bure

Buré is a commune in the Orne department in northwestern France.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hili haliwezi kupita bure: Imekuwaje TISS na JWTZ mmekubali Air Tanzania ife na ianzishwe Zanzibar Airways?

    Wakati Air Tanzania ikifanya vibaya sana kutokana na ndege kununuliwa kwa bei mbaya huku zikifa kutokana na kutofanyiwa service za maana na kwa wakati tena kwa makusudi kuna taarifa kuwa linaanzishwa Shirika la Ndege la Zanzibar. Nawauliza nyie TISS na JWTZ hamuoni kutofanya vizuri kwa Air...
  2. JamiiForums Tanzania Tengeneza Incubator Yako kwa gharama (W1219 Digital Thermostat) – Step by Step na Msaada Bure!

    Habari wana Jamii Forums, Kama wewe ni mfugaji wa kuku au unapenda kujaribu idea mpya ili kukuza ufugaji wako kuwa wa kibiashara inayolipa, basi hii post ni kwa ajili yako. Leo nakushirikisha kuhusu kifaa kinachoitwa W1219 Digital Temperature Controller — ambacho kinasaidia sana kutengeneza...
  3. P

    JamiiForums Tanzania TFF na bodi ya ligi,ushauri wa bure kuelekea mechi ya dabi 15 June 2025

    Kwa hili sakata linavyoendelea,nikiwa mpenzi wa mpira hasa wa Tanzania nawaomba sana TFF na bodi ya ligi suala la mechi ya yanga na simba lifungwe pazia lake siku hiyo iwe yanga waje uwanjani au wasije uwanjani kanuni zifuate mkondo wake! Ukweli ni kwamba yanga Wana lao jambo,suala la...
  4. JamiiForums Tanzania Hashimu Rungwe aitaka Serikali kutoa Chakula bure kwa Wagonjwa na Wanafunzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) taifa, Hashimu Rungwe ameitaka Serikali kutoa ruzuku kwa hospitali zote nchini pamoja shule zote za msingi na sekondari ili wagonjwa wasio na ndugu wapate chakula bure huku wanafunzi ambao wazazi wao hawana uwezo wa kuchangia chakula shuleni...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Kwa niliyoyaona leo Dodoma na yanayoendelea Mitandaoni, Kama wewe ni Fisadi wa CCM fanya haya haraka sana

    Jiji la Dodoma leo limenishangaza hakika. Sijawahi ona watu wanaoipenda Chadema kama watu wa Dodoma. Mwanzo nilidhani Mwanza na Kanda ya Ziwa, Kuna wakati nilidhani Kanda ya Nyasa na Kanda ya Kaskazini. Ila kwa hakika leo naweza kusema, Dodoma ni ngome mpya ya Chadema. Hata Tone Tone ya leo...
  6. JamiiForums Tanzania Pata elimu ya bure,hivi ndo kura huwa zinaibwa katika nchi X

    Wengi wetu hatuamini kama kweli kura huwa zinaibwa. Ukweli ni kwamba kura huwa zinaibwa haswa maeneo yenye upinzani mkali. Nitashare nanyi baadhi ya mbinu nilizo fanya utafiti wangu binafsi 1 .Mbinu ya kwanza kabisaaa huwa ni kuwa na wapiga WAPIGA KURA HEWA Kuna watu huandaliwa kujiandikisha...
  7. JamiiForums Tanzania Kalivyo handsome jamani wanakalaani Bure tu

    Kalivyo handsome jamani wanakalaani Bure tu 💔😢
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Keyboard Warrior wote wa JF

    Mzuka Wana Jamvi ? Binafsi napongeza juhudi za serikali kuhakikisha nchi isiingia machafukoni kwa ajili ya watu wachache na katika kuzuia mambo hayo ya ajabu. Fujo sio solution na zina madhara makubwa kuliko Faida , kama unaona serikali inateka watu jiulize mbona wewe haujatekwa wala Bibi yako...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mawakili wamshauri MKITI Lisu kuepuka faulu na mitego isiyo ya lazima unawapa washitaki point za bure

    Mazoea sio kanuni Wala Sheria Lisu amewapa mawikili wake wakati mgumu Sana huku akiwapa washitaki wake point NYINGI Yawezekana walishajua mazoea yake ya kuongea kabla ya mahakama kuanza . Refer ametenda haki mazoea sio Sheria au kanuni
  10. W

    JamiiForums Tanzania IT mpo? AI inachukua kazi zenu kimyakimya, Mjipange !! Karinga kunitengenezea website ndogo kwa elf 10 nimemaliza kila kitu kwenye ChatGPT bure.

