butiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je Mzee Butiku anastahili heshima?

    Nimemsikiliza mzee Butiku hivi karibuni akiwataka vijana kupuuza ushauri wa wanasiasa wanaodai Haki, Uwajibikaji na Katiba ya Wananchi (anaouita ni ushauri potoshi), badala yake anawaasa vijana kumsikiliza na kumheshimu Samia ambaye yeye anasema ANA NIA NJEMA. Huyu mzee Butiku. Anastahili...
  2. JamiiForums Tanzania Mzee Joseph Butiku, Respect is not granted like a cake on the plate. Respect for public leaders is earned!!

    Wazee kama hawa wanatukosea sana vijana. Tukiwakosoa, wanatuona hatuna adabu wala heshima kitu ambacho sio kweli kwa sbb wao ndio wakekosa kujiheheshimu ili na jamii iwape heshima yao.. Laiti angejua kuwa heshima hapewi mtu kwa sababu tu ya umri wake au cheo chake, basi asingeweza kutoa...
  3. JamiiForums Tanzania Warioba Joseph Butiku amelazwa ICU. Ni rafiki wa Polepole

    Tangu tuhuma ziripotiwe za kuhusika katika kupotea kwa Balozi Humprey Polepole, Mzee Butiku hana Amani kabisa na tangu hapo nahisi Presha ilipanda. Sasa kalazwa ICU Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(Kwangwa) huko Mara. Kama anajua aliyehusika kumteka Polepole, asiache...
  4. JamiiForums Tanzania Butiku na Wazee wenzake wa Ovyo, hawajataja Hatua kwa Walioua, wanaoteka Watanzania , hawasemi walotekwa waachiwe, Akina Lissu

    Mzee Butiku na Genge lako la Wazee wahuni huni ,Wazee wa Hovyo, tuliwakataa kitambo sana.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku: Watanzania tujitathmini kwa utulivu baada ya vurugu za Oktoba 2025

    Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), imewataka Watanzania kuendelea kushikamana na misingi ya Taifa, hususan katika kipindi hiki ambacho nchi inatafakari matukio ya vurugu za Oktoba 29, 2025 kupitia Tume iliyoundwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Hayo yameelezwa jijini Dar es Salaam leo, Alhamisi...
  6. JamiiForums Tanzania Butiku: Yaliyotokea Oktoba 29 yametuachia doa la aibu, majirani wanasikitika pamoja na sisi

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema kuwa katika siku za hivi karibuni Tanzania imepitia kipindi kigumu kilichosababisha taifa kutetereka, lakini halikuanguka. Akizungumza leo Januari 22, 2026 wakati wa kufungua mkutano wa Taasisi ya Mwalimu...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku asitisha Mkutano wake na Wazee kuwa mubashara

    Akizungumza leo Januari 22, 2026 katika Mkutanao na wazee wa jiji la Dar es Salaam, Mzee Butiku amesitisha mkutano huo kurushwa mubashara akiwataka waaandishi wa habari kuwapisha na kwamba watarejea baadae kusikiliza maazimio ya mkutano huo.
  8. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku na Wazee Wakizungumza Juu ya Haki, Umoja na Amani Kwa Watanzania Muda Huu

    https://www.youtube.com/live/C6io6iky7I0
  9. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Butiku na Wazee uliopangwa kufanyika leo (Januari 22, 2026), je, utafanyika au utakumbana na figisu?

    Mzee Butiku aliitisha mkutano na wazee kutoka kada mbalimbali kushiriki mazungumzo yanayoweza kuchochea mawazo ya kuondoa mkwamo wa kisiasa uliopo nchini. Katika mkutano wake na waandishi wa habari (press conference), alizungumza mambo mbalimbali, ikiwemo suala la kufungwa kwa ofisi za CHADEMA...
  10. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku sasa ni yatima; CCM hawamtaki na vijana hawamtaki!

