bunduki

Bunduki is a 1975 novel by J. T. Edson, and the first work in the Bunduki series that followed. The series involves characters related to Tarzan and was initially authorized by the estate of Edgar Rice Burroughs. In the opening of the novel the main protagonists are transported from Earth to Zillikian (see below).

View More On Wikipedia.org
  1. Mbu

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Wajemeni eeh Kuuliza si ujinga na kuuliza njia ndio kujua njia! Nahitaji bastola, kwa self defence tu, si vinginevyo! Sababu; najiona vulnerable mno huko 'uswekeni' ninakoishi. Hamna umeme, na majirani wanahesabika, BTW, practicing targets zipo za kutosha huko! Najua humu kuna wengi tu...
  2. Just Pray

    PostGE2025 Rais Samia: Wanaochokolewa masikio kuvunja amani, Dar es Salaam nenda kaulize leo kama vijana wanataka kungia njiani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo tarehe 09 Januari, 2026 amesema ametahadharisha akiwaita wanaochokonolewa kuharibu amani ya nchi kuacha mara moja akikumbusha yaliyojiri...
  3. Pakome

    Binadamu ana tabia ya kugeuza matumizi ya vitu, sio ajabu Chupi akavaa kichwani, Bunduki haikuwa na lengo la kuonea

    Binadamu ana tabia ya kugeuza matumizi ya vitu na sijajua hii tabia inatokana na nini Anaweza hata akavaa chupi kichwani au akajipaka mafuta ya kulainisha break ilimradi tu ageuze matumizi ndipo aridhike Lengo la kuundwa kwa bunduki halikua kuonea watu bali lilikuwa kujilinda na maadui lakini...
  4. DuaZaMama

    Bobi Wine: Polisi Bunduki Mlizobeba zina thamani kuliko nyie

    Bobi Wine kwa polisi wa Uganda: "Ndugu maofisa, bunduki mliyobeba ina thamani ya dola 2,000 za Marekani (kshs 258,000). Angalia jinsi bunduki hiyo inavyoonekana bora kuliko wewe, ilhali unalipwa Sh14,000 pekee. Kwa nini bunduki hiyo inaonekana bora kuliko wewe?" Japo Bobi Wine amesahau bunduki...
  5. R

    Heche angalia usalama wako maana umewataja wenye bunduki , risasi, vifaru, magari ya deraya na zana zote za maangamizi duniani

    Just kutoa tahadhali! Angalia maisha yako, chukua tahadhali. Tetesi: eti wa kule wamemkolimba kuficha ushahidi wa MO 29!
  6. R

    Hakuna askari aliyebeba Bunduki!

    Vile vile huu ni ushindi, ni hatua 100 mbele!
  7. W

    PostGE2025 DPP awafutia kesi ya uhaini Niffer na Mika Chavala

    Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amefutia mashtaka na kumwachia huru mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26) maarufu Niffer na Mika Lucas Chavala, waliokuwa na kesi ya uhaini. Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano Desemba 3, 2025 na Hakimu Mkazi Mkuu, Aaron Lyamuya, baada wakili wa Serikali...
  8. Genius Man

    Juhudi za kuzima maandamano ni kubwa sana, kwa sasa hawatumii vitisho baada ya kushindikana kabisa kabisa, hata bunduki zimeshindwa

    Juhudi za kuzima maandamano ni kubwa sana, kwa sasa hawatumii vitisho baada ya kushindikana kabisa kabisa, hata bunduki zimeshindwa.
  9. The patriot man

    Leo wazee wa kazi nimewaona Segerea na wako full combat na bunduki juu je kuna nn?

    Wakuu leo mda siyo mrefu wazee wa kazi wapo mtaani kwetu wako full commbat sijui kuna ishu gani aisee nauliza tuu
  10. Genius Man

    kuna mtu anajaribu kutawala kwa mwelekeo wa kikoloni yani mitutu ya bunduki utekaji na mauwaji kama wakoloni walikimbia wenyewe hatotuweza

    kuna mtu anajaribu kutawala kwa mwelekeo wa kikoloni yani mitutu ya bunduki utekaji na mauwaji kama wakoloni walikimbia wenyewe hatotuweza. Haya mauza uza mnayo yaona ni majaribio ya utawala wa kipumbavu, sasa sisi hatutokubali na hatuto tawalika na wapumbavu. tukutane #D9 tukinukishe
  11. Robert Heriel Mtibeli

    October 30: Uso kwa uso na bunduki

    OCTOBER 30: USO KWA USO NA BUNDUKI. Anaandika: Robert Heriel Mtibeli. 1. Nitafupisha Sana kadiri iwezekanavyo maana wasomaji wangu wengi wenu hampendi vitu virefu. 2. Usiku wa tarehe 29 nyumbani kwetu ambapo nilisema ni karibu na barabara ya Morogoro yaani mita hamsini tuu; 3. Kulikuwa na...
  12. figganigga

