caf

Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
  1. JamiiForums Tanzania Hivi mashabiki wa Yanga hatuwezi kufanya mandamano ili CAF wapate ujumbe kuwa tumeonewa

    Nimewaza sana uhuni uliofanyika South Africa je mashabiki hatuwezi fanya mandamano ili dunia ya soka ikajua uhuni tuliofanyiwa yani kwa idadi ile ya parade ya ubigwa tunavyokuwa wengi sasa hii iwe ya kupinga maamuzi ya refa South na mabango yetu kabisa uliwengu wa soka ujue ili next time uhuni...
  2. JamiiForums Tanzania Siku mbu akitua kwenye korodani zako ndiyo utajua kuna njia bora ya kutatua shida au matatizo bila kutumia vurugu

    Mungu alianza uumbaji wake katika siku ya kwanza. Akaamua kuweka ardhi, lakini hii ardhi akaamua kuitofautisha, kwa nini? Kwa sababu alitaka dunia ipendeze. Akaiwekea miti na kwingine akaamua kupawekea mchanga mwingi na kupaita jangwa. Kwingine akaamua kupawekea tu mchanga wa kawaida, ndipo...
  3. JamiiForums Tanzania Yanga yatuma malalamiko rasmi CAF kuhusu kukataliwa goli lao.

    Leo hii Yanga imetuma malalamiko CAF kuhusu kukataliwa goli lao.
  4. JamiiForums Tanzania Goli la Yanga dhidi ya Mamelodi mzozo ni mkubwa South Africa kuliko Tanzania, CAF inapoteza credibility

    Gumzo linaloendelea hapa South Africa kwenye mitandao ni kwamba Yanga ndio wameshinda mechi lakini Mamelodi ndio walionufaika. Nikiweka ushabiki wangu pembeni Mimi huwa napenda Sana kujifunza Vitu nisivyovijuwa. South Africa wapinzani ni Chiefs na Orlando, lakini ukiwafuatilia vizuri unakuta...
  5. JamiiForums Tanzania MASELE:Yanga inaweza Kukata Rufaa mapema na Kurudishiwa Point Tatu kisha Kuingia Nusu Fainali kulingana na Kifungu cha XVI (3) Cha sheria za CAF

    Klabu ya Yanga inaweza kukata rufaa kwa baraza linalosimamia soka na kuripoti rasmi kesi ya upangaji matokeo chini ya kifungu XVI kifungu kidogo cha 3 kinachosema;XVI. FRAUD -ADMINISTRATIVE ERROR - MATCH FIXING. na Kama itathibitishwa basi Mamelodi inaweza kuondolewa kwenye michuano na Young...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Wasemavyo wadau na club nyingine Afrika na kile Kinachoendelea katika Page ya CAF baada ya Goli la Yanga kukataliwa

    Kumekuwa na lawama na Malalamiko toka kila sehemu Afrika kupinga na kuonesha kukerwa kwa kuonewa kwa Yanga kwa kukataliwa kwa Goli lao. Ukienda kwenye page ya CAF ndio utaona namna wadau toka kila pembe ya Afrika wakilaumu huku wengine hususani baadhi ya vilabu kuonesha hisia zao na kusema...
  7. JamiiForums Tanzania CAF quater final; simba vs al ahly &mamelody sundown vs yanga

    Leo kutakiwa kuna kivumbi cha caf quarter final baini ya simba vs all ahly huku kule kuna mamelody sundown vs yanga Mijadala yote ya game hizi ijadiliwe hapa but poleni kwa atayepoteza na hongera kwa atakaye fuzu
  8. JamiiForums Tanzania FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    2nd Leg Match CAF CHAMPION LEAGUE QUARTER FINAL. Mamelodi Sundowns vs Yanga Sc Time: 9:00Pm Stadium: Loftus Versfeld Stadium More Updates following... Kikosi Cha Yanga Kinachoanza Kazini kwetu kuna Kazi. Kikosi Cha Mamelodi Sundowns Kinachoanza. Mpira unaendelea kwa kasi . Timu...
  9. JamiiForums Tanzania Kanuni za CAF Kuelekea nusu fainali

    Kanuni za CAF Kuelekea nusu fainali ; ◉ Hakuna dakika za nyongeza (Extra time) ikitokea timu zimetoka suluhu ndani ya dakika 90', mikwaju ya penati itaamua timu ipi isonge nusu fainali. ◉ Goli la ugenini litatumika ikitokea timu zimetoka sare. Aliyefunga goli ugenini ataenda nusu fainali.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni timu gani imeonesha udhaifu kwenye hatua ya robo fainali mashindano ya CAF champion league mwaka huu?

