CAF kweli mmekosa siku Maalum ya Matches za CAF Champions League? Hadi Leo Matches zenu zinagongana na Moja ya Derby kubwa Afrika.

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,866
3,552
Nimeamka zangu Asubuhi hapa,baada ya kupiga Ishara ya Msalaba kumshukuru Mungu kwa kuniamsha salama,

Nashika simu nakuta Reminder ya kua Leo ni Derby ya Kariakoo Moja ya Derby kubwa sana Afrika Mashariki na moja ya Derby mi saiv naita hata Derby inayoongoza even kusini Mwa Jangwa la Sahara kuanzia hamasa na uhasimu Derby zingine zishapoa sana.

Na kwa Mpira wa Saiv wa bongo ulivyokua hii Derby utakuta inafatilia pande nyingi sana za Afrika sio tu Kusin na Mashariki ila pia Kaskazin,Magharibi na Afrika ya kati maana kuna wachezaji wengi sana wa hizi Team wanatokea huko ukiacha hilo pia, hizi Team kwenye hizo pande zote zinatambulika kwa sasa zishaenda zikaweka historia so kwenye moja na mbili zina mashabiki wanazifatilia sana.

Ila kilichokuja kunishangaza sasa ni pale nimeingia kwenye Live Score niangalie na Ligi zingine nijue leo natoka saa ngapi Maskan kwenda Kibanda umiza na narudi saa ngapi kutoka kibanda umiza nakuta kua eti Leo kuna Matches za CAF CHAMPIONS LEAGUE?

Hivi unawaza kama mimi kwelii hapo?

Yani nikuulize Lini ushakuta UEFA ikaangukia siku ambayo kuna Derby ya Manchester United Vs Manchester City?

Nasema kuangukia coz hawa CAF wamekua hawaeleweki ipi siku yao Maalumu hizi weekends tushazizoea ni siku za Ligi ila wao utashangaa game hii inapigwa Jumatano mara game nyingine inapigwa Alhamisi utakuta nyingine inapigwa jumanne.

Yani tumeshindwa mapema na Asia ambayo naona wao wame copy tu kwa UEFA na wao Champions League yao inapigwa Jumanne au Jumatano.

Jiulize Hivi Leo waandishi wakubwa wa michezo Wa Afrika ambao wao wamewekeza huku kwenye mpira hasahasa achana na hao kina ORUMA, Na Mwenzake wale waandishi kwelikwei unahisi hawaijui hii Derby ya leo unahisi wanapenda waikose? Yani unahisi wasiwe sehemu ya Tukio la leo hili kubwa,

Hapohapo jiulize unahisi watapenda pia wasiwepo kule Tunisia na Congo?

CAF Nalo hili limewashinda kabisa kua na siku maalum mngepanga kabisa kua maybe Jumatatu na jumanne ni CAF CHAMPIONS ili kama ni juma4 kuna UEFA Fine ila mnatofautisha tu mda then Jumatano na Alhamis CAF CONFEDERATION CUP. Nyie mnacheza tu Saa mbona kuna siku hua zina angukia Derby zote ulaya ila tofauti ni Masaa tu.

Ila la kuweka Michuano Mikubwa ya ndani ya Bara siku moja na Derby Kubwa Afrika huko ni kupuyanga sana.

#Weekend ishaanza
 
Kwanza, ratiba ya CAFCL na CAFCC zilitoka mapema wakati wa droo ya robo fainali iliyofanyika tar 12 March 2024.

Wakati ambapo kwenye kalenda ya TFF, mechi ya Yanga vs Simba ilikuwa katika hali ya TBA. Yaani To be Announced, au be communicated.

Hivyo, kwa muktadha wa swala lako TFF ndiyo wameingilia ratiba ya CAF.

Lakini pia, hakukuwa na ulazima wowote wa kuhairisha shughuli yao kwa sababu eti ya Derby ya Kariakoo.

CAF hawanufaiki na chochote kwenye michuano ya NBC. Hawana TV rights zozote, na wala haionyeshwi kwa wanachama wake wote.

Acheni kuipa promo isiyostahili.
 
Utopolo qenye akili wawili tu chief.mtu anaandika maneno mengi kumbe hoja zenyewe hewa.sasa hivi mitaani uto wanajifanya eti wanaiheshimu simba kwa lipi hawa au bangi?
😁😁😁😁😁😁

HAKUNA DERBY YA SIMBA NA YANGA TENA.

Ni mechi ya kawaida hii.
 
