bunge

  1. OKW BOBAN SUNZU

    Tetesi: Kuvunja Kamati za Bunge: Spika aseme ukweli!

    Wiki iliyopita Spika alivunja baadhi ya Kamati za Bunge na kuziunda upya. Ikumbukwe kwamba kamati hizo zilivunjwa wakati vikao vya kamati vikiendelea sambamba na taasisi za serikali kuhojiwa mbele ya kamati. Vyanzo vyangu vimeniambia kwamba wabunge wa kamati walizungukana na kuvuta takrima kwa...
  2. Carlos The Jackal

    Asanteni sana Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) , Tunaenda kujua Umuhim wa Hayati Magufuli !!

    In my humble Opinion , without being sentimental , without hiding anything in my thoughts, to the actual truth with my open mind and clean Heart , by gathering all the courages , Ninawapongeza Bunge la Umoja wa Ulaya ,Asanteni sana sana ndugu zangu wadhungu , Ahsanteni , mmejua...
  3. JanguKamaJangu

    Tanzania yaweka msimamo mradi wa bomba la mafuta baada ya kauli ya Bunge la Ulaya (EU)

    Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kimazingira wakati wa utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha Mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda hadi Chongoleani Tanga kwani tahadhari zote zilizingatiwa kitalaamu. Waziri wa Nishati, Januari...
  4. J

    Bunge limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji ya mwaka 2022

    Bungeni Dodoma Leo tarehe 15 Agosti, 2022 Bunge la limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji ya mwaka 2022 (The Water Resources Management Act, 2022). Kupitishwa kwa sheria hii kutaimarisha Bodi za mabonde ya Maji katika kusimamia Rasilimali za Maji...
  5. BARD AI

    Spika Tulia Ackson akataa kuahirisha Bunge ili kujadili Panya Road

    Akijibu hoja ya Wabunge Bahati Ndingo na Bonnah Kamoli, waliosimama kutaka Shughuli za Bunge ziahirishwe ilikujadili uhalifu wa vikundi hivyo kwa dharula, Spika wa Bunge amesema Kanuni za Bunge haziruhusu. Dkt. Tulia amesema kwa mujibu wa masharti ya Kanuni ya 55 ya Bunge suala hilo...
  6. saidoo25

    Nini kimejificha nyuma ya Bunge kupitisha Sheria kuanzia mahabusu maalum za wauza unga?

    Bunge limeridhia kuipa mamlaka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Madawa ya Kulevya (DCEA), uwezo wa kuanzisha mahabusu zake na masharti ya kumuweka mtu kizuizini kwa kuzingatia taratibu za kisheria kabla ya mtuhumiwa kufikishwa mahakamani. Wachambuzi hebu tuitazameni hii Sheria iliyopitishwa...
  7. Roving Journalist

    Bunge la 12: Mkutano wa 8 kikao cha pili, Septemba 14, 2022

    TUME YA KUCHUNGUZA MAUAJI YAKAMILISHA KAZI YAKABIDHI MAJIBU SERIKALINI Tume iliyoundwa kuchunguza ongezeko la mauaji Nchini na kutoa mapendekezo imekamilisha kazi na imewasilisha majibu Serikalini. Imeelezwa majibu yanafanyiwa kazi na kukiwa na umuhimu wa kufikisha kwa Wananchi Serikali...
  8. Roving Journalist

    Waziri Masauni: Tendo la ndoa sio haki ya msingi kwa Wafungwa

    Waziri Masauni: Tendo la ndoa sio haki ya msingi kwa Wafungwa Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Yussuf Masauni amesema mchakato wa haki ya faragha kwa wafungwa kukutana na wenza wao utaanza kutolewa pale ambapo mifumo ya kisheria na miundombinu ya magereza itakapokidhi kutolewa kwa haki hiyo...
  9. peno hasegawa

    Mawaziri wapiga kimya kuhusu uwepo wa fedha zilizositishwa na bunge bajeti ya 2022/2023

    Wakuu, Ofisi, halmashauri, mikoa ,taasisi na mashirika ya Umma kuna hali ambayo haijulikani kuhusu uwepo wa fedha au. Ukifika kufuatilia malipo unaambiwa mfumo haujafunguka. Tangu July hadi September mfumo haufunguki. Mwenye ufahamu kuhusu hali ya kifedha atujulishe tafadhali.
  10. kyagata

