Baba Levo wewe pekee bungeni umeonekana ndio msomi

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,865
Reaction score
8,274
Wandugu kitendo cha baba levo (mbunge kigoma) kufuatiria ujenzi wa uwanja uliojengwa kule arusha
Uwanja huo umejengwa kwa gharama zaidi ya bilion 300.

Sasa basi jamaa baba levo kaomba BOQ hii orodha ya vifaa na bei zake.

Kimbembe kitaonekana namba zimeongezwa 0000 mbele ya gharama halisi.

Huo ndio wizi wa kalamu unaotumika serikalini hata peni unayoweza kuipata kwa 1000 wao watakuambia peni ni 10000.

Sakata hili linamhusu kijana mmoja mchapa kazi lakini aliyekengeuka nilimwamini sana tangu enzi JPM ila kwa hili amepoteza credibility kwa kiwango kikubwa sana

Hiyo BOQ kwanza haitapelekwa bungeni hapo ni sawa kumwambia mtu afue nguo za fundi gereji
 
Uwanja huo umejengwa kwa gharama zaidi ya bilion 300 .
Sasa basi jamaa baba levo kaomba BOQ hii orodha ya vifaa na bei zake .
Kimbembe kitaonekana namba zimeongezwa 0000 mbele ya gharama halisi.
Huo ndio wizi wa kalamu unaotumika serikalini hata peni unayoweza kuipata kwa 1000 wao watakuambia peni ni 10000.
Sakata hili linamhusu kijana mmoja mchapa kazi lakini aliyekengeuka nilimwamini sana tangu enzi JPM ila kwa hili amepoteza credibility kwa kiwango kikubwa sana
Hiyo BOQ kwanza haitapelekwa bungeni hapo ni sawa kumwambia mtu afue nguo za fundi gereji
Binafsi sikubaliani naye kwa mambo mengi ila hakuwa waziri wakati wa mchatkato waziri alikuwa Ndumaro
 
Wandugu kitendo cha baba levo (mbunge kigoma) kufuatiria ujenzi wa uwanja uliojengwa kule arusha
Uwanja huo umejengwa kwa gharama zaidi ya bilion 300.

Sasa basi jamaa baba levo kaomba BOQ hii orodha ya vifaa na bei zake.

Kimbembe kitaonekana namba zimeongezwa 0000 mbele ya gharama halisi.

Huo ndio wizi wa kalamu unaotumika serikalini hata peni unayoweza kuipata kwa 1000 wao watakuambia peni ni 10000.

Sakata hili linamhusu kijana mmoja mchapa kazi lakini aliyekengeuka nilimwamini sana tangu enzi JPM ila kwa hili amepoteza credibility kwa kiwango kikubwa sana

Hiyo BOQ kwanza haitapelekwa bungeni hapo ni sawa kumwambia mtu afue nguo za fundi gereji
wiki hii usiamini kila habari 100% waliwekwa wengi sana kukwepesha habari ya kesi ya TAL!
 
Back
Top Bottom