    Robo robo FC/jaribu tena FC naona ndiyo imekuwa timu dhaifu kuliko zote zilizopata nafasi ya kuingiza hatua ya robo fainali. Wameshindwa kutumia uwanja wa nyumbani vizuri tena kuanzia mwanzo wa mchezo dk ya 5 TU ikamaliza mchezo. Hii ni dharau kwenye soka letu haiwezekani timu itoke mbali huko...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna team ya kuingia semi final ya caf champions league, acheni hype

    direct to the point, simba na yanga are very small teams in Africa to qualify for the semi - finals. you need 1: experience 2. quality players 3. luck 4. money 5. leadership 6. fans 7.great manager 8. good facilities tunahitaji atleast 10 years ya kucheza quarter finals to reach the finals. 5...
  12. JamiiForums Tanzania Round ya Kwanza Robo Fainali ya CAF Championship

    CAF Championship mwaka huu inaonekana kuwa ngumu sana. Mpaka sasa bado mchezo baina ya ES Tunis na ASEC Mimosas bado unaendelea na bado hawajafungana; nitakuja kuhariri post hii baada ya mchezo huo kuisha. Katika timu sita ambazo zimeshamaliza round ya kwanza ya robo fainali ni timu moja tu...
  13. JamiiForums Tanzania CAF kama mmeweza kutumia Picha ya Mandela kwa upande wa Mamelodi kwanini Msingeweka picha ya Nyerere upande wa Yanga?

    Hii Picha kwanini wasingemweka na nyerere? Najua kuna watu mtaniona kama nimewehuka ila mjue hizi issue ndio hua zinafanya wamchukulie poa Nyerere kabisa. Nyerere kafanya makubwa Mengi kwa Afrika ila hua hatambuliwi hadi hapa unaona kabisa..wameona huyo Askari ndie mkubwa Nchini kuliko...
  14. JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

    Match Day 1st Leg. Robo fainali Yanga vs Mamelodi Muda ni Saa 3 Usiku. Kuwa hapa nami kwa update za kabla na wakati wa mchezo Kikosi cha Yanga Kikosi cha Mamelodi Sundowns Mchezo umeanza 10' Mchezo bado una Kasi ndogo, timu zinasomana 20' Wageni wanamiliki mpira muda mwingi lakini Yanga...
  15. JamiiForums Tanzania Napendekeza Kikosi cha Simba SC dhidi ya Al Ahly FC Ijumaa kiwe hiki, wewe je, chako ni kipi?

    1. Ayub Lakred 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein Tshabalala 4. Che Malone Fondo 5. Henock Inonga 6. Babacar Mtu Chuma 7. Kibu Denis Kiboko ya Djigui Diarra 8. Fabrice GENTAMYCINE Ngoma 9. Saido Ntibanzokinza 10. Clatous Chama 11. Luis Jose Miquissone Haya nawe Shuka na Chako hapa kwani...
  16. JamiiForums Tanzania CAF Champions League: Tupia utabiri wako wa weekend hii

    Simba 1-0 Al Ahly Yanga 1-2 Masandawana TP Mazembe 0-0 Petro de Luanda Esperance 2-0 Asec Twende kazi tupia wa kwako…
  17. JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba vs Al Ahly kuangukia Ijumaa Kuu ya Pasaka ina maana kubwa sana kiroho

    Ijumaa hii ya 29/03, Simba anacheza na Al Ahly ya Misri katika mechi ya kwanza ya robo fainali ya CAFCL. Ijumaa hiyo hiyo ni mwanzo wa maadhimisho ya kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo. Kuna mfanano mkubwa kati ya sikukuu ya Wayahudi inayoitwa Passover na sikukuu ya Wakristo ya Pasaka. Sitaenda...
  18. JamiiForums Tanzania TFF yajitenga na kauli ya Ndumbaro, yatoa hakikisho la usalama kwa timu zitakazokuja kwa ajili ya CAFCL na hakutakuwa na Ubaguzi kama ilivyodaiwa

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema hakuna shabiki atakayedaiwa pasipoti wakati anaingia uwanjani katika mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga na Mamelodi Sundowns. TFF imesisitiza kuwa michezo haisimamiwi na idara ya uhamiaji, hivyo imewatoa hofu wachezaji...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi tuzo ya CAF ya timu bora ya karne waliyopewa Al Ahly ilivyozua mgogoro mkubwa

    Hivi umewahi kujiuliza ni kwa vigezo gani CAF waliitangaza Al Ahly kuwa ni timu bora ya karne ya 20? Wengi mnadhani ni kwa kubeba makombe mengi kuliko timu nyingine yoyote lakini siyo kweli. Karne ya 20 iliisha 31/12/2000. Katika mafanikio ya Al Ahly hadi kufikia tarehe hiyo, katika mashindano...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia kulipa Tsh. Milioni 10 kwa kila Goli la CAF

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro, amesema hatua ya robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Goli la Mama limepanda kiwango kutoka Tsh. Milioni 5 hatua ya makundi hadi milioni 10 katika hatua ya robo fainali. Pia soma: Rais Samia kununua kila goli Tsh. Milioni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…