tunatakiwa kukifanya mwaka huu ni kuishitaki tanzania kuingiza siasa kwenye simba na yanga Ili nchi ifungiwe kwama Kenya ilivyofungiwa sasa twendeni Kwa wingi wetu tukacoment Ili nchi ifungiwe kujihusisha na soka nafikiri itaondoa uzombi wa watanzania sababu picha za mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.