bure

Buré is a commune in the Orne department in northwestern France.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Rais Samia: Mkinipa kura mtatibiwa figo bure

    Hivi kwani Sasa Rais ni nani? Anasubiri Nini kutibu hao wagonjwa wa figo? Wagonjwa wa figo wa Sasa wafe hadi Rais atakapokuwa Rais tena? Rais Samia anaweza kuwatibia hao wagonjwa bure, maana wanateseka. Binafsi sikuelewa hii kauli
  2. GE2025 Kupiga marufuku Hospitali kuzuia maiti nayo ni maendeleo? Samia punguza umasikini haya yataisha automatic

    Watu wanashindwa kukomboa miili ya wapendwa wao kwa sababu kuu moja Poverty. Sasa njia ya kuondoa hili ni kudili na poverty na watu wakiwa vizuri hawatashindwa kulipia gharama za matibabu. Kupiga marufukua Hospitali kukatalia maiti sii moja ya maendeleo,ni hadaaa za kudanganya wajinga wa hii...
  3. Kushindana na CCM, unakuwa unashindana na Serikali na vyombo vyake, usipotumia akili utaishia kuumizwa bure

    CCM sio Chama cha siasa Ila ni Serikali, hivyo kushindana na CCM unahitaji akili Sana . Na sio hivi kama wanavyofanya hawa vijana akina Lissu na wengineo. Binafsi watu ambao hawaulewi ukweli nawapa pole. Hata hapa JF tumejificha kwa I'd fake lengo ni kuikwepa Serikali.
  4. F

    Ofa hamna anaetoa, mje kuchukua bure hii machine

  5. M

    Polepole yuko Sahihi. TUME inataka kumpa Mwalimu kura kadhaa za Bure

    Kuna mpango wa ovyo wa Kumpa Salum Mwalimu kura kadhaa za kubumba huyu mtu ili wapate wabunge wa viti maalum kadhaa na wabunge wa ovyo ovyo Ndugu Watanzania sio Siri tena kwa namna yoyote Mpina angekuwa ana kura nyingi sana kuliko huyu mgombea wa Chauma na pengine angemzidi mgombea wao kwenye...
  6. Jinsi ya Kutumia ChatGPT Bure

    Jinsi ya Kutumia ChatGPT Bure ChatGPT inatumiwa sana duniani kwa ajili ya maswali, uandishi wa makala, kutafsiri lugha, kuandika, kufanya utafiti (Research) na content za mitandaoni. Watu wengi hujiuliza: “Nawezaje kutumia ChatGPT bure bila kulipa ada ya kila mwezi?” Hapa nitakueleza njia...
  7. B

    Ushauri wa bure: Kwa tuhuma nzito hizi za Polepole kukuhusisha wewe, mstaafu Kikwette, staafu siasa, sasa na hadharani!

    Umekuwa huku, umekuwa kule: Umekuwa ni mstaafu asiyestaafu? Kwamba chaguzi zimekuwa zikiibiwa chini ya uangalizi wenu! Kwa hakika wewe na CCM kwa ujumla wenu mmetukosea sana. Angalia ya stadium Mkapa na Morocco, yanakupa furaha gani wewe? Nyerere alikuwa huyu: Mheshimiwa, kumbe wewe...
  8. W

    SERIKALI ya Awamu ya Sita kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikiwa kumtibu bure rapa wa muziki Chid Benz

    Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro (Chid Benz) ambaye kwa miaka kadhaa alitumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya, hivyo kudhoofika kiafya na kushindwa kutekeleza majukumu yake. Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo amesema,Chid Benz ni miongoni mwa Watanzania milioni moja ambao wamepatiwa...
  9. M

    Njia mpya ya kuchipu PS4 yagunduliwa !! PS4 version 12 zinaweza kuchipiwa kwa mbinu ya CD.

    watu wengi wanapenda ps4 za kuchipu kuepuka gharama za games za kununua na account, Ps4 iliyochipiwa unadownload game lako mtandaoni, unalihamisha kwenye mashine unaanza kucheza. PS4 zenye soko kubwa ni version 9.00 kwasababu ya urahisi wake wa kuchipu, juu ya hapo watu wengi wanazikwepa au...
  10. Z

    Chadema sasa imebaki kuwa chaka la wahuni na wahalifu, tujitenge na genge hili la wahuni tusije kuwasumbua ndugu zetu bure.

    Kwasasa Chadema imebaki kuwa Chaka la wahuni na genga la kupanga na kuratibu mipango ya kihalifu. Hivyo yatupasa tujiepushe na genge hili kwani unaweza kujikuta unaingizwa kwenye matatizo buree halafu ndugu zako wataabike. Tujitenge na hili genge la kihalifu kwa usalama wetu.
  11. M

    Form 6 leavers mliopata division 2 na 3, mjitahidi kuomba vyuo vingi hasa vya makanisa na private, Vya serikali ni vigumu kuingia.

