bukoba

Bukoba is a city situated in the north west of The United Republic of Tanzania on the south western shores of Lake Victoria. It is the capital of the Kagera region, and the administrative seat for Bukoba Urban District. Population estimate: 100,000. The city is served by Bukoba Airport and regular ferry connections to and from Mwanza, as well as roads linking to Uganda's Rakai District for the cross border car commuters with plans underway for a standard gauge railway construction[1] to fulfil the high ambitions of Uganda.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Umasikini wa watu wa Bukoba unapimwa kwa kutumia vigezo gani?

    Mimi nimezaliwa Bukoba Nimesoma Uganda Chuo Dsm Niseme tu hii Nchi hakuna Sehemu Unaweza sema Kuna watu wana unafuu wa Maisha Jibu ni Kwamba Bukoba wana umasikini wa Majumba lakini chakula kizuri as the same Dsm watu nyumba Nzuri lakini njaa ya watu kukosa chakula kawaida. Sana hasa ukitazama...
  2. JamiiForums Tanzania Boxer BM 100cc na madereva bodaboda wa kanda ya ziwa hasa Bukoba na Mwanza mjini

    Habari zenu wadau. Last week nilikuwa pande za Kagera (Bukoba) na viunga vyake pia nilipita na jijini Mwanza (Mwanza town). Nikiri kuna mengi nilijionea ila la kushangaza ni madereva wengi wa bodaboda kutumia pikipiki za Boxer BM 100cc katika harakati zao za kuingiza kipato. Tofauti kabisa na...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu Ajali MV Bukoba Serikali imejifunza Umuhimu wa Ubora Vyombo vya Kusafiria? Inawajibika vya kutosha kupunguza ajali nchini?

    Leo tarehe 21/05/2023 ni kumbukumbu ya ajali mbaya ya meli Buboka, ajali iliyosababisha pigo kubwa kubwa kwa watanzania waliopoteza na wapendwa wao kwenye ajali hiyo iliyotokea 21/05/1996. Tukio hili lilisababisha vifo vya watu zaidi ya 800 limeendelea kuwa kumbukumbu mbaya na yenye maumivu...
  4. JamiiForums Tanzania Picha Adimu za Wapigania Uhuru wa Tanganyika: Binti Khalfani wa Bukoba

    Picha hiyo hapo chini kaniletea kaka yangu Ramadhani Kingi kutoka Bukoba. Huyu ndugu yangu ana hazina kubwa sana ya maandishi na picha ya historia ya uhuru wa Tanganyika katika Maktaba yake. Picha hiyo hapo chini ni viongozi wa TANU wakiwa na Mwalimu Nyerere katika miaka ya mwanzo ya uhuru...
  5. JamiiForums Tanzania Air France kuanza safari za BUKOBA (BKZ) - PARIS (CDG)

    Kufuatia ongezeko la abiria toka mkoa wa Kagera kwenda nchi nyingi za Ulaya. Shirika la Ndege la Air France linatarajia kuanza safari zake kutokea kiwanja cha ndge cha BUKOBA (BKZ) - Paris Charles de Gaulle (CDG) airport.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Abashomi vs waislamu kwetu Bukoba

    Ukienda kuishi bukoba ukasikia kuna watu wanaitwa "Abashomi(wasomi) ujue hao ni wakristo,,,kwa bukoba iliaminika kwamba waislamu walikuwa hawapendi shule huku wakristo wakipiga kitabu kwelikweli ndo ukatokea msemo wa kuwaita wakristo (abashomi) huku muislamu akabaki akitambulika Kama muislamu...
  7. JamiiForums Tanzania Mambo matatu yanayofikirisha ajali ya ndege iliyotokea Bukoba ya PrecisionAir

    Poleni kwa wapendwa wenu ndugu ,jamaa na marafiki na shirika la ndege precision air kwa ajali iliyotokea mkoa wa kagera. Wengi wetu sio wafuatiliaji sana mambo yanayo husu ndege ndio maana kuelewa mifumo yake si rahisi sababu ina watu wachache wenye taaluma na weledi mkubwa. Bado kuna mengi...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali kutaja chanzo cha ajali ya ndege Bukoba Novemba 11, 2023

    Serikali imesema bado inaendelea kuchunguza taarifa za awali za ajali ya ndege ya Precison iliyotokea mkoani Kagera Novemba 6 mwaka 2022 huku ikitangaza kwamba itatangaza chanzo cha ajali hiyo Novemba 11 mwaka huu baada ya kukamilisha na kuchakata taarifa zilizokusanywa. Akizungumza na wandishi...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge Stephen Byabato Mgeni Rasmi Mkutano wa CCM Bukoba Mjini

    WAKILI STEPHEN BYABATO(MB) MGENI RASMI MKUTANO WA CCM BUKOBA MJINI. Naibu Waziri wa Nishati na Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Mhe. Stephen Byabato tarehe 12 Machi, 2023 alikuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa hadhara wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Bukoba Mjini. Kupitia Kikao Hicho Mhe...
  10. JamiiForums Tanzania Nakubaliana na alichokisema Kamishina wa Polisi Jamii Tanzania dhidi ya Wahaya na Mkoa wao wa Kagera ( Bukoba )

    "Haiwezekani Mkoa wenye Watu Wasomi na Walioelimika kwa kuwa na Watu wenye Degrees, Masters na Doctorates wa Kagera kuna Uvunjifu wa Amani unaotokana na Wivu wa Mapenzi, Migogoro ya Ardhi na Ushirikina. Ni Aibu sana Kwakweli na lazima Ukweli huu usemwe na wenye Mkoa wabadilike na Elimu Kubwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Chief Karumuna mgombea ubunge (CHADEMA) Bukoba mjini afunguka alivyotekwa 2020

