bungeni

Bungeni is a large sprawling rural settlement situated on top of one of the foothills of the Soutpansberg mountain in Louis Trichardt, Limpopo Province, South Africa. The Levubu agricultural plantation, where avocado, bananas, litch, Macadamia nuts, peaches and mangoes are grown in abundance is just 3km away north of Bungeni village. It lies 35 km east of Makhado, with the R578 road (South Africa) passing through it. With more than 30 000 people, Bungeni is the largest Tsonga village in Makhado local municipality. In 1994 and in 2016, administrative control of this western portion of Gazankulu has been sub-divided in half and allocated to two Municipalities, first in 1994 to Makhado Local Municipality and in 2016, to the New Malamulele Municipality in the Vhembe district. As of April 2016, the Western portion, known as 'Bungeni West' by the locals, has remained in Makhado local municipality, while the eastern portion, known as 'Bungeni east', has been allocated to the new Malamulele Municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Japo Nilikuwa Simkubali Baba Levo Kwa Uchawa Compared to ZZK, Leo Nimemsikia Bungeni, Kumbe ni Bonge la Kichwa, ni Akili Kubwa!, Nimememkubali Sana!.

    Wanabodi, Baada ya kuibuka kwa fani mpya ya uchawa, mimi nimekuwa nikiwaona machawa kama ni majitu fulani majinga zero brain!, nilipoangalia line up ya wagombea ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini, kupitia CCM, kulikuwa na very good big brain, siku ya matokeo ya kura za maoni ya CCM zikitangazwa...
  2. JamiiForums Tanzania Nilitegemea huyu kijana ataitwa bungeni kupewa zawadi, ila wachezaji wa mpira wanapishana huko bungeni

    Kijana Wa Kitanzania Aibuka Mshindi Mashindano Ya Nyuklia Kimataifa Kijana mtaalamu kutoka Tanzania, Japhet Matekere, amechaguliwa kuwa mmoja wa washindi wa mashindano ya video ya kimataifa ya “Atoms Empowering Africa 2026”. Mashindano hayo yaliyoandaliwa na kampuni ya nishati ya nyuklia ya...
  3. JamiiForums Tanzania Wabunge wetu mnatia aibu, sakata la vikwazo, huko Bungeni mnamuwakilisha nani?

    Ubinafsi ulioonyeshwa na wabunge wetu wakibanwa imewafanya watie aibu katika jamii. Sakata la vikwazo vya Marekani liko mbele yetu kama nchi. Wahusika binafsi ni wale waliofanya mambo mabaya dhidi ya umma wa Kitanzania. Watu hao ni watekati, waliovuruga utaratibu wa uchaguzi, walioua...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Othman Masoud: Kuna watu wanatishwa kwa wanayoyasema Bungeni kuhusu yaliyotokea kwenye Uchaguzi

    Akizungumza leo Mei 16, 2026, Katika Mjadala wa kitaifa kuhusu mwelekeo na khatima ya Tanzania, uliokusanya makada na viongozi wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo ngazi ya Taifa, Othman Masoud amesema licha ya...
  5. JamiiForums Tanzania Angekuwepo hayati JPM asingeruhusu waziri wake aaende Bungeni na mkoba wa mil 14 hata kama ni mkwe wake

    Wananchi wanahanhaika kupata hata maji safi, dawa na hata chakula tu. Alafu Waziri mwenye dhamana na wizara ya afya anaenda Bungeni na mkoba wenye thamani ya mil 14. Hayati Magufuli alikuwa na uchungu na wananchi wake. Asingekubali jambo kama hili.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nape asema Uimara wa CCM unategemea Upinzani, akiri kum-'miss' Zitto Kabwe bungeni

    Akiwa kwenye mahojiano na Podcast ya MS, Nape Nauye Mbunge wa Mtama anaelez kuwa yeye ni muumini wa CCM imara inahitaji upinzani imara na kama upinzani utakuwa dhaifu basi italeta shida kwa CCM. Nape anaeleza pia kuwa anamkumbuka sana na kutamani uwepo wa Zitto bungeni.
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Dalili za kupenda Utumwa ziko hadi Bungeni. Lugha nje ya kanuni zaachiwa kuzungumzwa Bungeni

    Nimeona video clip ya mbunge mmoja akichangia kwa Kiswahili na kiingereza. Baadaye akanogewa, nahisi kwa panic fulani, akaanza kuzungumza kwa kiarabu na kifaransa. Nijuavyo lugha za Bunge ni mbili tu! Kiswahili na Kiingereza. Lakini huyu karuhusiwa kutumia lugha za ziada bila adhabu yoyote na...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Zainab apiga lugha tofauti Bungeni aomba atafsiri

    Mbunge wa Viti Maalum (Vijana) Mhe Zainab Abdallah wakati akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Elimu alitumia lugha ambayo liwaacha Wabunge njia panda na kuomba muongozo ili aeleza maana ya maneno yake. Una maoni gani?
  9. JamiiForums Tanzania Kauli za kihuni Bungeni zipigwe marufuku

