busara

Busara was a literary journal published quarterly by the East African Publishing House, and later biannually, by the English Department at the University of Nairobi. It was first published under that name in 1968, and became one of the most influential literary journals of its time in Kenya. Jared Angira became its editor in chief in 1969.Originally the journal was founded as Nexus, and four issues appeared in 1967 and 1968, but it was renamed in 1968: "Busara" means "wisdom" in Kiswahili. Awori wa Kataka and Richard Gacheche were its first editors under that name; the choice for a Kiswahili name was influenced by other publications doing the same thing at a time when there was broad discussion in newly-independent Kenya about a national language.Notable contributors and editorial staff included Taban lo Liyong, Grace Ogot, Adrian Roscoe, Angus Calder, and Ngũgĩ wa Thiong'o, Jared Angira, and Chris Wanjala.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Busara za Babu na Safari ya mjukuu

    Nilimkuta amejikunyata ndani ya blanketi lake lililokuwa na rangi ya udhurungi, macho yake hafifu yalikua yakilitazama jua, ambalo lilikuwa likitoka huko mafichoni lilikokuwa ili kuja kuungaza ulimwengu, katikati ya mapengo yake ya mbele, alikua amekibananisha kiko chake vilivyo ili moshi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Mwenye ajira na asiye na ajira kwenye zoezi la Sensa 2022 - itumike haki au busara?

    Nisiku nyingine tena, Kuna walioamka na hasira huku wengine wakiamka na furaha. Ndio, nazungumzia watu waliokuwa kwenye foleni za usaili wa ajira za muda katika zoezi la sensa. Binafsi nilishiriki usaili huo Kama msailiwa niliyeomba moja Kati yanafasi zilizotangazwa. Wakati unasubiriwa muda...
  3. JamiiForums Tanzania Sijaona mahala Spika Tulia Ackson alipoisigina Katiba ya JMT. Mnaolalama mnalalama bila kutumia busara

    Kwa taifa letu katiba ndio mwanzo na mwisho juu ya uendeshaji wa nchi. Kugawa madaraka ya mihimili na kuwapa wananchi haki zao. Hii ni kwa sababu taifa letu lina katiba iliyoandikwa. Yaani written Constitution. Haina ubishi kuwa ni kwa mujibu wa katiba ya JMT mbunge akifutwa uanachama basi...
  4. JamiiForums Tanzania Ni kweli wadada wa kazi wana madhaifu yao ila na maboss muwe na busara

    Leo nimetoka zangu kutafuta mkate wa kila siku maeneo ya kisesa, nikasema nishuke kwa rafiki yangu hapo kanyama huwa namuita kaka kwa jinsi tunavyoishi. Nikamkuta shemeji kama kawaida tukasalimiana na kutaka kujua mtoto na dda wa kazi hali zao maana sikuwaona. Kumbe ndio nawasha moto. Shem...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ni baadhi tu za maneno ya hekima ya mzee Jakaya Kikwete

    Hizi ni baadhi tu za maneno ya hekima ya mzee wa msoga. 1. Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako 2. Kelele za chura hazimzuii mtu kuteka maji Karibuni tuongezee zingine ikiwezekana tuweke na mazingira/context ambapo jkauli hizo zilitoka. kwa mfano kauli ya "akili ya kuambiwa changanya ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kuajiriwa ni utumwa; mlio nje ya Ajira Rasmi kazeni Buti. Wenzangu jobless nafasi yenu kwa busara yangu ukajiajiri, utakuja kunishukuru

    Jiajiri utaepukana na mateso manyanyaso na kuabudia binadamu asiye na shukran. Marais na viongozi wetu wanafanyakazi ya ziada Sana. Katika utendaji kazi Kuna Mambo mengi yamefichikamana. Hutaona mapema. Jiajiri na hakikisha unaongeza ujuzi mara Kwa mara kw kile unachoamini utatusua. Hata kama...
  7. JamiiForums Tanzania Je, ni busara kuwekeza kwenye coin zaidi ya moja katika cryptocurrency?

    Mimi nimekuwa nikifuatilia kwa muda sana hii biashara na kuwauliza wadau mbali mbali. Kwa bahati mbaya sana nimekuwa nikikutana na watu ambao naweza kusema hawajaijua vizuri hii biashara. Nilishawahi kukutana na mtu akaniambia kwamba yeye anawekeza kwenye coin nyingi kama vile shiba...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Busara za Myles Munroe na mtihani wa wanasiasa wa Kitanzania haswa Marais wetu

    Nimeitazama video moja ya hayati mchungaji Myles Munroe akiwaongelea wanasiasa wa dunia hii. Nikatamani hawa wa kwetu waisikilize ili waondoke na chochote kitu kitakachowasaidia katika wito wao wa siasa. Ni video yenye kutafakarisha kwa kina juu ya maisha mazima ya mwanasiasa. Anasema kwamba...
  9. JamiiForums Tanzania Special thread: Busara za wazee (mkusanyiko wa busara mbalimbali )