    25 February 2023 Bukoba, Tanzania MKUTANO WA HADHARA WA CHADEMA TOKA KIWANJA CHA MAYUNGA BUKOBA Mbunge wa roho za watu katika jimbo la mioyo ya wakazi wa Bukoba mjini afunguka alivyotekwa na wenye bunduki 4 kwenye uchaguzi wa 2020. Hayo yalijiri wakati CHADEMA walivyofungua mkutano wa...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Miji ifuatayo iandaliwe kuwa Majiji

    Nchiyetu ni kubwa sana na ina miji mingi, lakini miji yenye huduma za hadhi ya jiji ni michache kulinganisha na idad ya watu waliopo. Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Mke wa Mwenyekiti auawa na kijana aliyemsaidia kwa kumpa hifadhi nyumbani kwake

    Kishobo Bukoba vijijni, mtaa wa Nyamisheni National Housing, kumetokea tukio la kikatili ambapo Paskali Kagwa aliyepewa hifadhi nyumbani kwa Mwenyekiti wa eneo amuua na kumbaka Hadija ismail (29) mke wa mwenyekiti na kutokomea kusikojulikana. Siku ya tukio Paskali alimpiga marehemu na kitu...
  14. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Moses Machali afanyiwa sherehe ya kuagwa Bukoba

    Ni tukio la kwanza kabisa katika ardhi hiyo ambayo kila mtu ni mwanasheria kwa mjibu wa Rc Chalamila kuweza kutambua mchango wa kiongozi mteule wa Rais kwa kipindi alichowatumikia. DC Machali ni Miongoni mwa ma DC wachache waliotumikia Wilaya hiyo bila kuyumbishwa na kundi lolote eidha...
  15. JamiiForums Tanzania Takukuru chunguzeni kituo cha kulelea watoto yatima Kashai mjini Bukoba

    Kuna mambo yanatendeka pale hayako sawa, kuna mama mmoja yuko pale anakula misaada ya watoto yatima.
  16. JamiiForums Tanzania Senene kutoka Bukoba

    ๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ฒ ๐˜€๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐—ป๐—ฒ ๐—ณ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐—ต ๐—ป๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฎ ๐—•๐˜‚๐—ธ๐—ผ๐—ฏ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฒ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐Ÿญ๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐—ง๐˜€๐—ต. ๐—จ๐—ท๐—ฎ๐˜‡๐—ผ ๐—ป๐—ถ ๐Ÿฏ๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐—ด. ๐—ง๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐—ฎ๐—ฝ๐—ผ๐—ฝ๐—ผ๐˜๐—ฒ ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฝ๐—ผ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—ผ๐—ฝ๐—ผ ๐——๐—ฎ๐—ฟ, ๐—™๐—ฟ๐—ฒ๐—ฒ ๐—ฑ๐—ฒ๐—น๐—ถ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ๐˜†: ๏ฟฝS๐—ถ๐—ป๐˜‡๐—ฎ, ๏ฟฝM๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ผ, ๏ฟฝM๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐˜€๐—ต๐—ผ ๐—ป๐—ฎ ๏ฟฝM๐˜„๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ. ๐—บ๐—ธ๐—ผ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ฎ ๐—ฝ๐—ถ๐—ฎ. ๐—ง๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐—ฎ. ๐—ง๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐—ด๐—ถ๐—ฒ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐Ÿฌ๐Ÿณ๐Ÿฒ๐Ÿฏ๐Ÿต๐Ÿฎ๐Ÿณ๐Ÿฏ๐Ÿฑ๐Ÿฌ ๐˜๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐—ฒ. ๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚๐—ป๐—ถ...
  17. JamiiForums Tanzania Ajali ya Happy Nation yaua Hakimu na mume wake Bukoba

    Polisi mkoani Kagera inamshikilia dereva wa Basi la Happy Nation, Shaaban Khatibu 38 mkazi wa Dare es Salaam akidaiwa kusababisha vifo vya watu wawili. Tukio hilo inadaiwa lilitokea Barabara ya Biharamulo, Kata Ijuganyondo, Manispaa ya Bukoba, Jumanne Desemba 6, mwaka huu majira ya saa 5.30...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Je, tuliowadanganya Watanzania tumeshajiandaa na Ripoti Kamili ya Ajali ya Ndege Bukoba baada ya Miezi 18?

    Ninachoogopa MINOCYCLINE ni kwamba Wazungu huwa hawanunuliki na wala hawajui kusema Uwongo hivyo huenda Muongo Mkuu wa Taifa Mr. Super Black Daima na Msaidizi wake wa Mr. Kukurupuka Kuchangayikiwa Wakaumbuka na Kumuaibisha hata Boss wao Kikatiba. Kazi ipo.
  19. F

    JamiiForums Tanzania Shule za msingi kanda ya Ziwa zaibuka kidedea wa udanganyifu wa mitihani. Mwanza na Bukoba waongoza

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limevifungia vituo vya mitihani 24 sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote 17,935 vilivyofanya mtihani ambavyo vimethibitika kupanga na kufanya udanganyifu katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2022. Vituo hivi vimefungiwa hadi Baraza litakapojiridhisha...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Ajali ya ndege Bukoba: Nashangaa mpaka sasa si waandishi wa habari wala wadau wengine walioona umuhimu wa kupata maoni ya wataalamu wa hali ya hewa

    Tangu kutokea kwa ajali hii, kumekuwa na maoni mengi na watu mbalimbali kuhojiwa ili watoe maoni yao. Kinachonmishangaza ni kuwa, wakati chanzo cha ajali kikitajwa kuwa ni hali mbaya ya hewa(najua uchunguzi unaendelea) mpaka sasa sijaona waandishi wa habari wala wadau wengine walioona umuhimu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