Kamati ya Bunge ya Maji na Mazingira imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha Shilingi Bilioni 335 ili kutekeleza mradi wa ujenzi wa Bwawa la Kidunda, mkoani Morogoro.
Kamati hiyo ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Jackson Kiswaga (Mb)...
<Ujenzi wafikia asilimia 85,
<Asisitiza kuzingatia muda na ubora wa ujenzi
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji(NIRC), Bw. Raymond Mndolwa, amefanya ziara ya kikazi katika bwawa la kilimo cha Umwagiliaji la Mkomazi lililopo kijiji cha Manga Mtindiro, Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga...
Hili ni wazo langu kama mto Rufiji ulivyojengewa bwawa,hawawezi kuujengea na Mto Wami bwawa ili uweze kuhifadhi maji kipindi chote cha masika kuliko kuacha maji ya mvua yakipotelea baharini?
Nawakilisha,ikiwezekana hata maji ya mto Jangwani nayo yajengewe bwawa
Siku zote nasema.
Bila kuwaondoa CCM madarakani, Tanzania tutakuwa tunacheza biashara ya pata potea kila siku.
Nchini Ethiopia, Serikali yao wamekamilisha ujenzi wa Bwawa la Umeme kubwa zaidi Afrika kwa kutumia fedha za ndani na michango ya Wananchi wao hasa Diaspora.
Hayo yakifanyika, hapa...
Hili ni bomba la maji lililosahaulika kutoka enzi za Zakhiem wakati wa ujenzi wa barabara. Liko maeneo ya Mkolani Nida.
Limekuwa kero maana maji yanatiririka muda wote na kutuama kama bwawa.Inasemekana mamlaka inataarifa na hili lakini haijachukua hatua ya kulifunga bomba hilo labda kwa sababu...
China imeanza maandalizi ya mradi mkubwa wa ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme kwenye ukingo wa mashariki wa jimbo la Tibet, katika mto Yarlung Tsangpo. Bwawa hili linatarajiwa kuwa kubwa zaidi duniani, likigharimu takriban dola za Kimarekani bilioni 170, sawa na takriban TZS trilioni 443.5...
YAMETIMIA, BWAWA LA MWALIMU NYERERE LAKAMILIKA, SASA KUANZA KUZALISHA MEGAWATT 2,115
Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere (JHPP), ambao umegharimu Shilingi Trilioni 6.5, leo umefikia hatua muhimu baada ya mitambo yote tisa kuanza kuzalisha umeme wenye uwezo wa megawati 2,115.
Mradi huu utaleta...
Uchumi wa bongo huwa unashangaza sana, kuna wakati watu walikuwa wanasema bwawa la umeme likikamilika na Waarabu wa DP World wakianza kuendesha bandari itasababisha gharama za uzalishaji na uingizaji mizigo kushuka na kupelekea bidhaa kuwa bei rahisi ila haijawaha hivyo mpaka sasa!
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Mashine ya tisa ya mtambo wa kuzalisha umeme katika Bwawa la Julius Nyerere Machi 22, 2025 imekabidhiwa na kuunganishwa kwenye Grid ya Taifa. Amesisitiza kuwa kutokana na ongezeko hilo la megawati za umeme Bwawa la Kuzalisha...
Hivi lile Bwawa la Nyumba ya Mungu halizalishi tena umeme?
Kama linazalisha kwa nini umeme wake usitumike huko Kaskazini kujazia huo unao pungua?
Naona kama TANESCO wanakuja na miradi mipya miingi kuliko kipindi kile tukiwa na tatizo kubwa la umeme kama vile wana justify matumizi ya hela...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, inayoongozwa na Mwenyekiti Jackson Kiswaga, imeridhishwa na ujenzi wa bwawa la maji katika Kijiji cha Kizengi, Wilaya ya Uyui, mkoani Tabora.
Pia soma Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo yaridhishwa kasi ya Ujenzi wa mwalo wa...
Watu wameng'ang'ania kujadili uhalali wa kuagiza umeme nje ya nchi. Kuna shida ingine kubwa haimulikwi.
Tatizo haswa la Tanzania ni kwamba, baada ya ule mradi wa bwawa la umeme kupitishwa na kuanza rasmi, kuna kitu kingine kilipaswa kufanywa sambamba na mradi wa bwawa la Nyerere, nacho ni Power...
Watanzania wazalendo kwa nchi yao wanajiuliza kwa jinsi jua lilivyokali mwaka huu hivi ingekuwaje mgao wa umeme kama Hayati Magufuli asingejenga bwawa la umeme la mwl Nyerere?.
Ni majenereta mangapi yangeingizwa? Zingezaliwa Richmond ngapi?
Mwaka huu mvua ni chache nchi nzima na jua linatandika...
Amerukia kwa Norway inayotupatia wastani wa dola milioni 7.kila mwaka wa fedha.
Walianza kuipinga serikali yao isiwekeze ujenzi wa bwawa la kufua umeme megawati 2215.
Wakaja kuipinga DP WORLD yenye kutoa TRILIONI 22 kwa mwaka na malengo ya kufikia TRILIONI 60.
Leo vibaraka koko wameingia...
Hili limeniumiza sana
Kweli karne hii bado wazawa tumeshindwa kabisa kusuka nondo na kumwaga zege kwa ajili ya kujenga barabara ili ma bus ya mwendokasi yapite.
Wageni tunaowapa tenda wanatudharau sana.
Ningependa kutoa taarifa rasmi kuhusu hafla muhimu ya kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Bwawa la Mkomazi na utiaji saini wa mikataba miwili (2) ya ujenzi wa Skimu za Mkomazi na Chekelei Wilayani Korogwe, mkoani Tanga ambayo itafanyika tarehe 24 Februari 2025, ambapo Mheshimiwa Dkt. Samia...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni Neema na Baraka kubwa sana kwa Taifa Kuongozwa na Mtu kwenye kibali kutoka kwa Mungu Mwenyewe. Kwa sababu Taifa na Nchi inakuwa na baraka na kupata Neema kwa Mambo mbalimbali na kulifanya Taifa kuwa lenye amani, utulivu,umoja na mshikamano wakati wote.
Mungu akimpa...
Habari za jukumu wakuu
Ili nisiwachoshe naomba niandike kwa ufupi, hiki ambacho nimeona ni vyema kuwashirikisha
Kiasili asilimia 96% ya nchi ya Misri ni jangwa hali inayopelekea Misri kukumbwa na changamoto za kimazingira kama vile upungufu wa maji, ukame, joto kupita kiasi na changamoto...
Muda si mrefu kampuni ya ujenzi inakabidhi bwawa la umeme.
Ujenzi wa bwawa hilo ndio biggest engineering project kuwai kufanyika Tanzania na Africa mashariki yote.
1. idadi ya watu 11856 wamefika rufiji na kushiriki kulijenga
2. Raia wa mataifa 56 tofauti wamefika rufiji kushiriki kulijenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.