Dkt. Stergomena Tax Aingia Bungeni

Dkt. Stergomena Tax Aingia Bungeni

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
881
Reaction score
774
LEO KATIKA KUMBUKUMBU


10 Septemba 2021 — Uteuzi wa Dkt. Stergomena Tax

Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan tarehe 10 Septemba 2021 alimteua Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Dkt. Stergomena Tax aliteuliwa katika nafasi za wabunge kumi wanaoteuliwa na Rais. Wakati huo alikuwa amemaliza muda wake kama Katibu Mtendaji wa SADC mwezi Agosti 2021.

1789048581300.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom