Wanakumbi.
Naona hali tete huko Marekani Israel kaishiwa pesa kaomba msaada dharura wa pesa, Netanyahu kamuomba Biden pesa Biden kapeleka mswada bungeni Wamarekani wamekataa kutoa pesa ni muda sasa Waisrael weuisi ya Majji matitu, Ngudu, Kimara kupelekq pesa Israel...
Baada ya aliyekua Spika wa bunge (House) la Marekani kuondolewa, Wabunge wa Bunge la Marekani, ambalo wabunge (Representatives) wake wengi ni kutoka Chama cha Republican, wamependekeza waongee na Donald Trump aweze kuwa Spika wa bunge hilio.
Wabunge hao waliweza kufikisha ombi hilo kwa Trump...
Just in: Spika wa Bunge la Marekani amengo'lewa madarakani na kuweka historia kuwa spika wa kwanza wa bunge la marekani kung'olewa na wabunge.
Moja ya chanzo cha Kevin McCarthy kuondolewa kwenye uspika ni baadhi ya wabunge wenzake wa Republic kumuona kama msaliti baada ya kushirikiana na...
Huo mfumo tunaotumia sasa wa bunge zima na wabunge wote kujadili kila masuala hautupi tija na pia unaligharimu taifa bila umuhimu wote. Kama huu ndio mfumo wa mabunge ya jumuiya ya madola basi hauna tija kwetu inabidi tuachane nao tu.
Ilipaswa kuwe na kamati za kisekta za bunge kujadili na...
SPIKA wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy amekataa mwaliko wa Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy wa kuzuru taifa hilo, CNN imeripoti.
Licha ya changamoto za kivita wanazokutana nazo Ukraine kutoka kwa Mrusi, ambazo kimsingi McCarthy alitakiwa kwenda kuziona, kiongozi huyo amesema hana haja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.