    Kwa wale tuliofanya paper ya Katibu wa Bunge

    Aisee bora hizi paper wawe wanatunga tu utumishi wenyewe. Kiukweli paper wametunga bunge wenyewe na maofisa wa utumishi wao leo walikua ni wasimamizi wa mchakato tu ila kuanzia materials zilikua na nembo ya bunge. For real sijawahi kukutana na paper ngumu kama hii katika maisha yangu...
  11. Roving Journalist

    Wajumbe wa Bunge Kamati ya NUU watembelea Miradi ya Kikanda ya EAC

    Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) wakifuatilia kwa makini mada kuhusu utekelezaji wa miradi ya kikanda ya miundombinu ya EAC iliyokuwa ikiwasilishwa na Mkurugenzi wa Miundombinu ya Uchumi na Huduma za Jamii katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano...
  12. Miss Zomboko

    Shirika la Bunge la Morocco lapendekeza wanawake kupewa likizo ya hedhi

    Kundi la Bunge la Morocco limependekeza mswada utakaowaruhusu wanawake kupewa siku za likizo ya hedhi yenye malipo. Katika kile ambacho kitakuwa sheria ya aina yake kwa eneo la Mashariki ya Kati na Kaskazini mwa Afrika, pendekezo la kikundi cha haki za kijamii cha shirika la Bunge la Morocco...
  13. C

    SoC02 Udhaifu wa Bunge letu unatupa hasira Wananchi

    Bunge letu bado ni dhaifu katika maamuzi Leo naomba nizungumzie bunge hasa nikizungumzia kazi zinazohusu bunge na wajibu wa muhimili huu mkuu wa nchi katika ile mihimili mitatu mikuu nchini. Katika nchi zenye demokrasia kama zetu bunge ndio chombo kinachofanya maamuzi ya mwisho yote hiyo ni kwa...
  14. Robert S Gulenga

    Wakati tunaomba Serikali iangalie kilio cha tozo zilizopitishwa na Bunge, tuanze kupiga kelele na makato yanayotozwa na Makapuni ya Simu

    Watu wengi wamekuwa wakichukua gharama zote za kutuma au kutoa fedha kwenye miamala ya simu kama ndio tozo. Ukweli ni kwamba makampuni ya simu yamekuwa yakitoza ada kubwa saana kwenye kutoa au kutuma fedha. Kwa mfano kuna baadhi ya kampuni ukituma fedha kiasi cha shilingi 5,000/= jumla ya...
  15. Kyambamasimbi

    Kama Bunge ni chombo cha kutunga sheria kwanini wabunge wengi sio Wanasheria?

    Jamani wanajf habari. Jamani samahani naomba ufafanuzi Kama tunasema Bunge Ni chombo Cha kutunga sheria kwa Nini wabunge wengi sio Wanasheria? Watungaje sheria wakati hawajui sheria? Mimi nafkiri kungekuwa na vigezo maalum vya kuwa mbunge kigezo mojawapo angalau mtu awe na certificate ya...
  16. BARD AI

    Bunge laipa TRA siku 30 kufanya maboresho ya mifumo yake

    Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeipa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mwezi mmoja (sawa na siku 30) kuipelekea mpango kazi wa namna walivyojipanga kukabiliana na hoja za kikaguzi zilizoainishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Makamu Mwenyekiti wa PAC...
  17. M

    Kamati ya Bunge ya Bajeti ivunjwe

    Naomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa niwasilishe maoni yangu ikiwa Kamati za Bunge zinakutana Dodoma kujadili masuala mbalimbali yanayohusu nchi yetu. Naomba Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson aivunje Kamati ya Bunge ya Bajeti kutokana na Kamati hiyo kushindwa kusimamia masilahi mapana ya...
  18. J

    Elimu ya vyuo vikuu Mwanza

    Jiji la Mwanza, la pili kwa ukubwa Tanzania (The second largest City in Tanzania), sifa nyingine ni jiji lililo katikati Kati ya majiji ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, hapa namaanisha Nairobi, Kampala, Kigali, Bujumbura. Kinshasa pote ni karibu kufika jijini Mwanza. ELIMU YA JUU Katika elimu...
  19. Miss Zomboko

    Mahakama ya Iraq yasitisha shughuli zake Wananchi wakisisitiza kuvunjwa kwa Bunge

    Mahakama nchini Iraq imezisimamisha shughuli zake ikiwa ni baada ya wafuasi wa kiongozi wa kidini mwenye ushawishi mkubwa Moqtada al-Sadr kuongeza shinikizo lake kutika kuvunjwa kwa bunge, ukielezwa kuwa mgogoro mkubwa tangu uvamizi wa Marekani. Katika siku za hivi karibuni kiongozi huyo...
Back
Top Bottom