Kama analolisema huyu Mbunge ni kweli basi Spika wa Bunge jiuzulu tafadhali.
Soma >> Mkataba wa Bandari: Mbunge Aida Khenani akiri kupelekwa Dubai, lakini mpaka wanarudi hakujua walikwenda kufanya nini
Mbunge anasema alisafiri mpaka Dubai hajui anaenda kufanyaje? Kweli Kodi zetu mnazitumia...
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 4, 2023 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 1.
MABASI KUTEMBEA KWA SAA 24
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson ameishauri Wizara ya Mambo ya Ndani kuangalia upya amri inayokataza mabasi ya abiria kutembea barabarani...
MASWALI MAGUMU YA LUHAGA MPINA AKICHANGIA BUNGENI DODOMA TAREHE 2 NOVEMBA 2022 KUHUSU TAARIFA ZA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE ZA PAC NA LAAC KUHUSU RIPOTI YA CAG JUU YA MALIPO YA SHILINGI BILIONI 350 YALIYOFANYWA KWA KAMPUNI YA SYMBION POWER LLC
Taarifa ya Kamati inaeleza kuwa mkataba baina ya...
Sababu kuu zinazopelekea shida ya maji inayoendelea Jijini Dar es Salaam na mikoa mingine hapa nchini, ni zao la Watangulizi wa Mama.
Hii shida imekuwepo kwa muda mrefu sana, haijaanza mwaka jana mwezi April 2021, tusimnyooshee kidole SSH kwa sababu tu yeye ndiye aliye madarakani kwa sasa...
Wakati anaapishwa kuwa Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliapa kuilinda na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyowekwa kwa mujibu wa sheria.
Pia wakati anakula kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma aliapa kutotumia cheo chake kutoa upendeleo kwa ndugu yake au rafiki yake...
Wana bodi siku ya jana kulizuka mjadala mkubwa wa kitaifa humu ndani kuhusiana na kauli nzito ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba ya kuwaita wabunge wajumbe wa Kamati ya Nishati ni wapuuzi kwa kuhoji suala la kuchelewa kwa Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere na tatizo la kukatika kwa umeme mara...
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram Waziri wa Kilimo Leo Julai 13, 2022 amekutana kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Bi. Victoria Kwakwa kujadili maeneo ya ushirikiano kwenye IDA20.
Pamoja na mambo mengine Bashe amesema mazungumzo yao pia yamegusia Swala la bei ya...
Kwanza nipende kukuombe Kwa Mwenyezi Mungu akupatie Umri mrefu wenye mafanikio na hitaji la Moyo wako.
Hakika Wanawake ni Nguzo kuu kwenye kila Hatua kwenye Dunia hii!!.
Mama Samia napenda kukupongeza Kwa hatua kadhaa na jinsi unavyofanya nchi yetu inaenda Kwa kasi sasa.
Mama Samia...
Tokea nimezaliwa na sio Mimi tu, watanzania wengi kama sio wote tumekua tunapata chanjo kutoka Kwa wahisani (mabeberu)..kila chanjo lazima iwe na side effects Kwa baadhi ya watu lakini sio wote.
hanjo hizi zina umuhimu mkubwa sana kwenye maisha yetu ya kila siku!!..tuache propoganda mbaya za...
Katiba inasema Bunge ni uwakilishi wa wananchi. Bunge ndiyo sauti ya wananchi, Bunge ndiyo kisemeo cha Wananchi. Mbali ya upatikanaji wa kimagumashi wa bunge la sasa, lakini wao wenyewe wamejihalalisha na kusema ndio waliowekwa na Tume kuwawakilisha Wananchi. Moja kati ya kazi za uwakilishi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.