    Tulia Ackson kapost wimbo kwamba Watu asiowajua Wamemfuata Nyumbani wakiwa wamebeba Bunduki. Ila haogopi Babylon

    Kwenye Page yake ya Instagram, aliyekuwa Spika wa Tanzania bunge la 12, Kapost Picha yake akiambatanisha na wimbo wa Lucky Dube wa Jah save Us, Kipande kinachosema tafsiri isiyo rasmi kwamba; "Watu waliokuwa wamebeba bunduki aina ya machine gun(MG) wamemfuata Nyumbani kwake. Watu hao walikuwa...
  13. H

    Ni ngumu kwa Afrika kuvitoa vyama tawala vikongwe kwa maandamano bali kwa mtutu wa bunduki

    Dawa ya moto ni moto ni ngumu kwa vyama tawala vikongwe Afrika kuondoka madarakani eti kwa maandamano na kelele za mitaani bali kwa mtutu wa bunduki na hujuma dhidi yao. Huwezi ukapambana na mafisadi wachache wenye nguvu na kumiliki jeshi kwa mawe wao wakiwa na bunduki mtakwisha! Ni bora sasa...
  14. Idugunde

    Kwanini maandamano imekuwa njia mbadala ya kuondoa tawala za kifisadi kuliko mtutu wa bunduki?

    Dunia nzima sasa hivi, watawala mafisadi wanaondolewa na maandano ya wananchi. Ni kweli kuwa kuwa mamlaka ya kutawala yanatoka kwa wananchi. Lakini kwa nini watawala mafisadi duniani kote wanaogopa kuondolewa madarakani kwa maandamano ya wananchi waliochoka kuibiwa mali za umma kama huko Nepal!
  15. Analogia Malenga

    Hizi hapa lyrics za wimbo mpya wa Roma "Teremsha Bunduki"

    Afande teremsha bunduki, Unawatetea mbona hawakukumbuki, Unatuonea, unatupiga Mabuti, Mara virungu, mara unataka kutushuti, Afande teremshaa! Hai! Hai hai! Afande teremsha bunduki! Hai hai! Afande teremshaa! Hai! Hai hai! Afande teremsha bunduki! Hai hai! Afande teremshaa! Hai! Hai hai! Afande...
  16. Carlos The Jackal

    Ukiachilia Mbali Kutisha tisha, JWTZ haliwezi kamwe kugeuza Bunduki zake dhidi ya Raia ! Tujitokeze wengi sana katika Maandamano!!

    Gen Z na Watanzania wote ,hili nawahakikishia 100% hakuna Jeshi la Ulinzi liwezalo FYATUA RISASI zake dhidi ya Wananchi !!. Infact wanachokifanya ni kututisha, Kwani ni mara ngapi wakati wa Uchaguzi, Ma Vifaru yao huzagaa zagaa Barabarani ?. Mbinu wanayotumia CCM ni kuzijaza Barabara na...
  17. darautobroker

    Car4Sale Toyota IST Bunduki iko sokoni

    Bei/Price TSH 11.7M Call +255 747 999 927 TOYOTA iSt Year: 2003 Engine: 1,290Cc Mileage: 120,000+ Transmission: AUTO Fog Lights Sport Rims Android Radio Clean Interior In Good Condition Exchange Possible
  18. Carlos The Jackal

    Ajabu sana kwamba Kumzuia MPINA kurejesha Fomu , ni Hadi mitutu ya Bunduki ??

    Hawa watu Maisha yako YAMEKAA Kuua ua na Kuteka teka !!.
  19. M

    Museveni asema kuwa Gaddafi alimpa bunduki za Battalion nzima kwenye vita ya kimapinduzi, walizificha msikitini

    Rais Museveni akikumbushia harakati zake za ukombozi wa Uganda, alieleza namna alivyosafiri hadi Libya kuonana ns Gadafi na kumuomba silaha ili kusaidia kwenye vita yake ya msituni. Anasema kuwa Ghadafi alimpa bunduki za kutoshelza Battalion nzima. Na hii.ichangia pakubwa kuisaidia movement...
  20. Carlos The Jackal

    Nchi hailindwi Kwa Bunduki ,inalindwa Kwa UMOJA na Mshikamano wa Wananchi kupitia Haki ! Wairan wameishinda Israel na Marekan si Kwa Uwezo wa kijeshi!

    Uwekezaji Mkubwa a Kijasusi alouwekeza Israel nchini Irani, ulifikia Hatua ya kudhani Operation ya Kumuua Kiongozi wa Iran, Ayatollah, na kuwaua Wakuu wa MAJESHI nchini Iran haraharaka kungepelekea Taharuki ambayo ingewainua Wairan na kuwafanya waingize Barabaran na kupindua Serikali yao kama...
Back
Top Bottom