Sisi tunajua Derby ipo hata kama mkatae Derby ipo maisha yote. Hata Mbinguni nako Derby ya simba na Yanga ipo hadi siku mle 8😁
 
Kwanza, ratiba ya CAFCL na CAFCC zilitoka mapema wakati wa droo ya robo fainali iliyofanyika tar 12 March 2024.

Wakati ambapo kwenye kalenda ya TFF, mechi ya Yanga vs Simba ilikuwa katika hali ya TBA. Yaani To be Announced, au be communicated.

Hivyo, kwa muktadha wa swala lako TFF ndiyo wameingilia ratiba ya CAF.

Lakini pia, hakukuwa na ulazima wowote wa kuhairisha shughuli yao kwa sababu eti ya Derby ya Kariakoo.

CAF hawanufaiki na chochote kwenye michuano ya NBC. Hawana TV rights zozote, na wala haionyeshwi kwa wanachama wake wote.

Acheni kuipa promo isiyostahili.
Mkuu unaweza watetea kwa hili la Leo ila hoja yangu kubwa nikuulize unajua ipi ni siku Rasmi ya Michuano ya CAF?

Au wao hua ni kuvamia tu siku yeyote?
 
Sisi tunajua Derby ipo hata kama mkatae Derby ipo maisha yote. Hata Mbinguni nako Derby ya simba na Yanga ipo hadi siku mle 8😁
Hatuna derby na nyie acheni kujikomba.

😁😁😁😁😁😁
 
Nimeamka zangu Asubuhi hapa,baada ya kupiga Ishara ya Msalaba kumshukuru Mungu kwa kuniamsha salama,

Nashika simu nakuta Reminder ya kua Leo ni Derby ya Kariakoo Moja ya Derby kubwa sana Afrika Mashariki na moja ya Derby mi saiv naita hata Derby inayoongoza even kusini Mwa Jangwa la Sahara kuanzia hamasa na uhasimu Derby zingine zishapoa sana.

Na kwa Mpira wa Saiv wa bongo ulivyokua hii Derby utakuta inafatilia pande nyingi sana za Afrika sio tu Kusin na Mashariki ila pia Kaskazin,Magharibi na Afrika ya kati maana kuna wachezaji wengi sana wa hizi Team wanatokea huko ukiacha hilo pia, hizi Team kwenye hizo pande zote zinatambulika kwa sasa zishaenda zikaweka historia so kwenye moja na mbili zina mashabiki wanazifatilia sana.

Ila kilichokuja kunishangaza sasa ni pale nimeingia kwenye Live Score niangalie na Ligi zingine nijue leo natoka saa ngapi Maskan kwenda Kibanda umiza na narudi saa ngapi kutoka kibanda umiza nakuta kua eti Leo kuna Matches za CAF CHAMPIONS LEAGUE?

Hivi unawaza kama mimi kwelii hapo?

Yani nikuulize Lini ushakuta UEFA ikaangukia siku ambayo kuna Derby ya Manchester United Vs Manchester City?

Nasema kuangukia coz hawa CAF wamekua hawaeleweki ipi siku yao Maalumu hizi weekends tushazizoea ni siku za Ligi ila wao utashangaa game hii inapigwa Jumatano mara game nyingine inapigwa Alhamisi utakuta nyingine inapigwa jumanne.

Yani tumeshindwa mapema na Asia ambayo naona wao wame copy tu kwa UEFA na wao Champions League yao inapigwa Jumanne au Jumatano.

Jiulize Hivi Leo waandishi wakubwa wa michezo Wa Afrika ambao wao wamewekeza huku kwenye mpira hasahasa achana na hao kina ORUMA, Na Mwenzake wale waandishi kwelikwei unahisi hawaijui hii Derby ya leo unahisi wanapenda waikose? Yani unahisi wasiwe sehemu ya Tukio la leo hili kubwa,

Hapohapo jiulize unahisi watapenda pia wasiwepo kule Tunisia na Congo?

CAF Nalo hili limewashinda kabisa kua na siku maalum mngepanga kabisa kua maybe Jumatatu na jumanne ni CAF CHAMPIONS ili kama ni juma4 kuna UEFA Fine ila mnatofautisha tu mda then Jumatano na Alhamis CAF CONFEDERATION CUP. Nyie mnacheza tu Saa mbona kuna siku hua zina angukia Derby zote ulaya ila tofauti ni Masaa tu.

Ila la kuweka Michuano Mikubwa ya ndani ya Bara siku moja na Derby Kubwa Afrika huko ni kupuyanga sana.

#Weekend ishaanza
Rais wa KAFU huyo.
 
Back
Top Bottom