    Wapendwa wana JF hbr za asubuhi...!!!!,nianze kwanza kumshukuru MUNGU mwingi wa rehema na neema aliyetuamsha salama na kutujalia kuiona siku hii ya leo tukiwa tu bukheri wa afya,kwa wale wenzetu wanao umwa tuwaombee kwa Mungu ili awape uponyaji,na kwa ndugu zetu waliotangulia mbele ya...
  10. JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wengi wanakosa busara, wamejawa mihemko, hasira na ghiriba nyingi

    Binafsi sijawahi kuwa na shida ni watu kama Jeneral Ulimwengu. ni mtu ambaye nimekuwa nikimowna anasimamia ile ambacho anaamini kwa nguvu kubwa tu. jambo ambalo ni zuri. Ila mwisho wa siku naye ni binadamu kama binadamu wengine kuna madhaifu anakuwa nayo. gazeti lake maarufu sana la Rai lilikuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Busara kidogo inahitajika katika hili

    Hey guys..! Huwa napenda kuja hapa na uchiinga' wa hapa na pale, ila naombeni Leo niwe serious kidogo, hii ni issue ya kweli kabisa ya maisha yangu..!! Sijui kwanini nataka kushare kama ni ushauri nitaupokea, ila kama kuna la kujifunza mtu aweza lichukua pia likamsaidia.. Mimi ni kati ya watu...
  12. JamiiForums Tanzania Kwenye msafara wa Kiserikali wa Rais Dubai, Shaka ana nafasi gani?

    Kuna jambo limenistua kidogo japo linaonekana la kawaida lakini ni kubwa sana katika siasa na uadilifu, Huyu Mwenezi wa CCM Bwana Hamdu Shaka, ana role gani kwenye ziara ya Rais huko Dubai katika mkutano huu wa kibiashara? Mlinzi? Mwekezaji? Mfanyabiashara? Mjasiliamali? Machinga? Kangomba...
  13. JamiiForums Tanzania IGP Sirro soma alama za nyakati, jiuzulu

    IGP Sirro alipata hicho cheo kama mkombozi wa jeshi la polisi. Tunayakumbuka mapambano yake misituni na wahalifu toka Rwanda na Burundi, huko mapori karibu na mpakani. Wakati huo akiwa kamanda wa Fiekd Force Unit, FFU. Sasa baada ya kuwa IGP, kuna matukio mengi ya kutofuata sheria za...
  14. JamiiForums Tanzania Sakata la moto Karume, busara ichukue mkondo wake

    Migogoro isiyo na tija katika jamii yeyote iliyo staraabika husababisha ghasia na machafuko yasiyo na tija kwa taifa. Mwanafalsafa Chuck Palahniuk aliwahi kusema "There are only patterns, patterns on top of patterns, patterns that affect other patterns. Patterns hidden by patterns. Patterns...
  15. JamiiForums Tanzania Godbless Lema huwa anakosa Busara/Hekima. Ingawa yeye anaamini ana busara na hekima sana. Hapa alimkosea sana P. Msigwa

    Peter Msigwa alipost maoni yake akiamini kuwa Chenge ni mtu ambaye angefaa kuwa Speaker wa Bunge. Pamoja na kuwa anaona Bunge halieleweki ila anaamini Chenge ni mtu mwenye msimamo na msomi wa kweli. Lema kwa upumbavu mkubwa akaandika katika Twitter ya mwenzie. FUTA. huu ni upumbavu. Ni...
  16. JamiiForums Tanzania Hii ni dhahiri kuwa viongozi na wanachama wa CHADEMA hawana busara, huwezi kumuombea kifo mwenzako

  17. JamiiForums Tanzania Ningekuwa mwenye dhamana, busara ingenielekeza kuunda tume huru kuchunguza tuhuma zilizotolewa Mwingira

    Moto hauzimwi kwa petroli, Moto unazimwa kwa maji, mchanga na vitu ambavu si vilipuzi. Serikali ndio mlinzi wetu kwa kutumia vyombo vyetu vya usalama. Kwa vyovyote vile, haiingii akilini mtu kutuhumiwa na kujipa kazi ya kuhoji au kuchunguza. Majibu ya uchunguzi wa namna hii unaleta maswali...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Balozi mpya wa China nchini Marekani aonesha tofauti ya uongozi wa busara kati yake na mwenzake wa Marekani

    Ushindani mkubwa kati ya Marekani na China umekuwa ukifukuta na kuatiliwa sana katika miaka ya hivi karibuni. Mtazamo hasi wa Marekani dhidi ya China unajidhihirisha wazi zaidi katika kipindi hiki, kwani Marekani bila aibu wala kificho imekuwa ikiishambulia hadharani kwa maneno na kuinyooshea...
  19. JamiiForums Tanzania Mtu mwenye busara na hekima akinena wahusika wajitafakari na kunyumbulika akili

    Salama wandugu Kwa maneno haya ya mtu mwenye busara alivyonena naomba wahusika wajitathimini na wanyumbulishe akili zao
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi Natepe alivyomhenyesha Rais Ali Hassan Mwinyi

    Alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi mwaka 83 kama sijakosea nafasi yake aliteuliwa mzee mmoja kutoka Zanzibar anaitwa mzee Natepe kushika Uwaziri wa Mambo ya ndani ya nchi. Natepe alipoingia tu ofisini alimtaka Waziri aliyemtangulia kutoka katika nyumba ya Waziri ili yeye aweze kukaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…