    Kauli za kihunihuni bungeni zimekuwa nyingi sana utafikiria bungeni magetoni kwao bunge linatakiwa kuheshimiwa sana Bunge la awamu hii ni la ajabuajabu limejaa wahuni wahuni tu kazi kicheka hovyo hovyo Kauli hii ya Esther bulaya" nimekoshwa na bajeti ya trillion 2.3 " hii ni kauli ya kihuni...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Ujerumani ahoji bungeni mauaji ya Oktoba 29 Tanzania na kesi ya Lissu

    Mbunge wa Lahn-Dill nchini Ujerumani, Mheshimiwa Johannes Volkmann wa chama cha CDU ameihoji Serikali ya nchi hiyo kwamba, inachukua hatua gani kwa Tanzania kutokana na mauaji ya raia katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na kuhusu kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliyosema inakiuka...
  11. JamiiForums Tanzania Zungu amuonya Ado Shaibu kwa Utovu wa Nidhamu Bungeni

    toa mwongozo na ufafanuzi kuhusu taratibu za bunge na mahusiano kati ya Kamati za Bunge na taarifa za CAG. Hapa kuna nukuu muhimu kutoka kwenye video hiyo; "Wakati wa jioni Bunge lilipokuwa limerejea Mheshimiwa Ado Shaibu Ado Mbunge, alipata fursa ya kuchangia hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Rais...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge Salvator: Kama vitu vinavyojadiliwa bungeni havitekelezeki ni ngumu kutoboa

    Mbunge wa Misungwi mkoani Mwanza, Silvery Salvator amesema kuwa utekelezaji hafifu wa uamuzi na mijadala ya Bunge unakwamisha maendeleo na mafanikio ya Serikali. Akichangia bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu bungeni jijini Dodoma leo Jumanne, Aprili 14, 2026, Salvator ameeleza kuwa uzoefu wake...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Ghati Chomete aungana na waombolezaji katika ibada ya kuaga mwili wa Lukuvi, bungeni Dodoma

    GHATI CHOMETE AUNGANA NA WAOMBOLEZAJI KATIKA IBADA YA KUAGA MWILI WA MHE. LUKUVI, BUNGENI DODOMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete, tarehe 27 Machi 2026 ameungana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), Spika wa Bunge...
  14. JamiiForums Tanzania Prophet Suguye alitabiri kifo cha Kiongozi Bungeni

    Kiongozi wa dini maarufu mtandaoni, @prophet_nicolaus_suguye , hivi karibuni aliandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Instagram akihimiza maombi kwa taifa na mihimili mitatu ya dola, akidai kuona dalili za kuondoka kwa viongozi wakubwa. Ujumbe huo umeibua mjadala mkubwa miongoni mwa wananchi...
  15. JamiiForums Tanzania TBT: Waziri Aliyetumbuliwa Kisa kudaiwa kulewa Bungeni (Charles Kitwanga)

    Hii nchi tumepitia mengi sana aisee 😂 :::::::::::::::;;;;;;;;;:::::::::;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;; WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema uamuzi wa Rais Dk. John Pombe Magufuli kutengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani, Bw. Charles Kitwanga umefuata kanuni za utumishi wa umma ambao unakataza...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Lissu akihoji bungeni kuhusu wanajeshi kuteuliwa na kuwania nafasi za Uongozi kupitia CCM

    Maneno ya Tundu Lissu bungeni Jun 19, 2015 wanajeshi wanapewa vyeo serikali na Jaji Augustino Ramadhani kuandaliwa kuwa Rais wa awamu ya tano. Pia Soma Special Thread Kumbukizi: TBT za kauli za wanasiasa zilizobamba na kuzua gumzo kwenye medani za kisiasa
  17. R

    JamiiForums Tanzania Swali chokonozi: Hivi bungeni Tulia Ackson anakaa kiti gani? Anagonga Meza naye?

    Maenye pichanya bungeni ikionesha alipokaa aniwekee hapa. Najaribu ku imagine alivyokaa huko kajampa nani na kigonga meza! Same like yule atakavyo kuwa amevaa uniform ya jela ya ICC
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge alivyojinadi kwa Kifaransa bungeni

    Mbunge wa Jimbo la Ole Zanzibar Said Salima Hamad ajinadi kwa Lugha ya Kifaransa bungeni wakati wabunge wakiomba kura katika uwakilishi wa Taasisi mbalimbali leo februari 5, 2026
  19. JamiiForums Tanzania Bungeni tunataka kusikia uwajibikaji na kero za watanzania zinatatuliwa hata tukisifia wananchi au rais haiwezi kuleta maendeleo

    Bungeni tunataka kusikia uwajibikaji na kero za watanzania zinatatuliwa hata tukisifia wananchi au rais haiwezi kuleta maendeleo. Suala la sifa halina msingi ya maendeleo kwa wananchi wala maendeleo kwa rais wala kwa wabunge wala kwa washirika ni la kipumbavu sana.
  20. JamiiForums Tanzania Bunge la Zungu: Kipindi cha kusifu na kuabudu kina muda mrefu sana

    Hili Bunge la Zungu lina mambo mengi sana. Ila kipindi cha kusifu na kuabudu ni kirefu sana. Mjitafakari sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…