bunduki

Bunduki is a 1975 novel by J. T. Edson, and the first work in the Bunduki series that followed. The series involves characters related to Tarzan and was initially authorized by the estate of Edgar Rice Burroughs. In the opening of the novel the main protagonists are transported from Earth to Zillikian (see below).

View More On Wikipedia.org
  1. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Rwanda wamedhibiti Uhalifu 95% kwa mtutu

    Jirani zetu Rwanda Ni ngumu kusikia vikundi Kama Panya Road. Kule adabu ipo maana wajeda wanazunguka barabarani na SMG au AK-47 muda wote na ukileta mchezo unapata kile unastahili mubashara (live) na hakuna sijui NGOs sijui Human rights report, Usalama Kwanza. Inasikitisha Tungekinya...
  2. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Polisi Iringa yawaua majambazi saba

    Good work 👇
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Serengeti: Tabitha Mwise asimulia jinsi Polisi walivyovamia nyumbani na kuvuliwa nguo mbele ya baba yake na kulazimisha afanye naye Mapenzi

    Binti asimulia polisi alivyomvua nguo mbele ya baba yake Serengeti By Beldina Nyakeke Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtanzania apigwa risasi na kufariki Afrika Kusini

    Familia moja ya Kigogo, Dar es Salaam, inaomboleza kifo cha mtoto wao nchini Afrika Kusini. Ericky Ismael Ngobei, 22, aliuawa kwa kupigwa risasi Alhamisi iliyopita usiku katika eneo la biashara lenye watu wengi baada ya kuzozana na washambuliaji. Ndugu wa marehemu amesema kuwa shambulio hilo...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Panya Road 116 wanaotumia silaha za jadi wakamatwa Dar es Salaam katika msako wa siku 3

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na jitihada za kuzuia uhalifu na kufanya misako mikali ya kuwafuatilia wahalifu mbalimbali wa makosa ya jinai. Tarehe 12 Septemba 2022 majira ya saa 22:40 huko maeneo ya Mwasonga limefanikiwa kukamata silaha moja aina ya rifle iliyokatwa...
  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Risasi ikipigwa juu angani inaweza kudhuru mtu ikishuka? Bunduki inaweza kupiga risasi na kudhuru kwa umbali gani?

    Wakuu, wale wanaopiga risasi angani wakati wa sherehe au kutisha watu. Je, risasi hizo zinaweza safiri umbali gani angani? Wakati wa kushuka zinaweza kumdhuru mtu, na risasi inayopigwa horizontally inaweza kusafiri umbali gani na kudhuru mtu?
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wasiojulikana wateka Watawa wanne Nigeria

    Katibu Mkuu wa Makao ya Watawa, Zita Ihedoro, amesema watawa hao wanne walikuwa wakisafiri kutoka Jimbo la Rivers kwenda jimbo la Imo kwa ajili ya Misa ya shukrani. Tukio hilo linakuja ikiwa ni miezi mitatu tangu Mkuu wa Kanisa la Methodist nchini humo kufurushwa na watu wenye silaha katika...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Lebanon: Jaji aamuru aliyevamia benki akiwa na bunduki aachiwe huru bila masharti

    Jaji Nchini Lebanon ameamuru Bassam al-Sheikh Hussein (42) ambaye alikamatwa na kuweka kizuizini kutokana na kuvamia benki akiwa na bunduki akitaka apewe fedha zake, aameachiwa huru bila masharti. Hussein alivamia Benki ya FBL Jijini Beirut akitaka apewe Dola 35,000 (Tsh. Milioni 81) kati ya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Urusi yawapatia majeshi yake bunduki bora zaidi duniani; uzito wake ni chini ya kg 3, na yapiga risasi 800/dkk (AK-47 ni 600/dkk)

    Kampuni ya Kalashnicov imesema mwisho wa mwaka huu itayapatia majeshi ya Urusi silaha ndogo mpya ikiwemo submachine gun namba moja kwa ubora Ulimwenguni iitwayo PPK-20. Wataalamu hao wa masuala ya silaha wamesema wanaamini kuwa PKK-20 ni submachine gun namba moja kwa ubora duniani na itaendelea...
  10. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Zijue taasisi ambazo hazipokei rushwa hata kwa mtutu wa bunduki

