Tuna miradi mikubwa ya kitaifa. Hii ikikamilika itasaidia wananchi wote kijamaa. Miradi kama SGR, bwawa la umeme, kiwanda cha dawa ni miradi ya kimkakati zaidi kuliko kujenga mashule vijijini. Hao wavijini waitwe kwenye harambe wafyatue matofali wajenge madarasa. Labda wachangiwe mabati, sementi...