    Leo nilikuwa napitia uzi flani humu ndani wa kero ya kutambua mitandao kwa namba za simu. Nikaona nifanye kiproject simple cha kutatua tatizo hili, nikaandika orodha ya namba pamoja na mitandao yake. Nikaenda kwa IT flani yupo tu kitaa atengeneze website ndogo ya kurahisisha kwa dau la elfu 5...
  11. JamiiForums Tanzania Haya pesa ya bure hiyo

    Huko kwenye betting napata odds ngapi? Nimeona kwa jicho la tatu matokeo ya kesho
  12. M

    JamiiForums Tanzania Free Car Inspection Kila Jumapili:Kuanzia sasa, kila Jumapili, tunafanya ukaguzi wa bure wa magari Jerry spare parts and services

    TANGAZO MAALUM Jerry Spare Parts and Services Jerry Spare Parts and Services tunayo furaha kuwakaribisha kwenye huduma zetu bora kabisa kwa wamiliki wa magari nchini Tanzania. Tupo kwa ajili yako – kuhakikisha usalama, uimara na ufanisi wa gari lako! Tunatoa huduma zifuatazo: 1. Free Car...
  13. JamiiForums Tanzania Jerry spare parts and services; Free Car Inspection Kila Jumapili:Kuanzia sasa, kila Jumapili, tunafanya ukaguzi wa bure wa magari

    TANGAZO MAALUM Jerry Spare Parts and Services Jerry Spare Parts and Services tunayo furaha kuwakaribisha kwenye huduma zetu bora kabisa kwa wamiliki wa magari nchini Tanzania. Tupo kwa ajili yako – kuhakikisha usalama, uimara na ufanisi wa gari lako! Tunatoa huduma zifuatazo: 1. Free Car...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jerry spare parts and services; Free Car Inspection Kila Jumapili:Kuanzia sasa, kila Jumapili, tunafanya ukaguzi wa bure wa magari

    TANGAZO MAALUM Jerry Spare Parts and Services Jerry Spare Parts and Services tunayo furaha kuwakaribisha kwenye huduma zetu bora kabisa kwa wamiliki wa magari nchini Tanzania. Tupo kwa ajili yako – kuhakikisha usalama, uimara na ufanisi wa gari lako! Tunatoa huduma zifuatazo: 1. Free Car...
  15. JamiiForums Tanzania Phishing Link ni Nini? Hivi ushawahi kuona zile link zinakuja WhatsApp zinasema: "Tazama nani anakupenda," "Bonyeza upate GB 50 za bure," au "Tazama

    Phishing Link ni Nini? Hivi ushawahi kuona zile link zinakuja WhatsApp zinasema: "Tazama nani anakupenda," "Bonyeza upate GB 50 za bure," au "Tazama nani anakuchukia kwenye group." Zile link nyingi huwa mtego – zinaitwa phishing links. Ni link zinazotengenezwa kuonekana kama halali, lakini...
  16. JamiiForums Tanzania Spika abariki majibu ya Dkt. Mollel kuhusu huduma bure kwa Wajawazito

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, ametoa muongozo akieleza kuridhishwa na majibu ya Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, kufuatia maswali ya nyongeza yaliyoulizwa na Mbunge wa Nanyumbu, George Mwenisongole, kuhusu utekelezaji wa Sera ya Afya ya Mwaka...
  17. JamiiForums Tanzania Jifunze kutumia Capcut bure (Free Class)

    Jifunze kutumia Capcut bure (Free Class) CapCut Course: Beginner to Advanced 🔰 Kozi hii ni kwa ajili ya: Content creators (TikTok, Instagram, YouTube) Wamiliki wa biashara wanaotaka kutengeneza video za matangazo Freelancers wanaotaka kuuza huduma ya video editing Wanafunzi au mtu yeyote...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Ushauri wa Bure kwa Rais Samia, achana na hii kesi Haina maslahi yoyote kwako, CCM, wala nchi!

    Kwako rais Samia: Aibu hii ya nini? Lissu ni kama Yesu mbele za Pilato. Hana hatia. Wanaopaswa kukushauri kuachana na kesi hii wanasubiri uangukiwe na jumba bovu. Utakuwa mgeni wa nani kwa mwendo huu? Achana na kesi hili la kubumba. Wawajibishe wote wasiokutakia mema. Acha haki...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Biashara Ndogo na za Kati (SMEs) - Kupata mafunzo Bure ya Usimamizi wa biashara

    Je, unamiliki duka au biashara na ungependa kuisimamia kwa ufanisi zaidi? SmartBusiness inatoa MAFUNZO YA BURE ya usimamizi wa biashara kwa watumiaji wake wote kupitia kundi la WhatsApp! Mafunzo haya yatakusaidia kukuza biashara yako kwa kukupa ujuzi katika maeneo yafuatayo: 📌 Kanuni za...
  20. JamiiForums Tanzania Free Car Inspection Kila Jumapili:Kuanzia sasa, kila Jumapili, tunafanya ukaguzi wa bure wa magari Jerry spare parts and services

    TANGAZO MAALUM Jerry Spare Parts and Services Jerry Spare Parts and Services tunayo furaha kuwakaribisha kwenye huduma zetu bora kabisa kwa wamiliki wa magari nchini Tanzania. Tupo kwa ajili yako – kuhakikisha usalama, uimara na ufanisi wa gari lako! Tunatoa huduma zifuatazo: 1. Free Car...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…