    Kumbuka Division One ni zaidi ya elfu 60, Division Two karibu elfu 40, na Division Three zipo chache zaidi elfu 10. Hii inaonyesha ushindani mkubwa sana kwenye udahili unaoendelea vyuoni, hasa vile vya serikali (Udsm, Mzumbe, Udom, Must, Dit, Tia, Ifm, Mipango, Mweka, n.k) si kwamba ukiwa na...
  12. Ndo maana wanaume tunakufa haraka imagine Kuna mtu alikuwa haamini Kama uchaguzi upo haamini October tunatiki ndugu yangu unajipa kisukari bure

    Wanaume huwa tuna ubishi wa kitoto sana, huku tunajua kuwa kila kiongoz anaapa kuilinda Katiba ya JMT lakini bado Kuna mwanaume anajidanganya moyoni mwake eti oooh hakuna uchaguzi, oooh form haitachukuliwa Kama ulikuwa na fikra Kama hizi ujue ww ni mgonjwa tayari. Haya Taifa lipo na slogan ya...
  13. PAST TONY HATA SHETANI HAKUPENDA VYA BURE USIPENDE GESI ZA BURE DHAMBI...ACHA KUPANIC OMBA HEKIMA NA TOBA MUNGU AKUSAMEHEE

    NILIONA YANAYOENDELEA MTANDAON MPAKA LEO HII KUHUSU KAKAYANGU TONY KAKA YANGU BAIBO INASEMA DONT TOUCH MAI ANNOINTING SITAKULAUMU UKIYOONGEA KAMA N KWELI UWONGO TUMEAMBIWA TUKUMUACHIE MUNGU NDUGU YANGU KAKA PT BAADA YA YALE MANENO YA GESI GAFLA YAKAJA YA SHEMEJI ANA MAGARI MENGI NK NDIO MAANA...
  14. CHAN:Ushauri wangu kwa SERKALI.TFF.bodi ya ligi waacheni watanzania waingie bure uwanjani .usituuzie uzalendo

    Nchi zote waandaaji wamewaachia mashabiki wa soka kuingia viwanjani kushangilia timu zao za taifa bure . Timu shiriki zimekuja na mashabiki wamelipiwa viingilia nyie mpo busy kutoza hela nyingi sana sijui mnataka nini na idadi ya mashabiki inazidi kupungua mechi ijayo mtatazama wenyewe VIP Kwa...
  15. Watu wajizolea nyama ya bure nane nane

    Wananchi waliofika kwenye Maonesho ya Nanenane, Nzuguni, Dodoma wamepewa ofa ya kugawiwa nyama bure. Soma pia: Ufisadi Nane Nane 2024 - Mamlaka husika zichunguze mchakato mzima Chanzo: Global tv online
  16. Y4s wameleta router za bei nafuu 99000 tu pamoja na offer ya kutumia miezi miwili bure

    Baada ya watu wengi kushindwa kulipia 250k kwaajili ya router ya 5G, YAS wameona walete router 4G+ za bei ya mwananchi na zinazokuja kumaliza kilio cha watu wengi waliokua wakihitaj router za yas. BEI NAFUU. Router hizo zinapatikana kwa bei ya 99000 tu ambaayo inalipwa moja kwa moja kwenda...
  17. Kufurahia pombe za bure na vyakula vya bure ni ishara ya umasikini mbaya

    Ukiona mtu mzima hasa kijana anafurahia au anasifia kunywa pombe na kula nyama za bure au vyakula vingine vya bure kwenye msiba, harusi au tukio la aina nyingine yoyote basi ujue ni masikini sana wa kipato au fikra. Hii tabia wanayo sana vijana wa Kaskazini.
  18. INAUZWA Bajaj inauzwa bei sawa na Bure

    Habari... Bajaj inauzwa bei sawa na Bure Bei 4.5m Location kigamboni dar es salaam... Mawasiliano DM Full documents
  19. Jerry Spare Parts and services Waja na Huduma ya Ukaguzi Bure kwa Gari Lako – Je, Umeshawahi Kuhudumiwa Nasi?

    Habari wakazi wa JamiiForums! Kama ulikuwa umewahi kufika Jerry Spare Parts and Services kwa ajili ya huduma ya spare parts, repairs au diagnosis, sasa tunayo habari njema kwako! Kwa kutambua thamani ya uaminifu wako, tumeamua kurudisha fadhila kwa staili ya kipekee. 🎁 Tunakupa nafasi ya...
  20. Vijana wanaosema wanatengeneza website bure ni matapeli

    Wadau kaeni sawa imenitokea. Matapeli wapo kazini. Hawa vijana wanao tangaza kuwa ni wataalam wa kutengeneza Website (tovuti) sawa na bure wengi wao ni matapeli hawafai. Nimekutana nao kama 4. Wamo wakenya na watanzania. Majina wanayo yatumia ni Mediapix, Datazone technology... na tovuti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…