    Tanzania kumejaa rushwa, sehemu nyingi huwezi kupata huduma bila rushwa. Pamoja na hilo Kuna baadhi ya taasisi ambazo hata utoe rushwa ya bilioni mia huwa hawapokei kabisa. Baadhi ni hizi hapa. 1. Tanesco - hawa jamaa Wana maadili Sana na kazi zao, ukienda kuomba kuanganishiwa umeme...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mashambulizi ya bunduki ulimwenguni mwezi Julai

    “Nchini Japani kuuawa kwa mwanasiasa maarufu [Shinzo Abe aliyekuwa Waziri Mkuu hapo awali] kulileta mshtuko ndani ya nchi hiyo na ulimwenguni pote, hasa kwa sababu nchi hiyo ina kiwango kidogo tu cha uhalifu na pia ina sheria kali zinazodhibiti matumizi ya bunduki.”—Julai 10, 2022. “Kuna...
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Rais wa Nigeria wavamiwa na watu wenye bunduki, wawili wajeruhiwa

    Watu wenye silaha wameshambulia msafara timu ya wa walinzi na maafisa wa itifaki wa vyombo vya habari wa Rais Muhammadu Buhari mjini Katsina, na kuwajeruhi watu wawili kabla ya kudhibitiwa na jeshi. Msemaji wa Rais, Garba Shehu amesema kuwa Msafara huo ulikuwa umetangulia safari ya Rais Buhari...
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Bunge la Seneti la Marekani lapitisha Muswada wa Udhibiti wa Bunduki

    Bunge la Seneti limepitisha mswada wa udhibiti wa bunduki nchini humo, kwa kura 65 dhidi ya 33, kufuatia mfululizo wa matukio ya mauaji katika maeneo mbalimbali nchini humo kuhusishwa ununuzi na umiliki holela wa silaha Mswada huo utalazimika kupitishwa katika Baraza la Wawakilishi kabla ya...
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Rashid Shangazi: TRA imekusanya wastani wa trilioni 1.9 kila mwezi bila mtutu wa bunduki

    Rashid Shangazi: Katika kipindi cha miezi 9 mamlaka ya kodi imekusanya takribani trilioni 17.2 Ukipiga hesabu ya kila mwezi ni wastani wa trilioni 1.9 Kodi hizi zimekusanywa bila kutumia task force wala bila mtutu wa bunduki. ===== Hivi kuna kipindi tulikuwa tunakusanya kodi kwa kutumia...
  15. Joao de Matos

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuzifahamu hizi bunduki

    Hi inaitwa Tavor, Naomba kuifahamu zaidi kuwa ina inauwezo gani na Ni Aina gani. Ya pili Ni hi Inaitwa double barrel Gilboa snake rifle, Sijaelewa inakazi gani maana Naina in sehemu mbili za kutoa risasi Sasa sijajua inakazi gani. Na nimeona hata Jwtz wanaitumia Sasa sijajua inakazi gani...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Uwekaji alama Loliondo, mitutu ya bunduki kama Mogadishu Somalia

  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Iliitwa bunduki kabla hujachanganya dawa unahitaji mafuta ya taa

  18. L

    JamiiForums Tanzania Zinapokutana vurugu za bunduki na ubaguzi wa rangi, "Black Lives Matter" inakuwa kauli mbiu ya bure nchini Marekani

    Kwa mujibu wa takwimu kutoka tovuti ya "Gun Violence Archives" ya Marekani, tukio la ufyatuaji risasi lililotokea mjini Buffalo, New York, tarehe 14, limekuwa tukio la 198 la mauaji ya watu kwa kutumia risasi nchini Marekani mwaka huu, na pia ndilo baya zaidi kwa mwaka huu. Kijana mzungu mwenye...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunduki zitanunuliwa kwa urahisi nikishinda, DP Ruto asema

    Ruto anasema serikali yake itaweka wazi bajeti ya kununua silaha kama njia moja ya kuwezesha uwazi kwenye biashara ya kununua bunduki Alisema bajeti hiyo huwekwa siri na hivyo kuwa mbinu ya wachache kujitajirisha kwa kufanya udanganyifu wa bei ya bunduki Aliambia viongozi wa kanisa kwamba...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa ampora bunduki askari, aua watu wawili, ajeruhi askari

    Watu wawili wamepoteza maisha na askari mmoja kujeruhiwa vibaya kutokana na shambulio la risasi kutoka kwa mtu ambaye alipora bunduki kutoka kwa askari polisi Jijini Cape Town Nchini Afrika Kusini. Polisi wamesema aliyefanya matukio hayo ni mwanaume mwenye umri wa miaka 40 ambaye alifyatua...
Back
Top Bottom