    Kwa muda mrefu Mzee Butiku alikuwa anaheshimika ndani ya CCM na vijana kwa ujumla. Ndani ya CCM aliheshimika kama mmoja wa waasisi na mlezi wa vijana. Pia viongozi wa CCM walikuwa wakienda kwake kupata ushauri katika mambo mbalimbali ya kisiasa ndani ya chama chao. Kwa vijana Mzee Butiku...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Butiku watanzania wamechoka kuongea ongea bila vitendo! Unapoteza muda wako

    Butiku watanzania wamechoka kuongea ongea bila vitendo! Unapoteza muda wako mzee wetu. Bila katiba mpya ambayo inasimamiwa na chombo huru cha kitaalamu sio makada hali hii itaendelea kubaki hivi. Wanzania wataendelea kuwa na hasira na hiyo unayoita vacuum haitaishia nchini. Watanzania wanataka...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku - Gen Z bado hawajakuelewa, wanakuona kama ni Babu unayezeeka vibaya ni Bora ukanyamaza huku ukisubiri siku ya kutwaliwa na MUNGU

    Kwa kifupi Sana HOTUBA Yako na ajenda zako zote ulizoongea na waandishi WA habari hakuna hata Gen Z wa CCM amekuelewa, hujagusia suala lolote kuhusu hatma ya Taifa hili kwa Hawa Gen - Z ambao wanakabiliwa na changamoto lukuki ikiwemo ukosefu wa Ajira huku ukishindwa kuwakemea watawala...
  13. JamiiForums Tanzania Swali Kwa Jasusi Butiku Kuhusu Mduara wa Serikali Haramu Kupitia Chaguzi Bandia Tangu 1995: Tangu Lini Kesi ya Nyani Ikaamuliwa na Ngedere kwa Haki?

    https://youtu.be/1J1k-Bpi9Vc SWALI KWA JASUSI BUTIKU: TUNAWEZAJE KUPATA NGUVU YA KUVUNJA DUARA LA UHARAMU, UKATILI NA UDHAIFU WA SERIKALI UTOKANAO NA CHAGUZI BATILI MWAKA HADI MWAKA? Taasisi ya Mwalimu Nyerere ni shirika huru lisilo la kiserikali la Tanzania lililoanzishwa mwaka wa 1996 ili...
  14. JamiiForums Tanzania Mchungaji Mwakipesile amkosoa Butiku kuhusu sakata la Polepole 'Huaminiki'

    Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile amemshambulia kwa maneno Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Butiku, akimtuhumu kuonesha chuki dhidi ya aliyekuwa Balozi Humphrey Polepole, ambaye hivi karibuni kumeripotiwa sintofahamu juu ya alipo. Mchungaji Mwakipesile...
  15. JamiiForums Tanzania Lengo la press conference ya Butiku ni lipi?

    Sijui ni nani msimamizi wa jambo hili linaloitwa press conference nchini . Kwa maoni yangu ni kwamba kila mwenye fedha anaitisha press conference na hakuna wa kumbabaisha. Tabia hii itakomeshwa lini?
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mange Kimambi: Watanzania mkataeni Mzee Butiku kwa nguvu zote, anatumika na ni nyoka, huwa anakutana na Samia Ikulu mara kwa mara

    Mwanaharakati Mange Kimambi amesema kuwa watanzania wanatakiwa kumpuuza mzee Butiku kwa kuwa anatumika na serikali ya Samia.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Angalau léo , msikilize Mzee Butiku

    Sikiliza, amerudi kwenye msitari kwa leo. Sijui kesho!
  18. JamiiForums Tanzania Butiku amshukia mwenezi CCM: 'Ziara ya hovyo', Agusia sakata la CHADEMA

    Mpasuko CCM!? Ni ziara ya HOVYOOO! Mzee Butiku amvaa vikali Mwenezi wa chama cha CCM Kenani Kihongosi na ziara yake huko mikoani.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Mzee Butiku kujitokeza kujibu juu ya Polepole kutekwa ni dhahiri kuwa anafahamu mchongo mzima

    Kile kitendo cha kueleza kuwa alikuwa anafanya mawasiliano ya kila mara na Humphrey ni circumstantial evidence kuwa huyu mzee anajuwa wapi alipopelekwa Polepole. Kama walijadili juu ya Polepole kupinga uchaguzi kufanyika bila reforms.Waliongea juu ya Poepole kuacha kazi sababu ya maovu ya CCM...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku awaita wazee kujadili amani, haki na maendeleo

    Taasisi ya Mwalimu Nyerere (Mwalimu Nyerere Foundation) imeandaa mkutano wa mazungumzo kuhusu amani, umoja, haki na maendeleo ya watu, mkutano unaotarajiwa kufanyika Alhamisi ya Januari 22 mwaka huu (2026) Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam leo, Jumatatu Januari 19.2025...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…